Mume wangu anapenda tu kifo cha mende

Mume wangu anapenda tu kifo cha mende

Wadau nawasalimu.

Jamani mimi simuelewi mume wangu, kunako 6 x 6 yeye hataki style nyingine zaidi ya kifo cha mende mie nachoka, najitahidi kubadili mikao labda mie juu yeye chini anaigeuza fasta hataki..doggy style nayo ananigeuza fasta hataka namwambia tusimame basi hataki tupo kwenye ndoa mwaka wa pili sasa, hata wakati wa uchumba alikuwa hivyo..

Sijui nitumie njia gani ya kumfanya ajue mapenzi sio kifo cha mende peke yake mi nachoka yaani nimeshakremisha sasa atakachonifanyia hata kwenye romance pia hanitomasi tomasi akinichezea huko chini kidogo na kuninyonya maziwa basi kamaliza nampenda sana mume wangu sijui nifanyeje abadilike.
maoni yenu ya kujenga yatasaidia tafadhali.
Wewe unapenda style zipi?
 
Kweli we ni empty brain, siri yenu ya chumbani unaleta humu. Kwanin msishauriane chumbani kwenu.
 
Asilimia kubwa ya wanaume akioa huwa anajenga kitu akilini kuwa mke sio wa kumfanyia style nyingi za ngono. Na hawapendelei kupiga show za kibabe kwa wake zao kwa hofu kuwa siku akishindwa kupiga show hizo mke atachepuka. Hivo lengo lao ni kubaki na kukuzoesha style moja tu akidhani hiyo ndo heshima
 
Acheni kumzihaki amekuja huku akijua pengine atapata namna nyingine yakuweza kumweleza mumewe namna yakubadilika mana years kamweleza hataki kubadilika afu pia ukumbuke wako wanaume wabish kubadilika , na mwanaume habadiliki, hivyo mshaurini vizur
 
  • Thanks
Reactions: Hun
Jumatatu nikikutana na mada za hivi sijui wiki yangu inakuaje
Naishia kuwaza tu udog style dah maana nasisimka mpaka nywele
Ankoooo... Kuna baadhi ya comments zako huwa nazisoma mara mbili mbili nisiamini kinachotokea...
May be ni vile ambavyo ninakutafsiri...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom