Mume wangu anapenda tu kifo cha mende

Mume wangu anapenda tu kifo cha mende

Wanawake wengine ni majipu sasa kama Mume ni kibamia unataka afanyeje???? Au kuna wale washika dini Fulani hiv nawenyewe hawapend mastaili staili ya ajabu
mume wangu sio kibamia nikwambie mara ngapi
 
Wadau nawasalimu.

Jamani mimi simuelewi mume wangu, kunako 6 x 6 yeye hataki style nyingine zaidi ya kifo cha mende mie nachoka, najitahidi kubadili mikao labda mie juu yeye chini anaigeuza fasta hataki..doggy style nayo ananigeuza fasta hataka namwambia tusimame basi hataki tupo kwenye ndoa mwaka wa pili sasa, hata wakati wa uchumba alikuwa hivyo..

Sijui nitumie njia gani ya kumfanya ajue mapenzi sio kifo cha mende peke yake mi nachoka yaani nimeshakremisha sasa atakachonifanyia hata kwenye romance pia hanitomasi tomasi akinichezea huko chini kidogo na kuninyonya maziwa basi kamaliza nampenda sana mume wangu sijui nifanyeje abadilike.
maoni yenu ya kujenga yatasaidia tafadhali.
Hivi na walioolewa nao wanakujaga kuvumbua siri za ndani namna hii!? Sasa ukishasema jf ukashauriwa hapa ndo mumeo atabadirika au? Badala ya kukaa na mwenzio wewe unakuja kumsimulia hapa ili watu tucheke .....hahhahaa tushacheka tayari pole kwa kifo cha mende mwambie Shem ajitahidi kuangalia vifo vya wanyama wengine sasa ili angalau aambue jipya
 
Wakat wa uchumba wenu ndio ilibidi umubadilishe
 
ni bora nije jf nitabaki kuwa anonymous kuliko kuongea kwa watu wanaonifahamu..na swala sio mcheke..unaweza ukakebehi lakini mpaka sasa nimepata suluhisho..asante kwa kucomment na kucheka
 
jamani hivi wengi wenu mnao comment mpo kwenye ndoa kweli? mana naona majibu mengi yapo kimasikhara zaidi, wakati mwenzetu anahitaji msaada wa kweli, kuna umuhimu wa kuanzishwa jukwaa la wenye ndoa tu. anyway mimi pia nikiwa kama mwana ndoa nimekuelewa ndugu yangu, hakuna kitu kinakinaisha kwenye hilo tendo kama kufanya staili moja na mahala pamoja january mpaka decemba, tendo la ndoa ili linoge linahitaji sana mabadiliko kuanzia ya staili, sehemu ya kufanyia sio kila siku kitandani, na chumba hicho hicho kila siku nayo inaboa, ongea na mwenzio umuelewesha hasara ya kutokutaka mabadiliko, ongea nae kwa kina na kwa utulivu mpaka akuelewe, ili hata kama hamtafikia muafaka basi atleast na wewe utakuwa umejua nini hasa shida yake ili mjue jinsi ya kujipanga
 
wakati wa uchumba hata hatukufanya sana kusema la ukweli kwahiyo isingekuwa rahisi kihivyo.na tulikuwa tunakutana kwa mwezi mara moja au baada ya miezi miwili kila mtu ana hamu zake
 
Asante sana mrsleo umegusa hisia zangu, nadhani unajua nachopitia..nitaongea nae. ubarikiwe
 
ni bora nije jf nitabaki kuwa anonymous kuliko kuongea kwa watu wanaonifahamu..na swala sio mcheke..unaweza ukakebehi lakini mpaka sasa nimepata suluhisho..asante kwa kucomment na kucheka
Acha tucheke maana uliamua kutuchekesha Leo na tumecheka wengi japo wengine hawatosema, hivi wakati unaolewa hukufundwa namna ya kutatua matatizo ya unyumba? Au ukifanyiwa tu zile kitchen party za kukusanya vuombo ukumbini Baaasi, wengi humu wamekwambia ukae chini uzungumze nae; hivi hili hukulijua kabla au?
 
wakati wa uchumba hata hatukufanya sana kusema la ukweli kwahiyo isingekuwa rahisi kihivyo.na tulikuwa tunakutana kwa mwezi mara moja au baada ya miezi miwili kila mtu ana hamu zake
Basi kazani ila mwanaume wa hivyo huwa mvivu
Au afanyi maandalizi
Mwanaume anapokuwa amechoka cku nzima yuko busy ata performance inakuwa chini. Msaaidie kwakumpikia chai ya mdarasin tangawizi na atumie walau pombe kidogo
 
nina chura la haja kw ataarif ayako ongea lingine mxiii

Labda 'chura' lenyewe mchina, lipo imbalanced na limetela kama kiroba cha mihogo. Takko moja size ya pera, lingine size ya bolibo. Akikugeuza stimu zinakata !

Wewe huna 'chura' ilonona wewe. Uwe mzuri na 'choo' kilichosheheni haswaaa, asikugeuze?!!! Thubutuuu.

-Kaveli-
 
Tukiachana na yote mi nimegundua unampenda sana mumeo na ndoa yako na ndo maana hata umekuja huku kutafuta msaada ambao naamini hata kama si kwa kiwango kikubwa lakini huenda utaupata.
Ninachoweza kushauri ni kuwa usichoke kumueleza vile ambavyo ungependa vifanyike wakati mkiwa kwenye 6*6,na kama anao uwezo wa kuelewa mambo iko siku atakuelewa tu.
NOTE:Hayo asokupa mumeo kwa sasa hata usiwaze kwenda kuyatafuta nje maana huko pataibua makubwa zaidi ya haya.
 
Acha tucheke maana uliamua kutuchekesha Leo na tumecheka wengi japo wengine hawatosema, hivi wakati unaolewa hukufundwa namna ya kutatua matatizo ya unyumba? Au ukifanyiwa tu zile kitchen party za kukusanya vuombo ukumbini Baaasi, wengi humu wamekwambia ukae chini uzungumze nae; hivi hili hukulijua kabla au?

nimefundwa haswaa tena na somo..mpaka nije jf ujue nimeshaogea nae ..lakini kuja kunikebehi ukadhani umefanya la busara na wewe ni mwanamke kama mimi ( i can tell from your id) sidhani kama ni busara. kuna leo na kesho.
Angalau mrsleo ameonyesha uelewa wa hali ya juu..kuna aliyenambia ninunue majarida vitabu niweke asome kuna aliyenipa jina la kitabu kabisa..hao ndio walioonyeshwa kuguswa na nilichosema..sio wewe kujifanya kuja hapa kucheka..kama kimekuchekesha cheka kisha pita kimya kimya huna haja ya kule dharau zako
 
jamani hivi wengi wenu mnao comment mpo kwenye ndoa kweli? mana naona majibu mengi yapo kimasikhara zaidi, wakati mwenzetu anahitaji msaada wa kweli, kuna umuhimu wa kuanzishwa jukwaa la wenye ndoa tu. anyway mimi pia nikiwa kama mwana ndoa nimekuelewa ndugu yangu, hakuna kitu kinakinaisha kwenye hilo tendo kama kufanya staili moja na mahala pamoja january mpaka decemba, tendo la ndoa ili linoge linahitaji sana mabadiliko kuanzia ya staili, sehemu ya kufanyia sio kila siku kitandani, na chumba hicho hicho kila siku nayo inaboa, ongea na mwenzio umuelewesha hasara ya kutokutaka mabadiliko, ongea nae kwa kina na kwa utulivu mpaka akuelewe, ili hata kama hamtafikia muafaka basi atleast na wewe utakuwa umejua nini hasa shida yake ili mjue jinsi ya kujipanga
Watu tumeolewa na watu wenye mapungufu kibao ya kimaumbile ila katu haitatokea nikaanika mapungufu ya mwenza wangu ya ndani hata kwa kutumia fake account au avatar maana kwa kuandika tu mapungufu yake ambayo ni siri yenu na mnatakiwa kukaa na kuya solve wawili tayari inakua ni sawa na kumuanika hadharani,moyo na nafsi yangu havita muheshimu tena
 
Tukiachana na yote mi nimegundua unampenda sana mumeo na ndoa yako na ndo maana hata umekuja huku kutafuta msaada ambao naamini hata kama si kwa kiwango kikubwa lakini huenda utaupata.
Ninachoweza kushauri ni kuwa usichoke kumueleza vile ambavyo ungependa vifanyike wakati mkiwa kwenye 6*6,na kama anao uwezo wa kuelewa mambo iko siku atakuelewa tu.
NOTE:Hayo asokupa mumeo kwa sasa hata usiwaze kwenda kuyatafuta nje maana huko pataibua makubwa zaidi ya haya.
Asante Allen kwa ushauri..sijawaza hata kwenda kuyatafuta nje, nampenda sana mume wangu.labda ipo siku anaweza badilika
 
nimefundwa haswaa tena na somo..mpaka nije jf ujue nimeshaogea nae ..lakini kuja kunikebehi ukadhani umefanya la busara na wewe ni mwanamke kama mimi ( i can tell from your id) sidhani kama ni busara. kuna leo na kesho.
Angalau mrsleo ameonyesha uelewa wa hali ya juu..kuna aliyenambia ninunue majarida vitabu niweke asome kuna aliyenipa jina la kitabu kabisa..hao ndio walioonyeshwa kuguswa na nilichosema..sio wewe kujifanya kuja hapa kucheka..kama kimekuchekesha cheka kisha pita kimya kimya huna haja ya kule dharau zako
Usilazimishe watu walalie msiba wako! Hayo ni majanga yako usilazimishe watu wafikirie sawa sawa na unavyotaka wewe kukosolewa ni moja ya funzo kwaiyo ulitaka wote tukija hapa tukwambie umefanya sawa kuanika mapungufu ya mumeo, Huyo ni mume au Boyfriend ?? Huyo kungwi wako alikua na kazi ya ziada I see kama mwali wenyewe ndo una mipasho hivi basi hatari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom