Mume wangu anapenda tu kifo cha mende

Mume wangu anapenda tu kifo cha mende

ha ha ha ha usimshaur vbaya mwenyew wakat wewwe hapo ulipo una mpka ile style ya kidekule.... mguu wa shingo mguu wa roho
Hayo ya kwangu na babu wangu kazi anaiweza!!

Wa kwake hawezi!ningekua mie hicho kifo cha cockroach angejutaaa!

Sisemi kokote tunaenda hvyo hvyo!mwanzo mwenga!
 
Hayo ya kwangu na babu wangu kazi anaiweza!!

Wa kwake hawezi!ningekua mie hicho kifo cha cockroach angejutaaa!

Sisemi kokote tunaenda hvyo hvyo!mwanzo mwenga!
ha ha ha ha mwanamke una maneno wewe sikuwez et cocroach angejutaa duh😛😛😛😛😛
 
ha ha ha ha mwanamke una maneno wewe sikuwez et cocroach angejutaa duh😛😛😛😛😛
Eeehh!unajua wanaume wametofautiana sana kimaumbile,kazi na vitu vingi!

Yapaswa kwenda nae km alivyo!

Waweza kuta unamuua kwa presha kimasiharamasihara hvyo hvyo!
 
Eeehh!unajua wanaume wametofautiana sana kimaumbile,kazi na vitu vingi!

Yapaswa kwenda nae km alivyo!

Waweza kuta unamuua kwa presha kimasiharamasihara hvyo hvyo!
ha ha ha kwahyo kibabu chako unaenda nacho kwa style hyo kashasema mumewe yuko vzur tatzo style tu mama
 
ulzani jf sipo eee. . . sasa ngoja leo nitoke kazini utanieleza hayo mastaili mengine nani kakufundisha
 
Labda unanuka uvundoooo. Maana tofauti na kifo cha mende, zilizobaki zote zahitaji mwanamke awe Msafi atiii
 
Haki ya Mungu siioni Tanzania ya viwanda kwa kizazi kinacholalamikia style za Ngono.. Chepuka tuu hakuna namna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom