Uliza kwanza kwa nini mwanaume arudi usiku wa manane. Si h/girl wala mke ana deserve kuamka usiku wa manane kumfungulia mtu mlango. Inachosha!
NB HAKUNA SIKU ALIOMKUTA NA HGIRL WAKIBUSIANA AMA KUFANYA TENDO OVU.
Muda wa kwenda kulala haujafika. Kuna wengine akilala saa 3 anaamka saa 10 halafu usingizi unapaa!
Inaonyesha wazi kwamba huyo mke ameshakata mawasiliano na mme wake. Huwezi ukawa na mawasiliano mazuri kwenye ndoa ukawa unaenda kulala saa 3 kila siku unamwacha babaa sebuleni, hata kama yuko peke yake.
Miaka mitano.Una muda gani kwenye ndoa yako?
Ndugu zanguni pamoja na kwamba tunapenda aman kwenye ndoa bado nimeona kuna haja ya somo la ufahamu kuwepo kwenye maisha ya kila siku ya wanandoa...leo nilikuwa na kikao na ndugu fulani mmoja wao akilalamika mumewe amekuwa akiingia kitandani saa tano ama sita wakati yeye amekuwa akiingia saa tatu..baya akaenda mbali kwa kusema amekuwa akisubiri mpaka dada wa nyumban amalize kazi aingie kitandan mwake ndie na yeye unasikia amezima taa.......Ukiwa kama wewe kabla ya kuendelea unalimalizaje hili swala..NBHAKUNA SIKU ALIOMKUTA NA HGIRL WAKIBUSIANA AMA KUFANYA TENDO OVU...KWAKO MWANA MAPENZI WA JF
anabakigi = anabaki
Unanifurahisha sana FF unapowasahihisha watu.
Hata mimi hupenda ninaposahihishwa ndio moja ya faida ya haya majukwaa.
Aingie tu chumbani awepo na wife, kuwa chumbani sio lazima ulale mda huo!Muda wa kwenda kulala haujafika. Kuna wengine akilala saa 3 anaamka saa 10 halafu usingizi unapaa!
Inaonyesha wazi kwamba huyo mke ameshakata mawasiliano na mme wake. Huwezi ukawa na mawasiliano mazuri kwenye ndoa ukawa unaenda kulala saa 3 kila siku unamwacha babaa sebuleni, hata kama yuko peke yake.
Hata mimi napenda nisahihishwapo. Ila kuna wengine hawapendi. Ukiwasahihisha wanaona kama vile unajidai unajua. Wananshangaza!
kusahihishana ni kuzuri. Endeleeni na tabia hiyo hiyo.
Huyo mume anabaki mpaka sa sita ili iweje?
Mimi husikia utamu unisahihishapo wewe. Tafadhali usiache. Sawa Mwajuma wangu?
Lolz... Sa 3 mbona ni mda wa kawaida kama mtu umejichokea?.. Afu kuku wanalala sa12 bana..Jamani pengine jamaa anaangalia zake dstv na hg naye anamalizia kazi zake, kuna tatizo hapo, wanawake wengi wakishaolewa wanabweteka, inawezekana huyo mzee hana hamu ya kwenda bedroom mapema kwa sababu hata akienda mwenzie atakuwa anasinzia wakati yeye hana usingizi. Huyu dada atuambie anapolala saa tatu anaamka saa ngapi. Unalala saa tatu umekuwa kuku?
Lolz... Sa 3 mbona ni mda wa kawaida kama mtu umejichokea?.. Afu kuku wanalala sa12 bana..
Hata mimi napenda nisahihishwapo. Ila kuna wengine hawapendi. Ukiwasahihisha wanaona kama vile unajidai unajua. Wananshangaza!
Hivi kweli huyu mke anashindwa kumshawishi mumewe awe anatamani kulala mapema kweli? Kwanza unaingiaje kulala ilhal mahboub wako akingali macho? Litakalotokea huyu amejitakia
Mkuu ndoa unayojaribu kuongelea ni ya kufikirika...Ndoa nyingi ziko namna hiyo ingawa baba hawezi kukaa sitting room kila siku na mama hawezi kulala saa 3 kila siku!!
Kulala ni sawa ila ingemsaidia kama angeweza kulala kama sungura!