JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 497
Hmmm....JS
Niaje aisee mambo...nimekumisije?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hmmm....JS
Niaje aisee mambo...nimekumisije?????
Lol, sasa mume akiingia kulala na mkewe hiyo sa 3 na chakula ya usiku si ndio atapata mda huo?
Poa sana SC. Unaendelea vizuri lakini?
Mi naona mambo mengine wanawake katika ndoa ni kujitafutia tu matatizo. Inakuwaje kwamba kwa siku za hivi karibuni wasaidizi wa kazi za nyumbani maarufu kama housegirls wamekuwa ni tishio katika ndoa?? mbona miaka ya zamani mama zetu walikuwa wanaishi na hao hao housegirls vizuri tu na tena kunakuwa na mipaka? wao waliwezaje?? hii biashara mke unatoka kazini unaweka miguu juu kila kitu msichana afanye kuanzia asubuhi mpaka usiku mume anaona umekaa tu hujishughulishi kama mama mwenye nyumba inaharibu sana ndoa. mmezidi kujibweteka mlioko kwenye ndoa na msipobadilika ndo yale yale mume anaanza kumuonea huruma msichana kutokana na kazi nyingi na ndo ukaribu unapojijenga hapo. kama mke chukua nafasi yako. Mnanichosha kila siku kulalamika kuhusu housegirls. as far as am concerned once i get married inshallah i will be different from the rest of y'all complaining about these poor girls. :behindsofa:
Hahaha! Hujaolewa bado JS umeyajulia wapi haya ya hainogi?chakula ya usiku kuliwa saa 3 hata hainogi kwa kweli...ndo maana mume anajionea bora achelewe kulala tu
mimi huwa najiuliza hili...
kwa nini housegirl aje kumfungulia mlango 'mume'????
why her?
kwa nini mama mwenye nyumba usihakikishe housegirl analala mapema
na unampiga marufuku 'kumfungulia' mume mlango??????
Uliza kwanza kwa nini mwanaume arudi usiku wa manane. Si h/girl wala mke ana deserve kuamka usiku wa manane kumfungulia mtu mlango. Inachosha!
Hahaha! Hujaolewa bado JS umeyajulia wapi haya ya hainogi?
Switi bebi we umeolewa?
Hahaha! Hujaolewa bado JS umeyajulia wapi haya ya hainogi?
Ndio NN.
Una uhakika mama zetu waliishi na mahose girl bila threat???? Mahita ni wa umri wetu???
Huyo mume anabaki mpaka sa sita ili iweje?
Nisichoelewa ni kuwa baba anakuwa anafanya nini? Au anaangalia TV tu ila wife hajiamini? Au anakuwa anapiga story na housegirl kumpa company? Ni story gani wanazopiga? Mimi hao ningwawekea recorder tu nijue wanaongea nini?
Otherwise kulala saa tatu sio issue; ni vema sana kwa afya na inaongeza muda wa kuishi. Kuna wengi wanatamani kupata usingizi hawaupati; mwache mama wa watu alale mapema. Ila angeweza kujipanga ili na msichana wake apate muda wa kupumzika vile vile.