Mume wangu anabaki na housegirl mpaka saa tano /sita NDIO ANAKUJA KITANDANI

niliapa beki tatu ndani ya nyumba yangu marufuku....nsijepata kesi bure

Acha hizi Shosti!!!! ndio maana Nywele zimegoma kuota...Weka beki tatu lakini kula naye sahani moja kuhakikisha hazimi taa akimuona Baba mwenye nyumba :):):) na ukifanikiwa kumpata tu baada ya miezi miwili utaona nywele zimeota tena kwa kasi ya kutisha maana stress za kazi za nyumbani zitakuwa zimepungua sana na hivyo kupata wakati wa kupumua.
 
na wewe nawe utakuwa na mdomo na mlalamishi sana ndo maana mume hataki kulala na wewe mapema..badilika bana
 
asijekuwa jiran yangu maana ana anawagongaga mah_gal then akinogewa ana mtorosha anampangishia _yaan wakiondoka kwenda job tu, jamaa anarud tena fasta mpakaa, then anarud job kuzuga na kumchukua wife_dogo noma, wa hiv karibun wa mwisho alikimbilia kwangu kutafuta hifadh baada ya kukimbizana ndan bila kufikia muafaka_kwa kwel haya mambo msiyajadil juu juu wandugu
 
Just 2 cents...

Inaonyesha mwanamke ni mvivu, anamtumikisha H'girl kama punda, na kuna tatizo la mawasiliano kati ya Baba na Mama...

Ki-ubinadamu...nategemea Baba na Mama watakuwa mwisho kulala, Mama atajua kazi zote za H'girl na atamsaidia..
 
Binadamu ni kazi sana kuishi na mwanadamu mwenzie.Kabla hajajiuliza kuhusu mumewe ajikague kama service zote anazitimiza vizuri.Baada ya hapo ajikague pia mara nyingine kama anamuamini mumewe,kisha yeye ndo aamue amuulize ama la!
 
Mwache alale saa 3 usk.. Ikiwezekana mwambie alale saa 12 jioni... Siku moja atakuta nyumba siyo yake...
 
Huyu mama mwenye nyumba ajaribu kumsubiria mumewe mpaka huo muda wa housegel anapokwenda kulala. Akifanya hivyo kwa mwezi mmoja tu atajuwa nini kinaendelea
 
Mie sijaona shida hapo kabisa yaani mie niache kulala kisa eti namsubiria mume
akiangalia mpira?? Mweeehhh wanawake tuna kazi sana ila mie ahaaahhh
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Aache kumpa house girl kazi za usiku, afanye kazi mchana kutwa na usiku pia? Ahakikishe akiingia kulala h'girl nae anaingia kulala manake huyo mumewe anamvizia h'g.

Nimependa comment yako. Ila napenda tu akina mama wanipe majibu. Hivi ni sawa kumfanyisha house girl, ambaye ni minor, kazi kuanzia saa kumi alfajiri mkapa saa sita usiku kila siku - yaani siku saba za wiki? Hivi mahousegirl huwa hawafanyi mambo mazuri ya kupongezwa hata siku moja au ni kanuni za kawaida za kiutawala kuangalia makosa peke yake na kumgombeza? Je ukimpongeza housegirl mara moja moja kwa jambo zuri alilofanya utakuwa umekiuka kanuni? Am just being curious!
 

Acha hizi Shosti!!!! ndio maana Nywele zimegoma kuota...Weka beki tatu lakini kula naye sahani moja kuhakikisha hazimi taa akimuona Baba mwenye nyumba :):):) na ukifanikiwa kumpata tu baada ya miezi miwili utaona nywele zimeota tena kwa kasi ya kutisha maana stress za kazi za nyumbani zitakuwa zimepungua sana na hivyo kupata wakati wa kupumua.
hahahaahhahhahhah nakaba mpaka kivuli aisee sio unaweka beki tatu halafu kijoka anazima taa :lol: hizi nywele mtihani na naona nilivyoweka bayana ndo zimepukutika kiukweli saa hizi ngozi nje nje:hatari: sasa likija beki tatu la kigunya nna changu mie!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapo tusaidie je kama ye anaona usingizi una faida kuliko mumewe?kwanza iweje usingizi unapata je kama hubby yuko sijui sitting ?Mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake !na bado kitu kimoja atahamishwa chumba mdada aingie ndio ilobaki lol(matatizo mengine kina wake mnajitakia wenyewe yani)
 
Sasa mke anataka mume alale saa tatu amekuwa kuku? Anakaa na wanume wenzake saa ngapi ? Acheni kuwabana wanaume zenu kwa visingizio vya kitoto.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mie sijaona shida hapo kabisa yaani mie niache kulala kisa eti namsubiria mume
akiangalia mpira?? Mweeehhh wanawake tuna kazi sana ila mie ahaaahhh

Sasa mke anataka mume alale saa tatu amekuwa kuku? Anakaa na wanume wenzake saa ngapi ? Acheni kuwabana waume zenu kwa visingizio vya kitoto.

...mmeona ee? ....yaani mume akiwa type ya mkaaji nyumbani, lawama ati halali mapema...
akiwa type ya kurudi majogoo, lawama!...duuuh....
 
Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe! ninanukua ingawa si kwa usahihi sana.....................wadau wameshasema hapana kuna uvivu na uzembe pia!
 

...mmeona ee? ....yaani mume akiwa type ya mkaaji nyumbani, lawama ati halali mapema...
akiwa type ya kurudi majogoo, lawama!...duuuh....

Ai we Mbu sasa yaani mie sina interest za na mpira nikae tu namsubiri
Mume aangalie aka nakwenda zangu kulala mie wala sina hiyana
Halafu navopenda kulala hata saa 12 nishalala
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom