Mume wangu anabaki na housegirl mpaka saa tano /sita NDIO ANAKUJA KITANDANI

Uliza kwanza kwa nini mwanaume arudi usiku wa manane. Si h/girl wala mke ana deserve kuamka usiku wa manane kumfungulia mtu mlango. Inachosha!

mume anaweza kurudi muda wowote anaetaka
na kama ni tatizo kwa mke hilo 'halimhusu kabisa housegirl'
housegirl asiaamshwe usiku 'kumfungulia' mlango mume
hata kama mume 'hamtongozi' huyo housegirl
kero ya mume ni jukumu la mke kuiondoa au kuivumilia...
 
NB HAKUNA SIKU ALIOMKUTA NA HGIRL WAKIBUSIANA AMA KUFANYA TENDO OVU.

...hiyo quote hapo juu ina ujumb mzito sana kuhusiana na kinachoendelea kichwani mwa mama mwenye nyumba. ----"dirty minded!"
 
Muda wa kwenda kulala haujafika. Kuna wengine akilala saa 3 anaamka saa 10 halafu usingizi unapaa!
Inaonyesha wazi kwamba huyo mke ameshakata mawasiliano na mme wake. Huwezi ukawa na mawasiliano mazuri kwenye ndoa ukawa unaenda kulala saa 3 kila siku unamwacha babaa sebuleni, hata kama yuko peke yake.

Mkuu ndoa unayojaribu kuongelea ni ya kufikirika...Ndoa nyingi ziko namna hiyo ingawa baba hawezi kukaa sitting room kila siku na mama hawezi kulala saa 3 kila siku!!

Kama baba anajiheshimu basi atahakikisha haweki ukaribu wowote na Beki tatu kama kuangalia naye TV au sijui kumsubiri amalzie kazi. Na huyo mama atakuwa na matatizo kama hamjui mumewe. Kama anajua kuwa adabu ya mume wake ni ndogo, basi anaweza kuhakikisha anachunga mzigo wake hadi ufike salama...Ila hayo ni maisha ya hovyo zaidi ya utumwa!!
 
Ndugu zanguni pamoja na kwamba tunapenda aman kwenye ndoa bado nimeona kuna haja ya somo la ufahamu kuwepo kwenye maisha ya kila siku ya wanandoa...leo nilikuwa na kikao na ndugu fulani mmoja wao akilalamika mumewe amekuwa akiingia kitandani saa tano ama sita wakati yeye amekuwa akiingia saa tatu..baya akaenda mbali kwa kusema amekuwa akisubiri mpaka dada wa nyumban amalize kazi aingie kitandan mwake ndie na yeye unasikia amezima taa.......Ukiwa kama wewe kabla ya kuendelea unalimalizaje hili swala..NBHAKUNA SIKU ALIOMKUTA NA HGIRL WAKIBUSIANA AMA KUFANYA TENDO OVU...KWAKO MWANA MAPENZI WA JF

[h=2]anabakigi = anabaki[/h]
 
Muda wa kwenda kulala haujafika. Kuna wengine akilala saa 3 anaamka saa 10 halafu usingizi unapaa!
Inaonyesha wazi kwamba huyo mke ameshakata mawasiliano na mme wake. Huwezi ukawa na mawasiliano mazuri kwenye ndoa ukawa unaenda kulala saa 3 kila siku unamwacha babaa sebuleni, hata kama yuko peke yake.
Aingie tu chumbani awepo na wife, kuwa chumbani sio lazima ulale mda huo!

Inshort tu huyo mdada/mama awe anahakikisha h'girl kalala nayeye ndio aingie kulala, inawezekana kweli mume hana usingizi kwa muda huo, sasa vile na h'girl anakuwa bado kulala mama mawazo yashaenda mbali, kukata mzizi wa fitina aache kumpa msichana kazi za usiku ili nae alale sa 3 kama yeye.
 
Huyo mume anabaki mpaka sa sita ili iweje?

Jamani pengine jamaa anaangalia zake dstv na hg naye anamalizia kazi zake, kuna tatizo hapo? wanawake wengi wakishaolewa wanabweteka, inawezekana huyo mzee hana hamu ya kwenda bedroom mapema kwa sababu hata akienda mwenzie atakuwa anasinzia wakati yeye hana usingizi. Huyu dada atuambie anapolala saa tatu anaamka saa ngapi. Unalala saa tatu umekuwa kuku?!!
 
Hivi kweli huyu mke anashindwa kumshawishi mumewe awe anatamani kulala mapema kweli? Kwanza unaingiaje kulala ilhal mahboub wako akingali macho? Litakalotokea huyu amejitakia
 
Jamani pengine jamaa anaangalia zake dstv na hg naye anamalizia kazi zake, kuna tatizo hapo, wanawake wengi wakishaolewa wanabweteka, inawezekana huyo mzee hana hamu ya kwenda bedroom mapema kwa sababu hata akienda mwenzie atakuwa anasinzia wakati yeye hana usingizi. Huyu dada atuambie anapolala saa tatu anaamka saa ngapi. Unalala saa tatu umekuwa kuku?
Lolz... Sa 3 mbona ni mda wa kawaida kama mtu umejichokea?.. Afu kuku wanalala sa12 bana..
 
Hata mimi napenda nisahihishwapo. Ila kuna wengine hawapendi. Ukiwasahihisha wanaona kama vile unajidai unajua. Wananshangaza!

Inategemea na vile unadeliver usahihisho wako, ukijifanya kuchonga sana lazima waku-mind tu.
 
Hivi kweli huyu mke anashindwa kumshawishi mumewe awe anatamani kulala mapema kweli? Kwanza unaingiaje kulala ilhal mahboub wako akingali macho? Litakalotokea huyu amejitakia

MJ1, you're telling the truth. Mi nadhani hiyo ndoa ina tatizo la msingi linalosababisha mamaa akalale saa tatu kila siku na babaa achelewe sebureni kila siku. Hili suala la housegirl is just a felt need. Real need haijaletwa hapa.
 
Mkuu ndoa unayojaribu kuongelea ni ya kufikirika...Ndoa nyingi ziko namna hiyo ingawa baba hawezi kukaa sitting room kila siku na mama hawezi kulala saa 3 kila siku!!

Mkuu, wala siyo ndoa ya kufikirika. Ndoa yoyote yenye upendo, amani, na mawasiliano mazuri inakuwa na maelewano ktk mambo mengi ikiwamo pia na kulala. Kweli zipo siku ambazo mtatofautiana muda wa kwenda kulala, lakini haiwezi kuwa kila siku. Hata majambozi ya kufanya kwa kukurupushana usingizini huwa hayanogi. Matayarisho yanapaswa kuanza mapema na huko kwenye 6x6 inakuwa ni kwenda kumalizia tu. Sasa kama mmoja saa 3 mwingine saa 6, huko si ni kurukiana tu !?
 
Kuna kila ushaidi wa kusema huyu analala sungura style; Otherwise asingejua kuwa Mr na H/girl wanapeana company; tena anaendelea kutoa details kuwa hajawahi kuwakuta wanakiss wala ku do. Meaning anachungulia chungulia. Mzigo lazima uchungwe; ila naona amechoka kazi ya ulinzi. Lol. Ndio maana kaamua kulalamika.


Kulala ni sawa ila ingemsaidia kama angeweza kulala kama sungura!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom