Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Pole sana best, pia hongera kwa maamzi ya kutokukurupuka, hadi hapo upo sahihi. Mdogo wako ameitia ndoa yako doa ambalo halitafutika kamwe hadi mwisho wa maisha yenu. Mumeo kakuvunjia heshima, kakuvua nguo wew na familia ya kwenu kwa ujumla. Maamzi sasa kama ukaamua kumuacha utakuwa sahihi kwani kama utang'ang'ania kulinda ndoa hilo tukio litakuwa ni mkuki wa moyo wako milele. Kwa sababu ni mwanzo wa maisha yenu ya ndoa sio mbaya ukifuta na kuanza upya kuliko uvumilie uumie maisha yako yote. Fanya maamzi magumu kwa ustawi wa furaha yako ya maisha.
 
Makosa ni ya mdogo wako.....je angezaa nje kabisa huko na mtu mwingine ungechukua uqmuzi gani
Samehe maisha yasonge maana ukiwaacha ndo wanachukuana kabisa na wewe utakuja kupoteza mwelekeo
 
Kuna baraka nyingi sana kwa watu wanaosamehe
 
Huu ushauli hatauelewa ndugu! Umemwambia asamehe lakini pia umemwambia asibebe laana,ahame mkoa aondoke,ashike lipi labda ulomaanisha?
Hatauelewa kwa kipi mkuuu uuupsss Kwan ukisamehee haweZ kuhama mkoa???? Mm namaanisha ahakikishe anawasamehe na aondoke kuanza maisha mapya .sio kuanza maisha wakati bdo Una vifungo vya kuwasamehee watu Mungu hawez kumbariki kwa Hilo.
 
!
!
Nimeishea hii habari na mke wangu. Kwa maoni yake ni kwamba hiyo mimba kwanza itolewe mengine yatafuataga huko mbele kwa mbele.
Huyo kiumbe ambaye mkeo akapendekeza auwawe kosa lake ni lipi? Pili kwa kuwa kuuwa ni kosa nani atabeba hiyo dhambi siku ya Hukumu?
 
Goodluck Mshana nimekuelewa lkn to be honest hilo ni suala gumu sana, emu niambie nafuata nini kwake? Speak frankly hapa.
Dada @#leah2 sadaka pekee unayoweza mpa mumeo ni MSAMAHA. Rudisha picha nyuma uone ni kwa jinsi gani umekuwa ukimkosea mumeo...mmekoseana mangapi na kusameheana mangapi?! Kiimani hakuna dhambi kubwa na ndogo. Hukumu ya mzinifu na mlevi wa viroba ni moja kwa Mola wetu. Na kwaatubuye na kujutia dhambi zake atasamehewa.

Leah, paka moyo wako grease. Upake mafuta ya karafuu na mzeituni. Mfukize mumeo kwa moshi wa MSAMAHA. Labda nikwambie kitu my dear...yupo aliyafanya ya mumeo. Akajutia na mkewe akamsamehe. Mume hakuwa na amani. Hakutamani kumuona mtoto wake aliyezaa na mdogo wa mkewe.

Siku zikakimbia. Maisha yanasonga. Mapenzi yakarejea. Miaka ikakatika. Siku moja yule mtoto akawa anaenda kisimani huko kijijini kuchota maji. Ooh gosh..akatumbukia kisimani na kufa. Ilihuzunusha sana maana ni mwanadamu kafariki. Lakini chaajabu baba mtoto alifurahi sana na akawa na amani maradufu.

Ninachotaka kusema hapa ni kwamba..msamaha una faida. Gorgivenees pays. Je wewe utaishi milele bila kumkosea mtu? Hutatenda dhambi na kuomba upewe nafasi ya kusamehewa?! Je wewe umekamilika? yes, I do sympathise with you my dear... But think twice. Things happens and Never say Never. Cheers!!

Goodluck Mshana
 
Habari za asubuhi wanajamvi,

Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.

Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.

Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.

Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.

Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.

Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.

Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.

Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.

Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.

Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.

Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.

Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..

Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.

Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.

Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.

Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..

Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.

Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.

Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.

Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?

Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.

Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.

Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.

Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.

Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..

Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.

Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,

Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.

Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..

Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.

Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.

Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.

Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..

Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.

Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.

Wameondoka na sijui walipo kwenda.

Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.

Najiuliza heshima yangu iko wapi?

Jamii inanionaje?

Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?

Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.

Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.

Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.

Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.

MKUU
WEKA HUO USHAIDI ULIOURIKODI HAPA
ILI NIKIPE USHAURI MATATA SANA
AMBAO HUWEZI UPATA POPOTE PENGINE NCHI HII.
 
Kwanza pole sana mdada kwa maumivu uliyoyapata.
kwa mtazamo wangu, maamuzi yako ni ya msingi kwa sababu wewe ndiye unayejua ugumu wa maisha unaokuja iwapo utaendelea na hiyo ndoa. lakini pia huyo baba ameonesha kuwa alikuoa kwa bahati mbaya ndio maana alipomuona mdogo wako akaamua kukuzunguka. kwa kosa hilo la kukosa uaminifu (uzinzi) huyo bwana anastahili kuachwa. kama utaamua kuendelea kuishi naye ndoa itaendelea kuwa na doa kwasababu tayari amevunja kiapo cha uaminifu hadharani. na anayevunja kiapo cha uaminifu hadharani ni lazima achapwe. pili huyo mdogo wako ataendelea kuleta dharau kwako iwapo wewr hutajaliwa mtoto kwenye hiyo ndoa yenu. Mwisho nakushauri kwakuwa ulifunga ndoa, ni bora ukalipeleka hili wazo lako kwa kasisi wako. nadhani yeye atakushauri kiroho zaidi. haya mawazo yetu ni ya kimwili zaidi
 
Achana naye tu,anza maisha mapya kabisa na uhame mtaa/mkoa kama inawezekana.Ila kuna FUNZO kubwa sana la kujifunza kwako,ili lisijirudie tena.
 
Habari za asubuhi wanajamvi,

Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.

Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.

Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.

Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.

Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.

Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.

Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.

Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.

Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.

Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.

Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.

Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..

Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.

Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.

Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.

Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..

Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.

Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.

Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.

Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?

Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.

Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.

Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.

Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.

Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..

Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.

Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,

Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.

Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..

Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.

Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.

Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.

Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..

Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.

Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.

Wameondoka na sijui walipo kwenda.

Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.

Najiuliza heshima yangu iko wapi?

Jamii inanionaje?

Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?

Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.

Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.

Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.

Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.
Pole sana Dada. Si jambo geni ktk jamii ila kwako ni geni. Linauma sana. Nachokushauri ni kuwasamehe wote wawili toka moyoni mwako.
Pili ni kuachana na mumeo. Muachie mdogo ako mume. Nakupongeza kwa kukataa kuishi kinafiki. Fuata utashi wako
 
Dada pole lakini ninachokiona hapa ,mosi katika familiya yako wewe ndo ulikuwa unataka kumtawala mmeo,kuzaa hutaki wakati mwenzio anataka mtoto nahisi hii inatokana pia na ujivuni kuwa mmeo ndo anaishi kwako.
 
Oops pole sweetheart, ila ukijisikia kulia please lia tu utakavyoweza. Machozi yanasaidia sana kupunguza maumivu na uchungu. Mwisho wa siku Jitahidi uwasamehe wote (kusamehe sio lazima urudiane na mumeo), usije zuia baraka zako bure. Mungu akupitishe salama katika pito lako hili
I See wife material here...
 
dah pole sana mwaya..hawa wanaume sijui sometimes akili wanaweka wapi..yaani of all wanawake outside there ndio atue kwa mdogo wako..mxiuu
tatizo sio la wanaume tu Hata wanawake wanazaa na shemeji zao (yaani kaka au mdogo wa mume wake).
 
Dada @#leah2 sadaka pekee unayoweza mpa mumeo ni MSAMAHA. Rudisha picha nyuma uone ni kwa jinsi gani umekuwa ukimkosea mumeo...mmekoseana mangapi na kusameheana mangapi?! Kiimani hakuna dhambi kubwa na ndogo. Hukumu ya mzinifu na mlevi wa viroba ni moja kwa Mola wetu. Na kwaatubuye na kujutia dhambi zake atasamehewa.

Leah, paka moyo wako grease. Upake mafuta ya karafuu na mzeituni. Mfukize mumeo kwa moshi wa MSAMAHA. Labda nikwambie kitu my dear...yupo aliyafanya ya mumeo. Akajutia na mkewe akamsamehe. Mume hakuwa na amani. Hakutamani kumuona mtoto wake aliyezaa na mdogo wa mkewe.

Siku zikakimbia. Maisha yanasonga. Mapenzi yakarejea. Miaka ikakatika. Siku moja yule mtoto akawa anaenda kisimani huko kijijini kuchota maji. Ooh gosh..akatumbukia kisimani na kufa. Ilihuzunusha sana maana ni mwanadamu kafariki. Lakini chaajabu baba mtoto alifurahi sana na akawa na amani maradufu.

Ninachotaka kusema hapa ni kwamba..msamaha una faida. Gorgivenees pays. Je wewe utaishi milele bila kumkosea mtu? Hutatenda dhambi na kuomba upewe nafasi ya kusamehewa?! Je wewe umekamilika? yes, I do sympathise with you my dear... But think twice. Things happens and Never say Never. Cheers!!

Goodluck Mshana
Heeee
 
Back
Top Bottom