TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Nikija huko juu ntataka pisi kali zaidi yako, h ndo fursa yako kuniharibia uvulana wangu
Tulia wewe nina foleni ikiisha ndio nikufikirie we chokoraa
 
Attachments

  • 762BD645-C615-48D2-B4C4-3D296B7D2830.jpeg
    762BD645-C615-48D2-B4C4-3D296B7D2830.jpeg
    132.2 KB · Views: 6
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kumbe wauaji nao hufiwa?
Ila Samia hajanguswa na huu msiba, mtu aliyenguswa na msiba apate nguvu ya kukaa kwenye kiti badala ya kukaa kwenye busati???
 
Attachments

  • FB_IMG_1788814751916.jpg
    FB_IMG_1788814751916.jpg
    167.6 KB · Views: 4
Sijaona mtumishi yoyote kashangilia kifo cha yoyote zaidi vile Vifo vimetokea kwa ukiukwaji wa Sheria zetu

Mbona D9 mbona 7+7
hakuna Vifo ???

Jamhuri inawapenda Raia wake sana tatizo kujitia
upofu wa Sheria ndio Jamhuri inachukua hatua ✍️
La 7 failure kabisa nao wapo JF. Nimefuatilia comments zako, nimeamini kama taifa bado tunao vilaza wengi sana, always mtu akikosa furaha kwa matendo ya ndg yake basi mabaya yampatayo ndg yake ndo inakuwa furaha kwake. Hata wewe ukiua mtoto wa jirani yako kisa ni mwizi, hata siku ukifiwa na mkeo huyo jirani yako atafurahi akiamini Mungu anakupitsha na wewe kwenye machungu.
 
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mungu ikimpendeza awachomoe pia Abdul na Wanu ili fazafaka wa Kizimkazi apate kutambua kwamba mamlaka ya kuamua nani aishi na nani asiishi ni ya Mungu, sio yake yeye fazafaka (ambaye kwa kutumia mamlaka feki ya kimungu amesababisha wanawake wenzake wengi kuwa wajane)!
 
Back
Top Bottom