TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Hujanielewa kabisa. Simaanishi kuwa huyu ni Iddi Amin wala kuwa naunga mkono, bali nilitaka ujue hii tabia haijaanza leo na kama taifa ilijengwa na Chama tawala kwa watu ambao haikufurahishwa nao maana hizo nyimbo za kumsemanga Amin zilitokea hukohuko serikalini ndio maana ziliimbwa majeshini, mashuleni na ukimhoji Nnauye anakumbuka baba yake ndio alihamasisha sana hizo. Iddi Amin hakuwahi shika bunduki na kuua watu Kagera ila walikuwa chini yake ndio maana uchungu wakamuangushia yeye.
Hakuna style inaumiza moyoni kama watu wakikebehi maumivu yako ya kufiwa. Tujirekebishe tuwatendeayo wengine kupitia madaraka
Nimekuelewa Mkuu
Ila hiyo tabia haikuwa nzuri na siyo nzuri
 
Tuache ujuaji mwingi,tuache kazi ya Mungu ibaki kazi ya Mungu.Pili kama mtu kitu hukijui vizuri,tafiti kwanza ndipo utoe maoni.Kuna watu wameumbuka kwa jina tu la hospitali,mara ooh eti script hivi script vile.Hiyo hospital ipo zanzibar
 
Tuache ujuaji mwingi,tuache kazi ya Mungu ibaki kazi ya Mungu.Pili kama mtu kitu hukijui vizuri,tafiti kwanza ndipo utoe maoni.Kuna watu wameumbuka kwa jina tu la hospitali,mara ooh eti script hivi script vile.Hiyo hospital ipo zanzibar
Hao tumeshawaelimisha kwamba sie wazanzibari pia tuna hiyo hospitali, msitubague, kuhusu umeme tulishasema msitushughulishe hata vibatari tutawasha, wakate tu. Wasituzongee
 
Gentleman,
ikiwa una taarifa za msiba wa ndugu, jamaa au rafiki yako, unaweza kushiriki msiba huo kiroho au kimwili kulingana na nafasi yako na inatosha kabisa šŸ’
Endelea kutoa elimu gentleman, shida mihemko inaponza watu.

Sasa huu msiba wa kitaifa si wangetupiga hata robo mlingoti gentleman, au una maoni gani?
 
؄نا لله ŁˆŲ„Ł†Ų§ Ų„Ł„ŁŠŁ‡ Ų±Ų§Ų¬Ų¹ŁˆŁ†ŲŒ اللهم اغفر له ŁˆŲ§Ų±Ų­Ł…Ł‡ ŁˆŲ¹Ų§ŁŁ‡ واعف عنه ŁˆŲ£ŁƒŲ±Ł… نزله ووسع مدخله ŁˆŲ£ŲŗŲ³Ł„Ł‡ بالماؔ ŁˆŲ§Ł„Ų«Ł„Ų¬ ŁˆŲ§Ł„ŲØŲ±ŲÆŲŒ ŁˆŁ†Ł‚Ł‡ من Ų§Ł„Ų°Ł†ŁˆŲØ ŁˆŲ§Ł„Ų®Ų·Ų§ŁŠŲ§ ŁƒŁ…Ų§ ŁŠŁ†Ł‚Ł‰ Ų§Ł„Ų«ŁˆŲØ Ų§Ł„Ų£ŲØŁŠŲ¶ من Ų§Ł„ŲÆŁ†Ų³ŲŒ و أبدله ŲÆŲ§Ų±Ų§ خيرا من داره وزوجا خيرا من Ų²ŁˆŲ¬Ł‡ŲŒ و ادخله الجنة و أعذه من Ų¹Ų°Ų§ŲØ القبر و Ų¹Ų°Ų§ŲØ النار
 
؄نا لله و ؄نا Ų„Ł„ŁŠŁ‡ Ų±Ų§Ų¬Ų¹ŁˆŁ†.
Pole sana mheshimiwa Rais.
Pole sana mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir.
Pole sana familia yote ya marehemu mzee Hafidh Ameir Hassan.
Pole sana Wana Kizimkazi.
Pole sana Wazanzibari wote.
Na pole sana watanzania wote.
MSIBA WA MHESHIMIWA RAIS NI MSIBA WETU.
Kwa hiyo umejoin utoe pole?
 
Wewe mwaka 1978 hadi 1979 ulikuwepo? Nadhani hukuwepo, na kama ulikuwepo ulikuwa mtoto. Kama vijana tulikuwa tunalazimishwa kuimba wimbo wa "Idi Amin akifa mimi sitalia ila nitamtupa Kagera (mtoni) awe chakula cha mamba". Hayo yalikuwa maamuzi ya kitaifa, kuimba nyimbo hizo.
Hii tumeimba sana hata sisi vijana wa makamo,mchaka mchaka kabla ya vipindi...maisha yalikua mazuri sana si sasa watoto wengi ni wazembe mayai mayai sana.
 
Comment yangu ya kwanza kabla ya hiyo, umeisoma?
Nimesema huu mtindo wa watu kushangilia vifo naona kama ni ujinga
Umeshawahi kusababishiwa janga na mtu/ndugu yako wa damu kutendewa ubaya wenye maumivu kupitiliza ?
Huyo mtenda akipatwa changamoto utalia naye sio?
Ungeweka kwenye angle ya familia zenye machozi wala usingesema ulichokisema.
 
Nimekuelewa Mkuu
Ila hiyo tabia haikuwa nzuri na siyo nzuri
Sawa. Ila tusichunguze tulips angukia bali tulipo jikwaa.
Hizo tabia zilianza wakati wa Nyerere na watekelezaji wa kuwasema marehemu walikuwa Col. Moses Nnauye, Brigedia Mwakanjuki, mzee Zoro, marehemu Komba nk
 
Back
Top Bottom