TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Nimeamka na mafua, wamenilazimisha kunywa hii dawa🄺
Kuna siku tulienda mahali na wenzangu wakiwa wanajua kabisa pombe situmii.

Wakaleta vi glass, baadae nikajua vinaitwa shot, ilikua tequila, nikabugia mara moja wakati wenyewe walikua na ndimu/limau na chumvi.

Kesho yake niliamka pua safiii, hewa naisikia inavyopita kama nimepaka vicks. Nikasema kumbe mafua dawa ipo na watu hawatusmbii...

Ila nilitaka kutumia opportunity kufsnya uhalifu, wakati tunaondoka, nikaambiwa niipeleke pisi moja kwake kwa vile muda ulikua umeenda. Nilitaka kusingizia kulewa, sema kuna akili ilikua bado imesalia kidogo ya kusema this is not right.
 
Hahahha baba next time weka chumvi nyuma ya mkono lamba, kunywa shot hafu kula ndimu 😜

EwaahhhšŸ¤—

Maisha ndio haya haya hapa sielewi unajuašŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Mie ndio ilikua mara ya kwanza, ni muda kidogo, tulikua tumeenda kwenye mtoko na marafiki. Sada wakaagiza vikaja hivyo vi glass kwa idadi yetu. Cha ajabu nilivyotupia fundo moja, wote wakawa wanatizamana na kuuliza nimemwaga chini au nimekunywa?

Hapo ambapo haujaelewa, baada ya shughuli, tulivyokua tunaondoka, nikaambiwa niipeleke pisi moja nyumbani kwake, niisindikize, sasa tulivyofika kwake tukapanda juu anapoishi si unajua mambo ya udhaifu, nikataka kusingizia kulewa nifanye uhalifu, palikua na green light upande wa pili, ndio kidogo nikajisemea sijalewa kiasi hicho na sifikirii ni kitu nahitaji kufanya ( kimsingi sikua naielewa hiyo kazi...).

Umeelewa au bado hangover inasumbua kichwa tulete supu?
 
We ni nomaašŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚

Ulitaka kufanya uhalifu upi? Demu ulimpeleka?šŸ˜‚

Nimeelewa elewa, nazimua hapa hangover zitakutana hukohukošŸ˜…
 
Yap. Nilitaka kupiga kimasihara na mrembo niliyempa lift...( japo hua nasema hakuna kitu kinaitwa kimasihara, inakua tu binti ameamua aliwe basi, siku zote, mwanamke ndio anaamua itokee au isitokee. Sisi wanaume ndio tunaleta mambo mengi mara kimasihara sijui najua kupiga sound, hakuna lolote).

Pole sana, unaomboleza msiba kitajiri sana.

Inamaana leo hatupewi hata robo mlingoti?
 
Yap. Nilitaka kupiga kimasihara na mrembo niliyempa lift...( japo huz nasema hakuna kitu kinaitwa kimasihara, inakua tu binti ameamua aliwe basi, siju zote, mwanamke ndio anaamua itokee au isitokee. Sisi wanaume ndio tunaleta mambo mengi mara kimasihara sijui najua kupiga sound, hakuna lolote).
Uko sahihi šŸ’Æ kabisa!
KPole sana, unaomboleza msiba kitajiri sana.
Naumwa jamani🄲
Inamaana leo hatupewi hata robo mlingoti?
Mtajua hamjui, mfiwa mkavuuu je sie?
 
Sahihi kabisa usemayo,siku zote Mke akifa ndio utambulisho wa mume utajulisha ila kwa mke likishatajwa jina lake ama hadhi yake yatosha,ukishasema Mume wa Rais tutajua ni kiongozi wa nchi,ila kwa kwa mwanaume tutasema mke wa rais fulani kafariki
Hujaelewa jamaa amemaanisha nini 😁😁😁, rudia kusoma neno kwa neno
 
Back
Top Bottom