TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Sikuwepo kabisa
Lakini huyu siyo Idd Amin
Hujanielewa kabisa. Simaanishi kuwa huyu ni Iddi Amin wala kuwa naunga mkono, bali nilitaka ujue hii tabia haijaanza leo na kama taifa ilijengwa na Chama tawala kwa watu ambao haikufurahishwa nao maana hizo nyimbo za kumsemanga Amin zilitokea hukohuko serikalini ndio maana ziliimbwa majeshini, mashuleni na ukimhoji Nnauye anakumbuka baba yake ndio alihamasisha sana hizo. Iddi Amin hakuwahi shika bunduki na kuua watu Kagera ila walikuwa chini yake ndio maana uchungu wakamuangushia yeye.
Hakuna style inaumiza moyoni kama watu wakikebehi maumivu yako ya kufiwa. Tujirekebishe tuwatendeayo wengine kupitia madaraka
 

Attachments

  • EC3E5681-8C11-4325-BE0E-F9F9AEB48681.jpeg
    EC3E5681-8C11-4325-BE0E-F9F9AEB48681.jpeg
    540.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom