TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

Ndiye Baba Yake Abdul Huyo? Ndilo swali pekee nilililo nalo kuhusu taarifa hii.

Ndie baba yake, kifo kimeweka msawazo sana wakati maiti za vijana zimelala pale chini Mwanyamala kwenye morgue iliyojaa hadi kuzidiwa uwezo mkwe na shemeji yake Abdul aliamuru wizara ya afya waseme ni AI.

Maiti zile baadae zilikwenda kuzikwa kwa siri ambapo ripoti ya CCN ilifichua ni kule Kondo ikapelekea familia nyingi kutowahi kuona tena maiti za ndugu zao hadi wakazika nguo, viatu, na picha.

Leo hii familia ya wauaji walitamani hata wafiche hiki kifo cha huyu mtu wao ila ndio vile hawawezi pumzi ni kitu kidogo tu ila hata kwa hayo mabilioni yao waliyonayo hawawezi kuinunua.

Good riddance to bad rubbish.
 
Pole sana mama....
20241206_190119.jpg
 
Makubaliano ya vikao ni mawili. Kusettle na mwanamke wa miaka 25+ awe na bikira au awe na hela. Kwamba bikira ikikosekana angalao nae aje kwenye mahusiano na tangible contribution (hela na mali). Mwanamke miaka 28+ hana bikira, hana hela, hana kazi wala biashara huyu miaka 10 ya utu uzima ameitumia kufanya nini?
Kwahiyo tunatakiwa kuwa na kama shingapi(capital) ili tuheshimike na nyie present husbands?
 
Kwa masikitiko makubwa, tunatoa pole na rambirambi zetu za dhati kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia msiba wa mume wake mpendwa.

Katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, tunamuombea Mwenyezi Mungu ampe Mheshimiwa Rais nguvu, moyo wa subira na faraja katika kukabiliana na pengo hili kubwa la kumpoteza mwenza wa maisha.

Vilevile, tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huu. Tunatambua kuwa maneno hayawezi kuondoa maumivu ya kumpoteza mpendwa, lakini tunawaombea mpate nguvu na faraja katika kipindi hiki cha huzuni.

Pole kwa Mheshimiwa Rais. Pole kwa familia. Pole kwa ndugu na jamaa. Na pole kwa Watanzania wote kwa ujumla kwa msiba huu uliotugusa kama taifa.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape wafiwa wote moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu.
 
Kwahiyo tunatakiwa kuwa na kama shingapi(capital) ili tuheshimike na nyie present husbands?
Kumiliki mali yoyote uliyotafuta wewe mwenyewe na kuweza kumudu gharama zote za aina ya lifestyle uliyochagua kuishi bila kumbebesha mzigo mwanaume wala kujiona upo entitled kwenye hela na mali za mwanaume. Inatosha kabisa. Mmeamua kuwa wapenzi peaneni mapenzi, na kila mmoja abaki na hela zake. Kama unajiona una haki ya kulipwa ili utoe penzi basi pale pale unapotongozwa nyosha maelezo sema unauza
 
Back
Top Bottom