Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Watu wana Roho Mbaya jaman. Ubavu wako unatembea kwa miguu ww unapanda Gar pekee yko. Halafu Akitembea na wanaume wngne unakua Mkal
yaaan wakati wengine tulikua km malkia gari mpk chooni([emoji23] [emoji23] [emoji23] )
 
Je hizo gari mmezipata kihalali?usikute mwenzako kaenda kwa wazee bila Wewe kujua na ndo masharti.
 
Jifunze gari kimya kimya siku anaondoka kwenda job na wewe unachukua gari unaenda job uone atakufanyaje
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli aiseeehh!

yupo kimya now!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] gen si unajua bwana mambo ya ndoa, haiwezi kuwa sawa kila siku, tumeshayamaliza. Nashangaa wanaomponda, hawajui maisha ya ndoa..ubinafsi wa binadamu etc!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] gen si unajua bwana mambo ya ndoa, haiwezi kuwa sawa kila siku, tumeshayamaliza. Nashangaa wanaomponda, hawajui maisha ya ndoa..ubinafsi wa binadamu etc!!
najua sana tu!
hakuna tambarare pale kati kuna bonge la mlimaa!!!

natumai amelivukaa!!kwa salama!!
 
Nikajua niko mwenyeweee.. pole bibie I know how it hurts..
Fight nunua lako,
hilo lake hata ukienda driving kuna mawili,
either akupe au asikupe.
na Akikupa siku ukilikwaruza utajuta hata kuligusa.
Hebu jibane ununue lako, utakuwa huru na amani.
 
Ni kweli housegirl huyu Patience123 anaonekana ni mtu makini sana kwenye michango yake hapa jamvini. Nashangaa alikubali vipi kunyanyaswa kiasi hiki na wakati kwenye magari yote hayo kuna nguvu na jasho lake.

are you this WEAK??

juzi niliona comment yako unasema wanaharakati wa haki sawa ni mitandaoni tu huko duniani hamna kitu nikataka kukushushia m paragraph nikaone nisichafue hali ya hewa.

ni wewe ulisema kwenye thread flani kuwa wanaume wengi wana michepuko na huwezi kuacha mume kwa sababu ya mchepuko kwasababu utakuwa umewapa ushindi.

sasa mshindi unapanda boda boda, wake wenza wanabadilishiwa magari!!!

me navyopenda umalkia I don't see this happening to me.

umesema ni kampuni yenu lakini magari ni yake. HOW? Those are YOUR cars. Hivi hata alikushirikisha wakati ananunua kuuliza unapenda gari gani??

Is this man your father or your man??

I just hope uliendaga driving school, siku ukaibuka kazini na gari na akafurahi
 
Kwenye ndoa yako kuna jipu
Mlitafute halafu mlitumbue sawia
 
Mume mbinafsi huyo lol! Kajifunze kuendesha gari bibie, siku ya siku anakuona unaingia ofisini na gari mojawapo aliloliacha home au hata funguo za gari anaficha?
 
Kusema ukweli, unaweza kukuta mwanamke hawezi kuendesha au kichwa kigumu kuelewa ssa ndio gari umpe?
Halafu ataanza kwenda kuwashusha mashoga zake na ndugu zenu huko na huko. Kutwa kupuyanga.
Mimi nathani wanaume huwa tunakuwaga na mapenzi zaidi kwa wale wanawake independent wanaojileea sio zigo tu.
 
Ni kweli housegirl huyu Patience123 anaonekana ni mtu makini sana kwenye michango yake hapa jamvini. Nashangaa alikubali vipi kunyanyaswa kiasi hiki na wakati kwenye magari yote hayo kuna nguvu na jasho lake.
Kuna wanaume watataaa....!!

Mke huongei kitu!

Wanawake wengine pia si wasemaji waoga mnoo kwa wanaume zao!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani ulivyosoma umeona huyu mke ni tegemezi? Kampuni si wameanzisha wote au? Kweli kabla ya kuomba mwanaume tajiri, omba mwanaume mwenye utu na asiye mbinafsi. Haya mke kuendesha gari hajui, na kumpakiza napo inabidi aende "abiria school" ili a-manage kukaa kwenye seat vizuri?. Huyo mume alizaliwa tu anaendesha gari, si alijifunza kuendesha pia, mkewe atashindwaje? Hicho kichwa kigumu cha gari alimpimia wapi?

Hehe akipakiza mashoga zake tatizo liko wapi? what asipakize hata ndugu zake[emoji15] [emoji15] ? Hivi what is gari jamani, hizi roho za kimaskini zishindwe IJN. Nyie mkifika kwa mabinti mnajikutaga mna huruma, mnatoa lift hata kwa msiowajua, baki kwa michepuko. Mtafute wote afu still mtu akunyanyase SMH, alivyovitafuta peke yake ndo sipati picha atakavyokutreat navyo.
Kusema ukweli, unaweza kukuta mwanamke hawezi kuendesha au kichwa kigumu kuelewa ssa ndio gari umpe?
Halafu ataanza kwenda kuwashusha mashoga zake na ndugu zenu huko na huko. Kutwa kupuyanga.
Mimi nathani wanaume huwa tunakuwaga na mapenzi zaidi kwa wale wanawake independent wanaojileea sio zigo tu.
 
akikupa gari unao uwezo wa kuweka mafuta na kulihudumia au ndo kila siku unataka yeye awe anakuwekea mafuta wewe unakanyaga tu mmoto au? maana ni wepesi wa kulaumu lakini sidhani kama unao huo uwezo wa kuhudumia hilo gari.
acha kashfa mkuu!!
Huyu mama kila siku huenda huko ofisi,
Kama kazi anafanya kuweka mafuta ashindwe?

Hata huyo jamaa pesa za mafuta ya gari anatoa hapo hapo, iweje kuweka kwenye gari ya mkewe iwe kesi?

Yaani wake zenu mnawakumbuka mkiwa na matatizo tu!

Vibaya hivyo!!
 
Back
Top Bottom