Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Muacheni mtani wangu Patience123, ilikuwa phase in life tulikuwa tunapitia[emoji3] [emoji3] , every marriage has those episodes, nyie mnaodhani marriage is a rollercoaster kwamba kila siku ni mteremko ingieni ngomani mcheze. Life's super now.
 
Jamaa anaongea vitu vya ajabu.
Yani haoni kuwa hiyo ni family ni mke na mume anaona ka mke kutumia gari mume atakuwa kamsaidia wakati ela na magari yanabidi yawe kwa ajili ya familia wote wana haki ya kutumia.
Ndio naposhindwa kumwelewa,mwanamme anapotoa hela na yy hapohapo anachulia hela ya kuhudumia gari coz wametafuta pamoja
 
QUIGLEY mambo gani haya ulikuwa unafanya? Wakati na mshahara wote unaletewa!!
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.
ungeandika hv:``tuna gari 3 ila natembea kwa miguu``
 
Huyo mume wako atakuwa ana mali za kichawi na uganga,mganga wake amemwambie gari zake asitumie pamoja na mke wake lakini awe anaendesha mwenyewe tu
 
20161013_155931.jpg
 
Pole mwaya, hizo mali ni zenu ndugu. Jiongeze tafuta rafiki mwenye gari akufundishe siku moja umfanyie surprise
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.
La kufanya hapo ni kumuomba huyo mumeo mpitie upya bahadhi ya vipengele kwenye mkataba alioingia na wenye magari yao.

Kama itawezekana,kipengele cha mke asiendeshe gari kiondelewe afu kiwekwe kipengele cha kulala sakafuni.

Hii inaitwa contract review.
Mwenye masikio na asikie.
 
Watu wana Roho Mbaya jaman. Ubavu wako unatembea kwa miguu ww unapanda Gar pekee yko. Halafu Akitembea na wanaume wngne unakua Mkal
 
Muongeleshe taratibu atakuelewa tu wanaume sisi ni walaini mno hasa kwa malikia wa mioyo yetu
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.

Dahhhhh Pole sana rafiki.... Nakushauri nenda driving school lipia anza mazoezi ya kuendesha gari.... Then tafuta leseni .... Siku unataka kutoka kwenda kazini/ kanisani/matembezini etc.... unachukua ufunguo wa gari mojawapo unaendesha kuelekea kazini.... Itamletea shida mumeo siku za mwanzoni kila ndio suluhisho kwa unalopitia...
 
Sidhani kama kuna ushauri zaidi ya huu! Ukishajua huna haja hata ya kuomba ufunguo kwake...!
Sasa ataendesha je hilo gari bila kupewa ruhusa na mwenye magari yake? Mi namshauri hustle mama nunua gari yako utakayo mudu gharama zake then jifunze kuendesha baada ya hapo heshima na utu utafata mkondo wake tu
 
Hivi jamani unataka kuniambia kuwa gari ya mumeo sio ya kwako and vice versa???? Okay basi afadhali lingekwa moja .... Yapo magari 3... Khaaaaa.... Basi huko kwenye ndoa kuna mateso na manyanyaso kila aina haki ya nani.... Sio mchezo.... Mvua inanyesha.... Mama unalowana mpaka c.h.u.p.i. na magari yapo nyumbani.... Halafu usiku anakuuliza mke wangu siku yako imekwendaje??? Loh...mateso mateso mateso....
 
Aah ingekuwa yake ange mkodia boda boda alafu ye anarudi na gari nyumbani. Maana mpaka kafanya hivyo hapo majibu anayo mumewe ni wa aina gani. Kazi anayo huyo mama
 
Back
Top Bottom