Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Angalia usijeukawa umesahau yale masharti mliyopewa kwa sangoma.Hahaha kukulacho kinguoni mwako pole sana.
 
Nashindwa kutoa maoni.. Maana sijasikia upande wa pili
 
Ww ni mvivu xna driving school zipo za kumwaga bado unataka ufundishwe kudrive na mumeo? Jiongeze ili nawe uteue moja liwe lako
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.
Una tamaa.mbaya zaidi unatamani vitu vyako mwenyewe
 
. . I highly doubt kama mke alikuwa hata na access na hela zao za kampuni (at that time). Ni Wanandoa afu still mnakuwa na "changu" na "chake", hapana
obviously not. some where in the thread she says ilikuwa lazima atoe taarifa hata akinunua pochi!

she just got a controlling husband and throughout the years I guess ameAdapt tu.
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.
Kujifunza hakutaki kuomba ruksa.
Changamka ondoa uvivu nenda Driving School..
Pesa unago, panga muda wako ktk kusimamia family, business yenu na mumeo.
Driving School Zipo za kutosha....
Ondoa shaka utafakiwa kuwa driver mzr tuu sababu nia na usongo wa kutembea kw Miguu unao.
Changamkaaa......
 
Nakushauri. Dunduliza oesa ununue la kwako halafu hakikisha unalitunza kwa dada yako au kaka yako, asijue kama una gari. Utapata amani sana.
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.
Anawasiwasi na" confidence" yako barabarani, huenda anakuokoa na matatizo,"being ten years together " itakuwa mnafahamiana vizuri ikiwa ni pamoja na "weakness " kwa pande zote mbili, I'm just trying to think out of the box!
 
Kwa hiyo na ku-drive naye pamoja hana uhakika na confidence yake ya "uabiria"? Ndo amtembeze mwenzie kwa miguu?
 
obviously not. some where in the thread she says ilikuwa lazima atoe taarifa hata akinunua pochi!

she just got a controlling husband and throughout the years I guess ameAdapt tu.
Aiseeee, yani masharti yote hayo kwenye mali ambayo na wewe ume/unaitolea jasho??? God forbid. Kweli Tunatakiwa tuwe wanyenyekevu pasipo kuwa wapumbavu
 
Mshauri mwende hospitali mapema,your husband is mentaly goin down.
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.
Naomba nisaidie kumwambia huyo janadume "JIKOLONI MAMBOLEO"OVYO???? DUME GANI AMBALO ALIJIVUNII MKEO? PUMBAVU SANA,. WANAUME WANAMNA HII MBADILIKE YAANI unatoka na mwanamke kwenye maisha ya msoto then unaona km ajachangia kwenye mafanikio yenu???? Kweli wanaume wengine ni wabaya zaidi ya shetani??? ila lichunguze uckute .......... Limeninyima hata hamu yakuoa?
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.
Acha nalo lipumbavu.. Nimekereka yaani wanaume wengine hawaoni hata mchango wa wake zako maishani
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.
Nitafute nikupe gari kabla cjaondoka Dar
 
Haitasaidia kwani anaweza kuyauza yote ghafla kumkomoa tu mkewe kisa kajifunza gari wanaume acheni unyanyasaji kwa wake zenu mtu anaekujali kwa shida na raha yani hata uanguke bila nguo yeye atakuwa wakwanza kukufunika na sio mchepuko wala ndugu yako aaaaaghaa inakera sana.
Umenena sio wanaume wote ila mm binafsi cjapendezwa na huyu bwana
 
Back
Top Bottom