Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Usidhani kila gari unayoiona ni gari halisia zingine sio gari anaogopa atamtibulia dili
 
Mnayo kampuni ambayo imeweza kununua magari, muda wa kwenda kazini ni ule unaotaka mwenyewe, kampuni hi inaiingiza pesa sana tu, hivi kozi ya udereva hapo Victoria ni Tsh ngapi kweli? Ji sevie vijipesa toka kwenye hiyo kampuni yenu and nenda hapo ukapige tution ya magari, we vipi bwn.

Back to the story, wanaume wenzangu tunao miliki magari, tuwe wakweli, wangapi hapa tumewafundisha wake zetu kuendesha? Sitashangaa most us nikisikia tuliwapeleka shule kwanza then ndipo tulipowaamini kuendesha magari ya home, hasa hizi manyo! Utasikia, we utaniharibia Clutch, mara utaharibu gear box.
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.
Yan kweli unastahili kuitwa patience mama.
 
Jamani ulivyosoma umeona huyu mke ni tegemezi? Kampuni si wameanzisha wote au? Kweli kabla ya kuomba mwanaume tajiri, omba mwanaume mwenye utu na asiye mbinafsi. Haya mke kuendesha gari hajui, na kumpakiza napo inabidi aende "abiria school" ili a-manage kukaa kwenye seat vizuri?. Huyo mume alizaliwa tu anaendesha gari, si alijifunza kuendesha pia, mkewe atashindwaje? Hicho kichwa kigumu cha gari alimpimia wapi?

Hehe akipakiza mashoga zake tatizo liko wapi? what asipakize hata ndugu zake[emoji15] [emoji15] ? Hivi what is gari jamani, hizi roho za kimaskini zishindwe IJN. Nyie mkifika kwa mabinti mnajikutaga mna huruma, mnatoa lift hata kwa msiowajua, baki kwa michepuko. Mtafute wote afu still mtu akunyanyase SMH, alivyovitafuta peke yake ndo sipati picha atakavyokutreat navyo.
Mdogo wangu kaniambia hujibu msg zake shem darling[emoji12] [emoji12] . Hii post ni top notch[emoji122]
 
imeniuma utadhani ni mm.anyway kiufupi mmeo malaya kupitiliza hataki uzoee magari yake ujue ujinga anaoufanya
 
Hao wanaume wanakera balaa, Mimi Nilinunua gari mbili akawahi jifunza then hataki kabisa niguse yeye tu nikaona isiwe shida funguo zangu kwenye pochi safari! hela yangu haiwezi nitesa Sitakagi ujinga Mimi.........
 
He he he kuna wanaume ni zaidi ya maajabu. Huo ubinafsi jamani sijapata ona. Subiria vitu vyake sasa kama utavigusa mweee
 
Ni kweli housegirl huyu Patience123 anaonekana ni mtu makini sana kwenye michango yake hapa jamvini. Nashangaa alikubali vipi kunyanyaswa kiasi hiki na wakati kwenye magari yote hayo kuna nguvu na jasho lake.
lol nope, i always knew she was those types of women. yani mume ni baba. shes been married
12yrs, akikaa na mama yangu aliyeolewa for thrice that age wataelewana kweli. me siwaelewi wote.

tho nilikuwa si refer to her as Patience, just her as a random internet person. how could anyone be so weak.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Jamani ulivyosoma umeona huyu mke ni tegemezi? Kampuni si wameanzisha wote au? Kweli kabla ya kuomba mwanaume tajiri, omba mwanaume mwenye utu na asiye mbinafsi. Haya mke kuendesha gari hajui, na kumpakiza napo inabidi aende "abiria school" ili a-manage kukaa kwenye seat vizuri?. Huyo mume alizaliwa tu anaendesha gari, si alijifunza kuendesha pia, mkewe atashindwaje? Hicho kichwa kigumu cha gari alimpimia wapi?

Hehe akipakiza mashoga zake tatizo liko wapi? what asipakize hata ndugu zake[emoji15] [emoji15] ? Hivi what is gari jamani, hizi roho za kimaskini zishindwe IJN. Nyie mkifika kwa mabinti mnajikutaga mna huruma, mnatoa lift hata kwa msiowajua, baki kwa michepuko. Mtafute wote afu still mtu akunyanyase SMH, alivyovitafuta peke yake ndo sipati picha atakavyokutreat navyo.
😀 😀
hii abiria school inapatikana wapi, nahisi nimefuzu hii course kabla sijaanza.

jamani kwenye ukoo wetu hamna yeyote mwenye magari matatu lakini nishapanda magari yote ukoo mzima. Patience uje nikufundishe kuomba lift 😀
 
Hao wanaume wanakera balaa, Mimi Nilinunua gari mbili akawahi jifunza then hataki kabisa niguse yeye tu nikaona isiwe shida funguo zangu kwenye pochi safari! hela yangu haiwezi nitesa Sitakagi ujinga Mimi.........
Hahaaaaa!!!
 
😀 😀
hii abiria school inapatikana wapi, nahisi nimefuzu hii course kabla sijaanza.

jamani kwenye ukoo wetu hamna yeyote mwenye magari matatu lakini nishapanda magari yote ukoo mzima. Patience uje nikufundishe kuomba lift 😀
Haha me nimepita abiria school, njoo nikupeleke, seat yangu ni mbele na driver afu shurti niweke kishoka lol. Yani kuna wanaume ni wachoyo, wabinafsi khaaa. Hivi unajisikiaje mna-own several cars afu still mkeo anashika bomba daily kama HS tu khaaa. I highly doubt kama mke alikuwa hata na access na hela zao za kampuni (at that time). Ni Wanandoa afu still mnakuwa na "changu" na "chake", hapana
 
Back
Top Bottom