Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

Mugongo Mugongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2006
Messages
223
Points
0

Mugongo Mugongo

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2006
223 0
Mugongo Mugongo,
Prove me wrong!.... kuwa JK hakwenda mtembelea marehemu akiwa hai ktk siku nilosema. Tanga kuna umbali gani au mwenyekiti UVCCM ndio kakupa hili pia?... muulize huyo mwandishi wako alimjua vipi marehemu!
Yes it matters soma tena maelezo yake ukizingatia kwamba Mkapanjia ndiye kiungo cha urafiki anaodai yeye.
Umesema JK alienda kumtembelea Amina Chifupa mchana wa siku aliyokufa, yaani tarehe 26 June 2007. JK aliondoka Dar kwenda Tanga tarehe 25 June 2007 majira ya saa nane hivi. Tarehe 26 akawa na shughuli Tanga mjini ya kuadhimisha siku ya madawa ya kulevya, na later in the day akaondoka Tanga kuelekea Serengeti kufungua mradi wa umeme. Akarudi Dar tarehe 27 June 2007, siku moja baada ya Chifupa kufariki. Habari yote hii iko kwenye public domain, and I am surprised unaamini umbeya.

Mkubwa unapunguza credibility yako hata kwenye michango yako mingine ya msingi kuwa kung'ang'ania na kuiapia hii story za umbeya kwamba JK alienda kumuona Chifupa mchana wa siku aliyokufa, wakati mchana huo huo alikuwa anapokea maandamano ya siku ya kuadhimisha madawa ya kulevya na jioni hiyo hiyo akaelekea Serengeti.

By the way, I don't give a hoot kwamba JK alienda au hakwenda kumuona Amina siku aliyofariki, for it won't make a difference in anything. My beef ni kutufanya sisi mazuzu kwa kutuletea taarifa za uongo. And this is my beef with Mzee Mwanakijiji as well. Kubali katika hili unapotosha. Tafiti then Jadili.
 

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Messages
12,746
Points
1,500

Mbu

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2007
12,746 1,500
Hii ni coincidence, au mchongoma alinukuu hapa kabla hajapost juzi!!?? Read between lines; lakini hizi posting zinashabihiana.


kakalende, kwa mazingira niliyopohayo yalikuwa maoni yangu binafsi. Kama yanashabihiana powa tu, ...si lazima sote tuamini marehemu amekufa kutokana na "mkono" wa mtu, au malaria kali na kisukari tu.
 

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2006
Messages
2,124
Points
1,500

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2006
2,124 1,500
Swali la msingi linabaki kuwa where was Muhingo wakati "sakata la Amina" linaendelea?Hawa ni miongoni mwa watu wanaotafuta cheap popularity:kudandia kila jambo wanalodhani linaweza kurejesha majina yao machoni mwa wananchi.

Kuna sie tuliotoa michango yetu humu JF kwa kusapoti kampeni ya Mwanakijiji ilokwenda kwa jina la FREE AMINA NOW.At least sie tulifanya kitu flani kuliko hao walokuwa kimya,na wengine wakikemea kampeni hiyo,lakini sasa wanajitia kimbelembele cha kijifanya wana uchungu wa kifo cha Amina.Kuna jina moja tu kwa watu wa namna hiyo:makahaba wa fikra.
 

Mugongo Mugongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2006
Messages
223
Points
0

Mugongo Mugongo

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2006
223 0
Swali la msingi linabaki kuwa where was Muhingo wakati "sakata la Amina" linaendelea?Hawa ni miongoni mwa watu wanaotafuta cheap popularity:kudandia kila jambo wanalodhani linaweza kurejesha majina yao machoni mwa wananchi.

Kuna sie tuliotoa michango yetu humu JF kwa kusapoti kampeni ya Mwanakijiji ilokwenda kwa jina la FREE AMINA NOW.At least sie tulifanya kitu flani kuliko hao walokuwa kimya,na wengine wakikemea kampeni hiyo,lakini sasa wanajitia kimbelembele cha kijifanya wana uchungu wa kifo cha Amina.Kuna jina moja tu kwa watu wa namna hiyo:makahaba wa fikra.
Mlalahoi,

Wakati Mwanakijiji analaani wenzake kuwa "walikuwa wapi?", yeye amechagua "timeline" ambayo ni convenient kwake...anasema "walikuwa wapi siku ile Amina kanyamazishwa kama mtoto mdogo", anasema "walikuwa wapi siku Amina ameanza kuweweseka na kubwabwaja?". Na yeye tumuulize "ulikuwa wapi wakati anafukuzwa shule Tambaza", "ulikuwa wapi mwaka 2003-2004 wakati Shigongo anamuandama", and the big one, "ulikuwa wapi wakati Zitto anakana penzi la Amina kwake?". Tukiendelea na huu upuuzi, tutafikia mahali kuulizana "ulikuwa wapi wakati tunamzika?".
 

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,601
Points
2,000

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,601 2,000
Mlalahoi,

Wakati Mwanakijiji analaani wenzake kuwa "walikuwa wapi?", yeye amechagua "timeline" ambayo ni convenient kwake...anasema "mlikuwa wapi wakati baba yake anamzuia kuongea na media". Na yeye tumuulize "ulikuwa wapi wakati anafukuzwa shule Tambaza", "ulikuwa wapi mwaka 2003-2004 wakati Shigongo anamuandama". Tukiendelea na huu upuuzi, tutafikia mahali kuulizana "ulikuwa wapi wakati tunamzika?".
That is too simple writing.....Unless you mean this is udaku, you need to use your head instead of heart.....
 

Mugongo Mugongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2006
Messages
223
Points
0

Mugongo Mugongo

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2006
223 0
That is too simple writing.....Unless you mean this is udaku, you need to use your head instead of heart.....
Mr. Editor,

Nimerekebisha. And my post should read as follows:
------------------------
Mlalahoi,

Wakati Mwanakijiji analaani wenzake kuwa "walikuwa wapi?", yeye amechagua "timeline" ambayo ni convenient kwake...anasema "walikuwa wapi siku ile Amina kanyamazishwa kama mtoto mdogo", anasema "walikuwa wapi siku Amina ameanza kuweweseka na kubwabwaja?". Na yeye tumuulize "ulikuwa wapi wakati anafukuzwa shule Tambaza", "ulikuwa wapi mwaka 2003-2004 wakati Shigongo anamuandama", and, the big one, "ulikuwa wapi wakati Zitto anakana penzi la Amina kwake?". Tukiendelea na huu upuuzi, tutafikia mahali kuulizana "ulikuwa wapi wakati tunamzika?".

-------------------------
 

Shalom

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2007
Messages
1,315
Points
1,195

Shalom

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2007
1,315 1,195
Jamani ili tusipoteze muda inabidi tuelewe kuwa duniani kuna makuwadi na manyapara, watu hawa wamerogwa hivyo tuwaombee kwa Mungu. Nchi hii inaangamia kwa hawa watu wachache wanaotumika. mambo wanayoongea muda mwingine huwezi hata aminikwani hata ushabiki huwa unaisha kwenye kifo.
 

Mugongo Mugongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2006
Messages
223
Points
0

Mugongo Mugongo

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2006
223 0
Was I supposed to be wherever Amina was? where were you at that time Mugongo? Where was Kikwete? Wakati Amina anafunga ndoa wewe ulikuwa wapi...?
Precisely, my point! Kwahiyo mlolongo wa maswali yako kwenye your earlier posting...kwamba "walikuwa wapi wakati anaweweseka", "walikuwa wapi wakati ananyamazishwa" n.k., nauona hauna maana kabisa. It is pointless finger-pointing. Na hata huyo Muhingo anayesema wote tumekufa naye anachemsha.
 

Mkandara

Verified Member
Joined
Mar 3, 2006
Messages
15,472
Points
1,250

Mkandara

Verified Member
Joined Mar 3, 2006
15,472 1,250
Mugongo Mugongo,
Nimekuomba unithibitishie kuwa JK aliondoka Dar tarehe 25 na kulala huko hadi tarehe 26, iweke hiyo source yako usitake kuzungusha vitu, na kama kweli unavyosema basi naahidi kuiweka source ya habari yangu.
 

Kalamu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2006
Messages
874
Points
0

Kalamu

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2006
874 0
Precisely, my point! Kwahiyo mlolongo wa maswali yako kwenye your earlier posting...kwamba "walikuwa wapi wakati anaweweseka", "walikuwa wapi wakati ananyamazishwa" n.k., nauona hauna maana kabisa. It is pointless finger-pointing. Na hata huyo Muhingo anayesema wote tumekufa naye anachemsha.
No, this is not 'Precisely the point," unless their friendidship ceased to exist. The writer is categorical in that their friendship continued all through until the end. Why din't he counsel accordingly? I would even venture to suggest, he (the writer) was in a better position to do the necessary as compared to Mkjj.

But I know, every issue in here reduces to "Chadema" (read Mkjj, et al) versus CCM (mugongox2, et al). This is what it has come to, or at least appears that way to some of us!
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,846
Points
2,000

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,846 2,000
Kalamu nimekuwa nikiangalia vikao vya bunge na hicho ndicho kinachoendelea Bungeni sasa hivi.... kila kitu kinaangaliwa kwa mwanga "tusiwape wapinzani ujiko hata kama wanachosema ni cha kweli".....Hebu fikiria kama kweli serikali imechukizwa na madai ya ufisadi BOT kwanini hadi hivi sasa hawajawasimamisha watendaji wakuu....sababu wapinzani ndio wamejenga hoja... tunafurahi kuwa ile DOC ilifikishwa IMF na WB...na hawa jamaa wakishikilia uzi.. serikali itawasimamisha kina balali....
 

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
8,593
Points
2,000

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
8,593 2,000
No, this is not 'Precisely the point," unless their friendidship ceased to exist. The writer is categorical in that their friendship continued all through until the end. Why din't he counsel accordingly? I would even venture to suggest, he (the writer) was in a better position to do the necessary as compared to Mkjj.

But I know, every issue in here reduces to "Chadema" (read Mkjj, et al) versus CCM (mugongox2, et al). This is what it has come to, or at least appears that way to some of us!

Nadhani tujitahidi kuwa tunachambua hoja bila kujali zimetolewa na nani; tuziangalie kwa sura yake badala ya kutumia sura ya mwandishi.
 

omarilyas

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2007
Messages
2,130
Points
1,195

omarilyas

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2007
2,130 1,195
Wakati tunaendela na matanga ya dada yetu Amina nadhani itakuwa busara vilevile kujitayarisha na matanga ya ndugu yetu mugongomugongo.

Nimekuwa nikifuatilia mambo yake humu. Mwanzoni nilidhani ndio wale kina Muhingo walioamua kujipa kazi maalumu ya kutetea wenye nchi na kuwavua nguo wale wote wanao onyesha kuwavua nguo mabosi wao katika ulaji.

Lakini sasa ninakuwa na wasiwasi kuwa huyu jamaa amekumbwa na matatizo ya kisaikolojia. Ukifuatilia mwenendo wa uchangiaji wake humu utagundua kuwa hakuna mahala ambapo ameongelea kingine zaid ya kujaribu kuonyesha jinsi gani wenzake walivyo na mapungufu.

Ukiondoa uwezekano wa kuwa anafanya kazi maalum ya kuzuia ushawishi wa baadhi ya wana forum hapa ambao wanaonekana wana mlengo wa kupingana na maslahi ya wenye nchi naamini kuwa vilevile anasumbuliwa na chuki na wivu mkubwa dhidi ya wengine.

Kwangu mimi ni kuwa huyu jamaa hana raha na maisha yake binafsi na zaidi anajiona valueless hivyo inakuwa vigumu kwake kuona wenzake wanaonyesha dalili za kupata umuhimu ama katika forum hii ama katika jamii ya Tanzania. Na hili analijua ndio maana hata siku moja hajibu maswali wala kurespond counter arguments ambazo wanaforum huzielekeza kwake kama majibu ya michango yake.

Hizi zote ni dalili za depression ambayo hupelekea katika kile ninachokiita vicious circle of self destruction na huko ndiko anakoelekea ndugu yetu mugongomugongo.

Mimi sio daktari wa darasa la muhimbili lakini darasa la mitaani limenifundisha mengi kiasi....

na tujiandae na matanga mengine..

Tanzanianjema
 

Forum statistics

Threads 1,379,123
Members 525,311
Posts 33,735,520
Top