Kuchukia wachaga sababu ya mafanikio ni ujinga, may be am one of them, you never know.
Lakini nilichojaribu kuonesha ni kuwa, haya mabadiliko wanayoyataka kwa sasa, kila mtu awe na sauti sawa, wakati waanzilishi wako hai ni ngumu. Lazima wana nafasi ya influence kwenye maamuzi hata kama wao sio viongozi. With time, generation ya hao waanzilishi ikiisha hapo kila mtu atakuwa na nafasi sawa.
Hata shishiem, wakati waanzilishi ama masalia ya waanzilishi yalipokuwepo, waikuwa na infuluence kubwa sana. Angalia mfano wa Nyerere alivyoweza kumuondoa Malechela kwenye wagombea kwa kukataa tu kuingia mkutanoni hadi jina lilipotolewa, how bad was that? Hakustahili kupewa nafasi ya kukataliwa na wanachama?
Haijalishi CDM ina influence kiasi gani kitaifa, ama imekua kiasi gani, lakini lazima tukubali kiumri bado ni changa, na kuna vitu lazima ivipitie katika makuzi yake, na ikiweza kutoka hapa salama, basi kweli kitakuwa chama thabiti cha upinzani.
itu kingine, nikikupinga katika kitu, si lazima nakuchukia, ni kuwa naona kitu kwa mtizamo tofauti na wewe.