Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
La mgambo ndo kwanza limepigwa....twasubiri wachezaji wajibwage uwanjani na wakishakuwa taabani kwa uchovu, kipanga awatwae mmoja baada ya mwingine kwa raha zake! na kwa karaha zetu! kwani kufa ni kufaana.
 
Hii topic imesababisha niyakumbuke maneno aliyowahi kusema Mzee Mtei pale tume ya katiba ilipoteuliwa.
Angalia hapa kwenye red.
Hayo mambo makubwa aliyoyazungumzia Mzee huyu kwenye chama chake yanazingatiwa?

Kwa mfano ni jambo la kichekesho kwamba Tanzania Bara ambayo ina Watu takriban 42 milioni iwakilishe na wajumbe sawa na Tanzania Zanzibar ambayo ina watu wasiozidi 1.5 milioni. Mfano wa pili ni kwamba, licha ya kwamba Tanzania siyo nchi inayozingatia dini katika maamuzi yake ya kisiasa, ni lazima tukubali kuwa madhehebu ya dini yana influence katika mchakato na hatimaye maamuzi. Nikihesabu Waislamu katika hii Tume kwa kuzingatia majina naona zaidi ya theluthi mbili ni Wao. Wengine ni Wakristo au watu wasiokuwa na dini yoyote.

Hata kama ni lazima tujali Muungano wa Jamhuri yetu, hatuwezi kupuuza ukweli kuwa sasa kuna matatizo ya umilikaji wa raslimali maliasili (e.g. gas), na kuna wananchi wamediriki hata kwenda Umoja wa Mataifa kudai Zanzibar ijiondoe.

Haya ni mambo mazito na nimeona ni vema niyataje sasa, siyo tu yajadiliwe na Tume, bali ikiwa ni lazima, basi mjadala uendelee hata baada ya Tume kutoa taarifa na Bunge Maalum kupitisha Katiba Mpya.
 
Unacho ongea ni topic ya maana sana kwa watu makini
Ni kweli tunahitaji mabadiliko lakini nani wa kumkabidhi usukani?
Jee ni chadema? Cuf ? Nccr?
Ukiangalia kwa makini na kuchambua kila chama hivi vitatu vya upinzani ukweli hakuna ambacho kinaaminika na ambacho kweli kitaleta mabadiliko
Kuhusu uyatolah hilo jambo linatajwa na mzee mtei mwenyewe hajawahi kukanusha kwa vile action zake zinaashiria yeye ndie godfather na ayatolah
Wako watu kutokana na shida za maisha Kukosa kazi na wengi ya hawa ni kundi linalo ona bila ya kufikiri kuwa tukio ndoa ccm basi nchi itakua dubai au singapore
Haawangalii ubovu wa hivi vyama na matatizo yao .
Cha kufanya hivi vyama ni kukaa na kuacha kujiona na kuweka contract ya kukubali mgombea mmoja
Wagawane majimbo
Na hata kuweka wazi mgawanyo wa madaraka
Hapo watu wengi watajenga imani na muungano huu na tutawachagua
Bila ya hivo juu ya ufisadi uliopo itakua kwa wengi bora jini likujualo kuliko lisilokujua
 
THE BIG SHOW,umenena lakini wafuata upepo hawataki,tatizo vijana wengi wa CDM wanapenda kusikia taarifa zinazowakweza wao
 
Last edited by a moderator:

Siku ukiwakosoa unaonekana Msaliti,rejea RaiaMwema ilipotoa taarifa za watu wenye mali nje kina Mwita Maranya waliwai hapa kulishutumu gazeti,
 
Last edited by a moderator:
Naona unajisumbua tu chadema hakuna uchaguzi mbowe na slaa ni viongozi wa chadema milele mpaka watafia chadema wote mnaotaka madaraka chadema tutawafukuza.

Yeah! Atakayetaka madaraka chagadema ni wa kufukuzwa maramoja! Atakuwa ni msaliti na atavuruga chama! Madaraka yanawafaa wanakaskazini,atakayefanya fyoko, atafukuzwa!
 
Turinge BAYOYO...............Turinge BAYOYO..................in GREEN in BLUE and in RED
graphics-dancing-883525.gif

Disappointed Chadema members...
 
With all of my due respect,baada ya salamu mimi sipo hapa kufanya propaganda wala kumchafua mtu yoyote,

Sijataumwa na yoyote,na nasimama kwa msimamo wangu binafsi katika kuelezea kile kilichopo fikran mwangu,

Kama Mtanzania mzalendo,mchukia mafisadi na muumin wa siasa bora na uongoz imara lazima nisimame kuelezea kitu nachokiona,

Hatuna shida na Mzee Mtei kama miongoni mwa waasisi wa chama hiki,na hatuna shida na wenngine wowote wale ambao kwa namna moja ama nyinine wamekuwa ni wanafamilia wa mwasisi huyo wa chama hiki,

Sisi kama Watanzania linapokuja suala la kuathirika kwa utawala m'bovu huwa tunapata athari hizo sote bila kujali umri,jinisia,kabila,kanda,dini na kadhalika,so as long as wewe na mimi tumekuwa ni wananchi na raia wataifa hili tunaathiriwa moja kwa moja kwa mamuzi ya wanasiasa either wawe wa chama tawala au chama cha upinzani,

Ni jukumu letu sisi wananchi kuhakikisha tunakuwa mabalozi wa siasa safi ili serikali itayokuwa madarakani iwe ni imara itayotuhakikishia maamuz sahihi na usalama wa taifa dhidi ya maadui wa ndan na nje ya nchi,

Ili tufikie hali kama hiyo tunahitaji chama ambacho hakiwez kuegemea kwenye maamuz ya kutoka upande mmoja ambao unajinasibisha kuwa na MORAL AUTHORITY YA KUTOA KAULI ZINAZOHIATJI KUSIKIKA KWA KUWA TUH ETI UPANDE HUO NDIO HASA ULIOPELEKEA KUASISIWA KWA CHAMA HIKO,HILI LAZIMA TULIWEKE WAZI MAPEMA SANA.

Katiba ya chadema hakuna kipengele hata kimoja kinachosema kwamba watu wapewe kipaombele kutokana na ukanda,udini na ukabila hata sehemu moja,yani kwa ufupi katiba ya chadema inapinga kwa nguvu zote mambo ya ukanda,ukabila na udini katika kulijenga taifa hili kwa kizazi cha sasa na cha baadae,hilo liko wazi na sote tunaunga mkono katiba ya namna hiyo...

Katika mukatadha huo basi yatupasa kuwaambia chadema wasimame katika misingi hiyo na kuionesha wazi wazi kwa vitedno na kila mtu aone na sio kuishia kuhubiri mambo hayo majukwaani huku upande wa pili ukionekana kuwa na malalamiko yasiyo kwisha,REJEA YA MAREHEMU CHACHA WANGWE NA HAYA MASAHIBU YANAYO WAKUTA KITILA MKUMBO,MWIGAMBA NA ZITTO KABWE KAMA MIFANO HURU KATIKA MJADALA HUU,

Chadema lazima itambue kwamba watanzania walio wengi pamoja na kuchoshwa na CCM wanahitaji m'badala thabiti na unaoijipambanua wazi wazi kiutawala,kikatiba na kitaifa.

Hoja ya AYATOLLAH ALKHAMENEI,YULE SUPRME LEADER WA IRAN NA JINSI WANAVYOENDESHA DEMOKRASIA YAO NAIFANANISHA MAJA KWA MOJA NA CHADEMA,NASEMA HIVYO KWA SABABU,

1.AYATOLLAH ALKHEMENEI.,yeye yupo juu,rais,mwnyekiti wa chama,bunge na mahakama vyote vinaripoti kwake,

Chama na bunge hawawez kupitisha jina la mgombea urais wa nchi ile bila baraka wala idhin ya YATOLLAH ALKHEMENEI KWA KUOGOPA KUWEKWA KWA MAMLUKI AU VIBARAKA WA MAREKANI KWENYE UTAWALA WA SERIKALI YA IRAN HASA KWENYE KIPINDI KAMA HIKI AMBACHO WANAPAAMBANA NA SIASA KALI ZA ISRAEL NA MAREKANI,HUSUSANI SUALA ZIMA LA NYUKLIA NA UONGOZ KWA UJUMLA,,Utakuja kuona kwamba MAHMOUD AHMEDNIJAD RASI ALIEMALIZA UTAWLA WAKE ALIKUWA MTIIFU KWA SYSTEM YA AYATOLLAH,WATU WAKADHANI KWAMBA KUJA KWA HASSAN ROUHANI RASI WA SASA WA IRAN BASI HATOKUWA MTIIFU KWA MFUMO ULE,HALI HAIKUWA HIVYO KWANI ROUHANI ALIPOINIA ALIONEKAN KUWA MODERATE TOFAUTI NA NIJADI LAKIN WOTE NI WALE WALE,WOTE WANAPOKEA AMRI KUTOKA KWA SUPREME LEADER KWA KILA HATUA..

Utaratibu ule ni mzuri kwa wairan na unawafaa kuogopa kuingizwa kwa mamluki wa kimarekani ndan yataifa lile,

Sasa nauliza swali,je utaratibu huo unafaa??na je unaweza kusaidia taifa kwa ujumla??mimi naona utaratibu huo kwa chadema kama chama una wafaa,tatizo ni kwamba je wakipewa madaraka ya nchi utaratibu huu utakuwa healthy kwa manufaa ya nchi??

Kwa maana mimi sion TOFAUTI BAINA YA MZEE MTEI NA JINS ANAVOKIENDESHA CHADEMA NA AYATOLLAH ALKHEMEI NA JINS ANAVOIENDESHA IRAN KAMA NCHI,SEMA TOFAUTI NI KWAMBA AYATOLLAH ANA SAUTI KITAIFA HUKU MZEE MTEI ANA SAUTI KICHAMA.

TUSEME WAZI NA KUMWAMBIA MZEE MTEI KWAMBA CHAMA HIKI KAMA KWELI ANATAKA KIPEWE IMAN NA WANANCHI,AKIACHIE KWA WANANCHI MOJA KWA MOJA,NA AONDOE FIKRA ZA U-YATOLLAH ALKHEMENEI,ATALIGAWA NA KULIGHARIM TAIFA.

#TEAM ZITTO...

Mkuu THE BIG SHOW,

Sisi Wananchi wenzio wenye kujitambua na wenye macho yenye kuona,na wenye masikio yenye kusikia na wenye mioyo yenye shauku ya kuitaka na kuitafuta kweli...tumekufahamu na kukuelewa kwa undani mno.

Najua hapo umetumia ustaarabu na uungwana mwingi dhidi ya Chama chako ukipendacho,lakini kisichokupenda wala kukuthamini aka Chadema...ndo maana nakhis umeamua kumung'unya maneno,lakini mangi hayatoki,au ndo umeamua "kuwahifadhi"/kuwastiri wenzio!? Teh! Teh!

Mkuu,waambie "ukweli mchungu" hao jamaa zako...sasa ukiendelea kuwafichaficha hivi mtafikia vipi malengo ya chama chenu ili kiwe cha kitaifa na kuweza kukubalika nchini koote na kwa watu wenye imani/itikadi tafauti na huyo "Muasisi" aka Nabii wa Tengeru atakavyo!?

Huyo mpuuzi Mtei...unafiki,uzandiki,ufisadi na usaliti wake kwa Taifa letu hilo tunaujua kwa undani mno tangia early 1960's...labda ataendelea kuwandangaya hao misukule wake tu.

Nafikiri Mkuu Zemarcoplo,tayari anafanza shughuli njema ya kumnyambua na kutoa Ilm ya bure kuhusu huyo Nabii wa Tengeru;ili misukule wachache wanaoendela kudangayika na wasiojua historia na insights za Nchi hiyo waweze angalau kujielewa japo kiduchu!?...badala ya kushashadidia majambo bila ya maono khalisia/reality/...sidhani kama pia labda wana japo kiduchu ya historical evidences,facts guidance, and/or support!?...poor misukule! Teh! Teh!

Edwin Mtei has always known for his weird combination of wanting power and to be liked,while at the same time lacking moral integrity,transparency,responsibility and shared vision!...basically,he's a total disaster!

Hiyo level yabayana yako,amma kwa hakika ni wa hali ya juu mno kwa hao misukule wa Chadema kuweza fumbua hilo fumbolo!?

Labda waje tu na yale matusi na kashfa zao tulozoea kama wanavyotukana wale kondoo wa Bwana....Nyakageni na Nara! Teh! Teh!

Tuko pamoja Mkuu!

Ahsanta.

Cc;CHAMVIGA,Boko Haram,Kahtaan,Mzito Kabwela,Ritz
 
Lakini still Huyo Mzee Mtei ana nafasi yake kimawazo Chadema nani kakwambia kwamba ndiyo anatoa amri? Mbona Nyerere alisema kabisa kwamba watu kama Lowassa na Malecela hawafai nchi hii na ndiyo inasemekana yeye ndiyo aliyempendekeza Mkapa sasa unaweza kusema bado alikuwa ana command CCM?
 
Mkuu THE BIG SHOW,

Sisi Wananchi wenzio wenye kujitambua na wenye macho yenye kuona,na wenye masikio yenye kusikia na wenyemioyo yenye shauku ya kuitaka na kuitafuta kweli...tumekufahamu na kukuelewa kwa undani mno.

Najua hapo umetumia ustaarabu na uungwana mwingi dhidi ya Chama chako ukipendacho lakini kisichokupenda wala kukuthamini,Chadema...ndo maana nakhis umeamua kumung'unya maneno,lakini mangi hayatoki,au ndo umeamua "kuwahifadhi"/kuwastiri wenzio!? Teh! Teh!

Mkuu,waambie "ukweli mchungu" hao jamaa zako...sasa ukiendelea kuwafichaficha hivi mtafikia vipi malengo ya chama chenu ili kiwe cha kitaifa na kuweza kukubalika nchini koote na kwa watu wenye imani/itikadi tafauti na huyo "Muasisi" aka Nabii wa Tengeru atakavyo!?

Huyo mpuuzi Mtei...unafiki,uzandiki,ufisadi na usaliti wake kwa Taifa letu hilo tunaujua kwa undani mno tangia early 1960's...labda ataendelea kuwandangaya hao misukule wake tu.

Nafikiri Mkuu Zemarcoplo,tayari anafanza shughuli njema ya kumnyambua na kutoa Ilm ya bure kuhusu huyo Nabii wa Tengeru;ili misukule wachache wanaoendela kudangayika na wasiojua historia na insights za Nchi hiyo waweze angalau kujielewa japo kiduchu!?...badala ya kushashadidia majambo bila ya maono khalisia/reality/...sidhani kama pia labda wana japo kiduchu ya historical evidences,facts guidance, and/or support!?...poor misukule! Teh! Teh!

Edwin Mtei has always known for his weird combination of wanting power and to be liked,while at the same time lacking moral integrity,transparency,responsibility and shared vision!...basically,he's a total disaster!

Hiyo level yabayana yako,amma kwa hakika ni wa hali ya juu mno kwa hao misukule wa Chadema kuweza fumbua hilo fumbolo!?

Labda waje tu na yale matusi na kashfa zao tulozoea kama wanavyotukana wale kondoo wa Bwana....Nyakageni na Nara! Teh! Teh!

Tuko pamoja Mkuu!

Ahsanta.

Cc;CHAMVIGA,Boko Haram,Kahtaan,Mzito Kabwela,Ritz

Maalim Gomgesugu

Asalaam aleykum,

Wallahi nimekusoma kwa dhati ya kina mno...!!

Mimi tena sifai humu ndani,,kwani sasa naitwa gaidi,mdini na mjahidina kisa naongea ukweli na ninaonekana nina iman ya kiislam kwa baadhi ya wanacjadema,japo sio wote nimeonekana kama ni INTRUDER NA SINA QUALIFICATION YA KUJIFANYA CHADEMA WALA KUZUNGMZA MAMBO YA CHADEMA,

LAKIN WALLAHI NAFANZA HIVI KWA MASLAHI YA TAIFA LETU SOTE,

SHUKRAN,NAOMBA USIBANDUKE HAPA TUWE PAMOJA KWENYE HUU MNAKASHA
 
Hii topic imesababisha niyakumbuke maneno aliyowahi kusema Mzee Mtei pale tume ya katiba ilipoteuliwa.
Angalia hapa kwenye red.
Hayo mambo makubwa aliyoyazungumzia Mzee huyu kwenye chama chake yanazingatiwa?

Mkuu ndibalema huyu mzee na wafuasi binafsi nashindwa kuwaelewa hasa wanalengo gani na taifa hili. Wanaonekana ni kama ana agenda ya siri.
 
Lakini still Huyo Mzee Mtei ana nafasi yake kimawazo Chadema nani kakwambia kwamba ndiyo anatoa amri? Mbona Nyerere alisema kabisa kwamba watu kama Lowassa na Malecela hawafai nchi hii na ndiyo inasemekana yeye ndiyo aliyempendekeza Mkapa sasa unaweza kusema bado alikuwa ana command CCM?

Umesoma barua rasmi ya kujiuzuru kwa makamu mwenyekiti wa chadema mh. Arfi?

Ile ni official letter. Umeona Chadema imekanusha kilichoandikwa?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom