Wewe
THE BIG SHOW umeandika ujinga halafu unadai hutaki matusi huku wewe ni mmojwapo wenye kuyamwaga matusi humu jukwaani.
Kwanza chadema haijawahi kushika madaraka ya nchi ili uweze kusema raisi anamsikiliza Mtei.Hata huyu raisi tuliyenaye kuna anaowasikiliza.Tatizo ni mods hawajui thread zenye hatari kwa taifa.Wakija gunduwa itakuwa too late!
Uongozi wa Ayatolah ni uongozi wa kiislam.Ayatolah ni a supreme leader.Matatizo yao na marekani ndo yamepelekea hayo.Tanazania hatuna hayo matatizo.Kama umelipwa kuongea haya.Ujuwe consuquences zake zitakutafuna wewe na cfamilia yako.Kama mnataka kulianzisha muwe tayari.