Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Wewe THE BIG SHOW umeandika ujinga halafu unadai hutaki matusi huku wewe ni mmojwapo wenye kuyamwaga matusi humu jukwaani.

Kwanza chadema haijawahi kushika madaraka ya nchi ili uweze kusema raisi anamsikiliza Mtei.Hata huyu raisi tuliyenaye kuna anaowasikiliza.Tatizo ni mods hawajui thread zenye hatari kwa taifa.Wakija gunduwa itakuwa too late!

Uongozi wa Ayatolah ni uongozi wa kiislam.Ayatolah ni a supreme leader.Matatizo yao na marekani ndo yamepelekea hayo.Tanazania hatuna hayo matatizo.Kama umelipwa kuongea haya.Ujuwe consuquences zake zitakutafuna wewe na cfamilia yako.Kama mnataka kulianzisha muwe tayari.
 
Last edited by a moderator:
mhn!kazi kweli kweli!sikujuwa kama una uwezo mkubwa hivyo wa kuandika pointi.Kwa taarifa yako,an idea can began in a room and spread outbto the whole nation.Tatizo idea imetoka kwa wachagga wanaochukiwa kwa mafanikio yao kama jews.
Nimecheka sana eti wachagga wanachukiwa kwa mafanikio yao kama jews,

Unaweza kunitajia japo matajiri 5 wa kichagga wanaomiliki viwanda.

Mafanikio ya wachagga ni yapi mpaka uwalinganishe na jews.

Nasubiri mkuu hayo mafanikio.
 
Waarabu ni kabila gani?

Pili,nitajie mkoa wenye watu wenye mafanikio ambapo hakuna mchagga!Halafu mnaleta mifano ya Ayatolah utadhani TZ ni taifa la kidini kama Iran.
 
Mkuu Ritz nakusoma taratibu.
 
Waarabu ni kabila gani?

Pili,nitajie mkoa wenye watu wenye mafanikio ambapo hakuna mchagga!Halafu mnaleta mifano ya Ayatolah utadhani TZ ni taifa la kidini kama Iran.

Teh teh teh eti na wewe ni great thinker makubwa.
 
Nani kasema mimi great thinker?I am anormal person!Na wenye kujilipuwa ni narrow thinkers.Mimi napigania ideas na sijilipui kama Boko haram mjinga wewe!
 
Waarabu ni kabila gani?

Pili,nitajie mkoa wenye watu wenye mafanikio ambapo hakuna mchagga!Halafu mnaleta mifano ya Ayatolah utadhani TZ ni taifa la kidini kama Iran.
Mimi sijakutajia waarabu wala sijatetea waarabu wewe ndiyo umekuja na mpya kuwa wachagga wana mafanikio kama jews ndiyo maana wanachukiwa, nimekupa challenge nitajie matajiri watato wa kichagga wanaomiliki viwanda.
 
waache wachaga wapige kazi,wewe baki na biashara yako ya majini
 
Mimi sijakutajia waarabu wala sijatetea waarabu wewe ndiyo umekuja na mpya kuwa wachagga wana mafanikio kama jews ndiyo maana wanachukiwa, nimekupa challenge nitajie matajiri watato wa kichagga wanaomiliki viwanda.
Wanamiliki majini kama ufanyavyo!
 
Nani kasema mimi great thinker?I am anormal person!Na wenye kujilipuwa ni narrow thinkers.Mimi napigania ideas na sijilipui kama Boko haram mjinga wewe!

Boko haram sio verified user usinihukumu kwa ID yangu huwezi jua na wasapoti au la "BACK TO THE TOPIC" kamanda.
 
Mimi sijakutajia waarabu wala sijatetea waarabu wewe ndiyo umekuja na mpya kuwa wachagga wana mafanikio kama jews ndiyo maana wanachukiwa, nimekupa challenge nitajie matajiri watato wa kichagga wanaomiliki viwanda.
Wako wengi zaidi ya watano,na wengine vilikufa kwa sera mbovu za ccm.Unaulizia viwanda mahali kuna umeme wa kugawa?

Nafahamu wachagga wengi tu wenye viwanda,wanaendesha maisha sawa tu kibongobongo,lakini kuwaita matajiri siwezi.Kabila gani lenye mafanikio zaidi hapo bongo?waarabu?wahindi?na ndo furaha yako hiyo.

Taka usitake,chuki dhidi ya wachagga ni kama ile ya dihi ya jews.Muwe tu tayari kukabiliana kikinuka.
 
mhn!kazi kweli kweli!sikujuwa kama una uwezo mkubwa hivyo wa kuandika pointi.Kwa taarifa yako,an idea can begin in a room and spread out to the whole nation.Tatizo idea imetoka kwa wachagga wanaochukiwa kwa mafanikio yao kama jews.Na kama wewe una chuki na wachagga,meza wembe,otherwise taifa litakombolewa taka usitake.Hata ikibidi kwadamu.

Mkuu,

Hiki ulichokiandika umekisoma tena?

Wachaga wanachukiwa na nani? Tuanzie hapa kwanza.

Cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Wewe THE BIG SHOW umeandika ujinga halafu unadai hutaki matusi huku wewe ni mmojwapo wenye kuyamwaga matusi humu jukwaani.

Kwanza chadema haijawahi kushika madaraka ya nchi ili uweze kusema raisi anamsikiliza Mtei.Hata huyu raisi tuliyenaye kuna anaowasikiliza.Tatizo ni mods hawajui thread zenye hatari kwa taifa.Wakija gunduwa itakuwa too late!

Uongozi wa Ayatolah ni uongozi wa kiislam.Ayatolah ni a supreme leader.Matatizo yao na marekani ndo yamepelekea hayo.Tanazania hatuna hayo matatizo.Kama umelipwa kuongea haya.Ujuwe consuquences zake zitakutafuna wewe na cfamilia yako.Kama mnataka kulianzisha muwe tayari.

Mtei ni kansa kwa Demokrasia ndani ya Chadema...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,

Hiki ulichokiandika umekisoma tena?

Wachaga wanachukiwa na nani? Tuanzie hapa kwanza.

Cc Ritz
Na wenye chuki za kikabila!Wenye sterio typical statements and feelings against them.Ama unataka kujitia upofu mara hii?Tunakoelekea si kwema,trust me,na unafahamu hilo.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom