Waarabu ni kabila gani?
Pili,nitajie mkoa wenye watu wenye mafanikio ambapo hakuna mchagga!Halafu mnaleta mifano ya Ayatolah utadhani TZ ni taifa la kidini kama Iran.
Wewe ndo umeleta
shutuma za kitoto,yakuwa ati
Wachaga "wanachukiwa" sababu ati wana maendeleo makubwa" saana" na ukawalinganisha na
Jews!...kitu ambacho ni
comedy tupu!
Yaani hapo yaonyesha
udhaifu wako wa fikra na
mgoto wa ubongowo! Teh! Teh!
Kwa kifupi umejaribu kulinganisha two different
phenomenal! Duh!...kwa
history au
ubunifu upi waliokua nao
Wachaga hata kuwalinganisha na
Jews!?
Yaani unawalinganisha
Wachaga na
Jews hata haya huoni wewe!?...
Taifa/Jews ambalo limetajwa mpaka kwenye
vitabu takriban vyoote
vitukufu!? Amma kweli mapenzi ni
upofu!? Teh! Teh!
Embu tutajie hata
Mchaga mmoja ambae kishawahi japo
kuvumbua kidonge cha kutibia
kisonono au japo kitu cha "kipuuzi" kama
wrist watch!? Teh! Teh!
Kamanda,kwa kifupi wewe ndie
mkabila uliekubuhu na unayeleta
udini humu...yaani huna
tafauti kabisa na yule
ndondosa mwingine toka
Kishimundu aka alcoholic
Nicholas!
Yaani yaeleka kichwani umejawa na
arrogant,stereotypes,
prejudices na colonial connotations!
Wewe ndie umewaletea
shutuma nzito za
udini na
ukabila, Mkuu
Ritz na Mkuu
Zemarcopolo...nao wametumia
ustaarabu wamekujibu na pia wamekuomba utoe huo
ushahidi wa hayo mafanikio "exceptional" ya hao
Wachaga hapo nchini au hata history yao mpaka ulipowalinganisha na
Jews!?
Sasa wewe matokeo yake unaanza
kuweweseka na kututajia mambo ya
Waarabu na utumbo mwingine...kwa kifupi unatuletea
triungalar excuses/explanations!?
Sikiliza Kamamnda,kama huna
intellect ya kutosha,kama wewe mwenyewe binafsi ulivyomfahamisha Mkuu
Boko Haram...tafadhali katafute kijamvi cha
wachovu wenzio wa maisha uendeleze
sokomoko lako!...hapa Mkuu
THE BIG SHOW,alishasema yakuwa hapendi
karaha wala
kadhaa!
Hapo kwenye
bayana yako naona pia unalalamika kuhusu huu mfano wa
Ayatollah kama alivyotuletea Mkuu
THE BIG SHOW kwenye utangulizi wa
mada yake!?
Sasa mara ngapi humu
JF,watu wanatoa mifano
lukuki ya nchi kama
UK,ambayo
Kiongozi wake ni
Bi Queen ambae pia ndie
Mkuu/Kiongozi wa
Kanisa lao pale,je wewe ulishawahi
kulalamika kwalo!?
Nina shaka pia yakuwa hata hii
mada bado
hujaifahamu asilan!...yaani wewe
umevamia tu humu
kuendeleza hizo
Islamophobia zenu za
Chadema baada ya kuona/kushtushwa na hilo jina la
Ayatollah!? Dah!
Narejea tena,acha
kurukaruka na
jibu masuali ya
Ritz na
Zemarcopolo kama walivyokuuliza kutokana na
shutuma zako
dhaifu na
mbovu dhidi yao!
Ahsanta sana.