Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
yawezekana unajambo la kujadili hapo...kama ukaribu na viongozi wakuu waweza adhiri maamuzi yako...je inakuaje pale ambapo kiongozi anakuteua na kukupa madaraka makubwa bila kupigiwa kura? mfno...kuteuliwa kuwa mwnykti wa tume ya uchaguz...na mwenyekt wa ccm je ktk maswala ya uchaguz inakuaje? mim nadhani mbowe na mtei uhsiano wao wa ukwe hauhusiani na maamuzi kichama...kwani mbowe alipigiwa kura na hakuteuliwa na mtei. nafasi ya ukwe ipo ktk mambo ya kifamilia sii chama otherwise kwa tuhma za mbowe kuzaa nje ya ndoa basi mtei angesha mtoa madarakani...tafakarini....tofautisheni mambo. toeni hoja sisizowaudhi wanaccm wenzenu.
 
PhD...hivi ya chuo gani tena? au nikama ile ya mwnykti?

Mbowe naye ana Phd? labda ya kuchukua na kutembea na wabunge wa viti maalumu CHADEMA SACCOS ( Phd yangu ni halali, London School of Economics) , ulizia mtanzania aliyechukua phd hapo 2004- 2007).
 
Nachelea kukubaliana na mtoa mada, kama kweli kuna undugu wa karibu namna hiyo isije ikawa cdm yaongozwa na baba mkwe bila wana cdm kujua. conflict of interest kama hizo zikiwepo ni busara kuzisema. hata kwa ccm hii mizee ya cku nyingi, kingunge, ruksa, malechela, n.k waondoke wawachie majukwa akina mbowe na kikwete waongoze demokrasia ya nchi
 
nI WAKATI UMEFIKA WALE WOTE MSIOPENDA UONGOZI WA mBOWE NA sLAA CHADEMA MTOKE HAMLAZIMISHWI KUKAA. bADO TUNAWAHITAJI SANA HAWA VIONGOZI MAANA WAO NDIO WAMEKIFANYA CHAMA HIKI KIWE NA NGUVU KAMA KILIVYO. wASIOWATAKA NI MAMLUKI NA WAPINZANI WA CHAMA AMBAO TAYARI WAMESHANUNULIWA. hAMUWATAKIVIONGOZI ONDOKENI.BADALA YA KUDHANI WAO NDIO WAONDOKE. ONDOKA WEWE.
 
Zitto amemchumbia Mwanaasha, mwambieni ampe Uwaziri, January Makamba, Yusuph Makamba, Moses Mnauye, Nape Mnauye, Hussein Mwanyi, ali Hassan Mwinyi, Kikwete, Riziwani, Miraji, Salma kikwete, Ayubu kimbau, Le Mutuz, Malecela, Kilango, Kate Kamba, Blasius Mkapa, Ana Mkapa, Mramba Tanesco, Mramba basil, Kawawa x 4, Malima x 3, Karume x 3...list ndefuu... anzeni kwanza magamba ....

wanachadema uwa mnashangaza mnapoambaiwa kitu kinawagusa mnaionyeshea kidole CCM utafikiri nyie na ccm mko sawa kinadharia, kihistoria na kiuchafu uchafu wowote

...ccm imekiri uchafu na mapungufu nyie wakati CDM mko opposite sasa kwa nini mnaponyooshewa kidole hapa au pale mnakimbilia angalieni na CCM wakati nyie majukwaani na kinadharia mnajipambanua kua mbadala wa CCM kwa kutokua na mabaya yeyote ya CCM
 
traitors mtahangaika sana! zitto kashanyea kambi! guess what???

utaambiwa mbowe na mtei wanaidai chadema trilioni arobaini ili wakiondoka wafilisi kila kitu,wametumwa pesa, hawa wanaotetea mitandaoni ni njaa tu na kutaka hurumiwa nafasi na si uzalendo kwa chama maana mbowe mwenyewe anatoa majibu kama anaota hawa vibaraka je? hawana jibu zaidi ya mipasho
 
Wana CDM punguzeni mihemko tujadiri mada, siyo kila mleta mada wakati huu ana uhusiano na ZZK au CCM, Kama nyerere alikuwa na mkono ndani ya CCM kwani lazima na CDM iwe hivyo? miaka ile ya zidumu fikra za mwenyekiti wa chama.... ZIDUMU..! wakati wa uchaguzi anapigiwa kura ya ndiyo au hapana. je ilikuwa demokrasia ya kweli? uchaguzi uliopita ndani ya CHADEMA Mh. Mbowe alogombea na nani mpaka akashinda kuwa mwenyekiti? washindani wake walipata kura kiasi gani? mwenye data aziweke hapa? km hakuna je demokrasia iliyokuwepo enzi za Mwl ndizo zinazotumika ndani ya CDM? Nakumbuka Zito aliambiwa atoe jina lake ili uchaguzi ufanyike, na Zito alikubari baada ya mazungumzo na viongozi wa chama. Nakumbuka wakati ZZK anahojiwa na waandishi wa habari alisema kuwa nanaukuu " waasisi wa chama walipoanzisha walikuwa na malengo yao ambayo lazima chama kiyafuate, hivyo sina budi kukubaliana na maamzi kulinda chama chetu" mwisho wa kunukuu.
 
Habari za wk end wana JF,naomba tuchangia mada hii kwa umakini.kwa sasa watanzania wengi tuna imani na chama cha demokrasia CDM kuwaletea maendeleo baada ya CCM kushindwa. Lkn kwa bahati mbaya mwasisi wa chama hiki mzee wetu mtei amekuwa na ushawishi mkubwa ndani ya chama. Kwa kuwa amekifanyia mengi kukifisha hapa kilipo kwaani nakumbuka mwaka1995 nikiwa nasoma pale Tabora mzee Mtei alitoa hotuba yenye kusisimua bila kumtukana mtu km wanasiasa wa sasa. Lkn pamoja na kutambua mchango wake nilifikiri ni wkt sasa wa kuruhusu chama kijiendeshe chenyewe bila ushawishi wake. Nasikia mwenyekiti wa sasa mh Mbowe ni mkwe wa mzee Mtei. Km ni hivyo mwenyekiti hawezi kumpinga baba mkwe wake ambaye ni km mzazi wake pia. Ikiwa na maana kwamba aikienda kinyume na maagizo au mawazo ya mzee basi athari zake zinaweza kuhamia ktk mahusiano ya kifamilia.

CDM INAENDESHWA KWA KUFUATA KATIBA YAKE TU , HAYO MENGINE NI POROJO TU , HATA HIVYO UTAFITI UNAONYESHA KWAMBA MKOA WA TABORA UNAONGOZA KWA MAUAJI YA VIKONGWE , KAMA hamuwataki WAZEE MUONDOENI KWANZA KINGUNGE NGOMBALE MWIRU CCM .
 
Usisite pia kupitia OFISI za MZEE NGOMBALE MWIRU na kumuambia hivyo hivyo ni wakati wa kukiachia CCM kidunde chenyewe; HAPO HAPO utakuwa MwanaDemokrasia halali wa NCHI yetu...

kamanda ina maana chadema inaendeshwa kwa template za maccm? sote si tunakiri ccm imeoza?! sasa mabadiliko tunayoyapigania ni yapi basi ikiwa hakuna tofauti kati ya vyama hivi?!
 
Achen kuwa na narrow mind kwa kushindwa kuelewa nafas ya "muhasisi" ktk chama chochote si tu cdm na taasisi yoyote au kikundi. REF: Nyerere alivyokuwa anachagua nani awe Rais n.k na aliacha kuwa na inlfuence ktk ccm baada ya kufa. Huwezi kamwe kumtenga mhasisi yeyote na kitu alichokihasisi,Ni kifo tu kitamtenga.

dhana ya uasisi ni nzuri itumika vema, tatizo ni pale huyo muasisi anapokuwa sehemu ya tatizo kwa kuendeleza makundi ndani ya chama!
pia tusisahau tuhuma za aliyekuwa makamu mwenyekt said arfi kuwa mzee mtei anachagulia chama viongozi wa kukiendesha!!
 
Mzee aachie ulaji,wewe kweli humjui huyu mzee lwenye maswala ya hela.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom