Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Muasisi awashukia 'wabaya' wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Iran utaratibu ule unawasaidia kama nchi kuepuka kuingiza nchi kwenye umamluki wa marekani,ndio kwa maana ayatollah amepewa nafasi na sauti ya kusema,

Pia CHADEMA UTARATIBU HUU UNAWASAIDIA SANA,KWA MZEE MTEI KUWA NA USHAWISH NA NGUVU NDAN YA CHAMA SIO MBYA,INAWASAIDIA KUEPUKA CHAMA HIKO KUINGIZA MAMLUKI WA MAFISADI WA CCM,

JE,TUKIJAALIA HII NCHI WAKAICHUKUA CHADEMA,HATUONI KAMA TUTAKUWA TUMEWEKA REHANI KUWA MAAMUZI YATAKUWA YANATOKEA UPANDE FLANI,NA SIO MAAMUZ YA KITAIFA??

MZEE MTEI AKAE KANDO KABISA NA SIASA ZA CHADEMA ILI WATANZANIA WAKIPE IMAN YA UHAKIKA CHAMA HIKO

...He! tayari mmeshamuanza mzee Mtei? ama kweli kama ni risasi basi magamba mmetenguliwa kiuno. sasa mbona hamueleweki au baada ya kuvurugwa yeyote aliye mbele yenu kwenu ni kushambulia tu!, mlianza na Dr Slaa, likabuma, mkamgeukia Mbowe - limebuma sasa mmeona mumfuate mzee wa watu. sitashangaa kesho kusikia tatizo la CHADEMA ni Chintu. Poleni na maumivu, najua ni makali sana na muda ndo unayoyoma kuanza mkakati mpya si rahisi tena.
 
Kila kitu kina wenyewe CDM ni ya Familia ya Mtei,mtu atoke asikojulikana alafu,achukue uongozi kwa goli la kisigino!! eti sababu (demokrasia)anapendwa, anauwezo na sifa loh!!si mukaanzishe chenu??Afadhali tukose URAIS laki ni uwongozi wa Chama hapana,CDM ni alama ya asili yetu Kilimanjaro.Ina muda wetu ina jasho letu ina pesa na mali zetu.Mutukome kabisa!!!
 
Mkuu,

Taratibu na hizi kauli zako za ukweli!

Si unajua jamaa hawataki kusikia ukweli asilan!...yaani wanatembea na vitofali siku hizi! Teh! Teh!

Mwenzio Mwigamba anajua "khabar" hiyo! Dah!

Ahsanta.

...kweli mkuu. ukweli upo magambani bwana. - si unakumbuka mzee wa meno ya tembo alivyousikia alivyotabasamu. Dege toka uarabuni linatua na kubeba twiga wazimawazima halafu linasepa serikali kimya hadi waliposhtuliwa na gazeti la Raia mwema miezi karibu mitano baadaye. wanapoulizwa ilikuwaje wanasema hatukuona tunapeleleza. Ukweli upo CCM bwana CHADEMA hawauwezi!
 
Kila kitu kina wenyewe CDM ni ya Familia ya Mtei,mtu atoke asikojulikana alafu,achukue uongozi kwa goli la kisigino!! eti sababu (demokrasia)anapendwa, anauwezo na sifa loh!!si mukaanzishe chenu??Afadhali tukose URAIS laki ni uwongozi wa Chama hapana,CDM ni alama ya asili yetu Kilimanjaro.Ina muda wetu ina jasho letu ina pesa na mali zetu.Mutukome kabisa!!!

Yaani hao Waislam wana balaa saana...kule CCM wanadai ni chama chao wameanzisha Wazee Wao tangia enzi ya TANU!

Sisi tumeanzisha chama chetu kwa malengo yetu ya udini na ukabila/ukanda...hiyo Miisiramu bado pia inataka kuja na huku nako pia kuchukua uongozi! Duh!...yaani hii haikubaliki asilan!

Hiyo mijamaa Bwana inashida tupu tu!...kwanza haipendagi kusomaga, ni mivivu saana, hasa hii mijamaa Miisiramu ya kure Pwani! Teh! Teh!

Wacha tu nijiondekeege zangu isije ikajiripuaga hapa JF hii mijamaa...yoote ni migaidi tu,sasa yatajuwage siasa!? Teh! Teh!

Tuko pamoja Akhiy Casampeda!

Ahsanta sana.
 
Umesoma barua rasmi ya kujiuzuru kwa makamu mwenyekiti wa chadema mh. Arfi?

Ile ni official letter. Umeona Chadema imekanusha kilichoandikwa?

Liko wazi kaka!!haiitaji kufika darasa la 7 kujua hili, ukijua kusoma na kuandika yatosha,Ukanda umeanza kuwatokea Puani!
 
...kweli mkuu. ukweli upo magambani bwana. - si unakumbuka mzee wa meno ya tembo alivyousikia alivyotabasamu. Dege toka uarabuni linatua na kubeba twiga wazimawazima halafu linasepa serikali kimya hadi waliposhtuliwa na gazeti la Raia mwema miezi karibu mitano baadaye. wanapoulizwa ilikuwaje wanasema hatukuona tunapeleleza. Ukweli upo CCM bwana CHADEMA hawauwezi!

Mkuu,

Acha "utoto" japo kiduchu!

Yaani haiwezekani asilan,ku-counter argument kwa kulinganisha maovu kwa maovu,abadan!

Huoni ni udhaifu mkubwa mno wa kifikra!?

Mfano kiduchu...Mtuhumiwa Kapuya labda upatikane ushahidi wa kutosha(sio huu wa magumashi na kuchafuana wa magazeti ya DJ),khalaf ashtakiwe na kufikishwa mahakamani kwa "kubaka"...

...Khalaf katika kujitetetea aanze kunyambua yale maovu ya ubakaji alofanza yule Mzee "Dr" Chekibobu Slaa,nyuma ya madhahabu,dhidi ya yule Sister maskini alokua mtumishi mwaminifu wa Roho Mtakatifu!?

...Khalaf pia,mtuhumiwa Kapuya aendelee kujitetetea tena kwa kusema...kwa hiyo Muheshimiwa Hakimu;nakuomba uniachie huru maana wabakaji mbona wako wengi tu na hawajawahi kuchukuliwa hatua zozote za kisharia zaidi tu ya kusitishwa ati "wasiendelee" na masomo yao ya Upadri!?

Na wabakaji haohao leo wanafikia hata kuthubutu kuutaka/kuutamani hata Urais wa Jamhuri yetu tukufu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar!?

Ulamaa Gombesugu nimekusoma bayana zako vyema sana,

Unajua linapofikia suala la kuweka utaifa mbele na kuangalia mambo ya msingi ya kusema watu wengine wamekuwa ni wenye kuangaliana kwa jicho la taharuki sana,

Wanashindwa kabisa kuelewa kwamba hili ni taifa letu,kuacha kuambiana ukweli kwa kuogopana sura ni USALITI MKUBWA SANA
 
Yaani hao Waislam wana balaa saana...kule CCM wanadai ni chama chao wameanzisha Wazee Wao tangia enzi ya TANU!

Sisi tumeanzisha chama chetu kwa malengo yetu ya udini na ukabila/ukanda...hiyo Miisiramu bado pia inataka kuja na huku nako pia kuchukua uongozi! Duh!...yaani hii haikubaliki asilan!

Hiyo mijamaa Bwana inashida tupu tu!...kwanza haipendagi kusomaga, ni mivivu saana, hasa hii mijamaa Miisiramu ya kure Pwani! Teh! Teh!

Wacha tu nijiondekeege zangu isije ikajiripuaga hapa JF hii mijamaa...yoote ni migaidi tu,sasa yatajuwage siasa!? Teh! Teh!

Tuko pamoja Akhiy Casampeda!

Ahsanta sana.

Zama hizo waambie zimeshapita Kitambo sana,

Ukweli tuh kwa sasa ndio utakao tawala vinywani mwetu
 
Wewe unaleta tu insinuations na speculations...ni wapi THE BIG SHOW ametujuza yakuwa Chadema itakua haina Demokrasia ati mpaka Zitto Kabwe ndo awe Kiongozi!?

Khalaf wewe ndo "msomi" wa wapi vile!? Duh!...yaani unadai,"mtu akikuzushia jambo tu,baso ndo linakua la kweli"!? Teh! Teh!

Kwanini inakulazim ku-mention hayo mambo ya udini na kumuhusisha nayo Mkuu THE BIG SHOW!?...embu tuonyeshe ni wapi huyo mleta mada kaleta mambo ya "udini" hapa jamvini!?

Your post is the dumbest,most ignorant thing I've seen this morning! Duh!

Basically,your argument is logically invalid on so many bloody levels!

Try to re-read the whole Topic carefully and with understanding,it may help,ok!?

Ahsanta.

Ulamaa gombesugu,nipo hapa ninakusoma kwa MAWANI YA 3D,

Shukran sana kwa kuliweka sawa hilo jambo ndugu yangu,
 
Mkuu Le Big Show naamini una maslahi ya dhati na CHADEMA kufuatana na michango yako mingi ingawa ningependa kuona unajiweka mbali na watu wenye ajenda zao ambazo ni dhahiri za kutaka CHADEMA ife kabisa. Kawaida yao ni kuingiza vibwagizo vya udini, ukabila na ukanda kila wakati na nawaona wakikuunga mkono sana katika uzi huu.

Kama mwenyewe ulivyogusia, hatari ya hujuma kwa chama ni ukweli ambao upo siku zote. Mamluki wanaweza kupandikizwa au hata waliomo wenye dhamana ndani ya chama wakatumiwa kuua chama. Mifano ya yaliyotokea NCCR na CUF bado ipo dhahiri sana. Watu walioaminiwa walitumika kuhujumu vyama hivyo kikamilifu kwa manufaa ya chama tawala. Na tukisema chama tawala si chama kama vyama vingine. Chenyewe kimehodhi na kinatumia vyombo na nyenzo za dola (zisizomithilika) ama kutia hofu (hata kuua) au kununua kikwazo chochote kwa bei muafaka.

Hadi sasa CHADEMA kimeshafanyiwa hujuma nyingi sana lakini kimefanikiwa kudumu zaidi ya watangulizi wake na bado kinaonekana kuwa chama tishio. Imefikia mahali watendaji wa CCM wameanza kuendesha kampeni kama za chama cha upinzani ili kushindana na CHADEMA. Sikia akina Kinana na Nape wakitangaza katika mikutano ya hadhara (badala ya kuwasiliana na mwenyekiti) ubovu wa baadhi ya mawaziri na kutaka waondolewe katika nafasi hizo.

Kuhusu Zitto hata mimi nadhani huenda suala lake halijashughulikiwa vyema. Kama tatizo ni kugombea uenyekiti au nafasi yoyote ndani ya chama basi ningependa kuona akipewa nafasi na kupitia mchakato uliopo ili utata wa kuminywa kwa demokrasia uondolewe. Naamini wakati ukifika CHADEMA hawatakuwa na budi kuruhusu hilo lifanyike; si kwa Zitto tu bali kwa yeyote anayestahili ndani ya chama.

Lakini kuna mashaka kwamba Mh. Zitto kwa nyendo zake amekuwa na ukaribu na baadhi ya viongozi wa CCM na vyombo vya dola ambao wanatuhumiwa kuendesha hujuma dhidi ya CHADEMA. Katika mazingira hayo, wewe kwa upande wako huna shaka kabisa na uwezekano wa Zitto kutumika kuhujumu chama? Kumbuka wanaotaka kuhujumu chama walio makini hawaji na mwonekano wa kishetani (mkia, mapembe, n.k.); mara nyingi wanatumia hoja thabiti kama za kuruhusu/kuimarisha demokrasia huku wakijua demokrasia kiuhalisia inaweza kuchezewa kwa fedha au hata ghilba za hisia za kibinadamu.

Pili, unaamini kweli au una ushahidi kwamba Mzee Mtei (singly) ana kauli kubwa au hata ya mwisho katika maamuzi ya Chama na kwamba CHADEMA leo hii kinaongozwa "kifamilia"? Kwa sababu kwa mtazamo wa aina hii sidhani kama mtu utakuwa na haja ya kujinasibisha na chama cha aina hiyo.

Madhila na vurugu na rafu za kisiasa wanazofanyiwa chadema ziko wazi na zinafahamika,

Kwan hujui philosophia ya siasa?SCRAMBLE FOR POLITICAL POWER IS BY ALL MEANS,AND DEFENDING THE POLITICAL POWER IS BY ALL MEANS,,

CCM haiwez kuvumilia kuiona chadema inanawiri then wao wasichukue hatau hilo haliwezekan na tunajua ndivyo wanasiasa walivyo,

HAPA KWA SASA HOJA NI KWAMBA IFIKIE WAKATI YULE ANAEJIONA KUWA NI MUASISI WA HIKI CHAMA AKUBARI NA KUTAMBUA KUWA CHAMA KIMESHAKUWA CHA KITAIFA,ASIINGIWE NA CHUKI NA KINYONGO PALE WATU WANAOTOKEA MAENEO TOFAUTI NA YEYE WANAPOONESHA NIA YA KUWANIA NYADHIFA ZA JUU NDAN YA CHAMA HIKO,HIYO NDIVYO DEMOKRASIA INAVYOKUWA
 
Alhabib gombesugu amani kwako ndugu yangu. Unajua sisi tunalipenda sana taifa letu kiasi kwamba saa nyingine tunatumia hata tafsida kufikisha ujumbe hasa kwenye mas'ala haya ya udini lakini inafika hatua tunashindwa hata kuvumilia na hapo sasa tukiusema ukweli ndio utasikia nyie wabaguzi, wadini n.k ila tunawavumilia sana. Zito yanampata yenye kumsibu only coz ni muislamu, si mchaga wala mkaskazini. Lakini wenzetu wao wanaendelea kuleta propaganda za kipuuzi zinazopelekea hasira kwetu. The big show kafikisha kiustarabu sana na namshukuru ila wajue kuna kuchoka.

Nimekusoma CHAMVIGA ULAMAA WANGU,

SUBIRA INA MWISHO
 
So long as you ot we agree on cdm constitution we jusy have to fight for selection of right candidates and tell yoi what theyll deliver.
 
Zitto ni hardcore political liability kwa chadema na pia ni valuable political asset kwa ccm, jifunze kufikiri vizuri bigie. Its time to write off this chronic overdue liability on chadema political balance sheet.

with all of my due respect,baada ya salamu mimi sipo hapa kufanya propaganda wala kumchafua mtu yoyote,

sijataumwa na yoyote,na nasimama kwa msimamo wangu binafsi katika kuelezea kile kilichopo fikran mwangu,

kama mtanzania mzalendo,mchukia mafisadi na muumin wa siasa bora na uongoz imara lazima nisimame kuelezea kitu nachokiona,

hatuna shida na mzee mtei kama miongoni mwa waasisi wa chama hiki,na hatuna shida na wenngine wowote wale ambao kwa namna moja ama nyinine wamekuwa ni wanafamilia wa mwasisi huyo wa chama hiki,

sisi kama watanzania linapokuja suala la kuathirika kwa utawala m'bovu huwa tunapata athari hizo sote bila kujali umri,jinisia,kabila,kanda,dini na kadhalika,so as long as wewe na mimi tumekuwa ni wananchi na raia wataifa hili tunaathiriwa moja kwa moja kwa mamuzi ya wanasiasa either wawe wa chama tawala au chama cha upinzani,

ni jukumu letu sisi wananchi kuhakikisha tunakuwa mabalozi wa siasa safi ili serikali itayokuwa madarakani iwe ni imara itayotuhakikishia maamuz sahihi na usalama wa taifa dhidi ya maadui wa ndan na nje ya nchi,

ili tufikie hali kama hiyo tunahitaji chama ambacho hakiwez kuegemea kwenye maamuz ya kutoka upande mmoja ambao unajinasibisha kuwa na moral authority ya kutoa kauli zinazohiatji kusikika kwa kuwa tuh eti upande huo ndio hasa uliopelekea kuasisiwa kwa chama hiko,hili lazima tuliweke wazi mapema sana.

Katiba ya chadema hakuna kipengele hata kimoja kinachosema kwamba watu wapewe kipaombele kutokana na ukanda,udini na ukabila hata sehemu moja,yani kwa ufupi katiba ya chadema inapinga kwa nguvu zote mambo ya ukanda,ukabila na udini katika kulijenga taifa hili kwa kizazi cha sasa na cha baadae,hilo liko wazi na sote tunaunga mkono katiba ya namna hiyo...

Katika mukatadha huo basi yatupasa kuwaambia chadema wasimame katika misingi hiyo na kuionesha wazi wazi kwa vitedno na kila mtu aone na sio kuishia kuhubiri mambo hayo majukwaani huku upande wa pili ukionekana kuwa na malalamiko yasiyo kwisha,rejea ya marehemu chacha wangwe na haya masahibu yanayo wakuta kitila mkumbo,mwigamba na zitto kabwe kama mifano huru katika mjadala huu,

chadema lazima itambue kwamba watanzania walio wengi pamoja na kuchoshwa na ccm wanahitaji m'badala thabiti na unaoijipambanua wazi wazi kiutawala,kikatiba na kitaifa.

Hoja ya ayatollah alkhamenei,yule suprme leader wa iran na jinsi wanavyoendesha demokrasia yao naifananisha maja kwa moja na chadema,nasema hivyo kwa sababu,

1.ayatollah alkhemenei.,yeye yupo juu,rais,mwnyekiti wa chama,bunge na mahakama vyote vinaripoti kwake,

chama na bunge hawawez kupitisha jina la mgombea urais wa nchi ile bila baraka wala idhin ya yatollah alkhemenei kwa kuogopa kuwekwa kwa mamluki au vibaraka wa marekani kwenye utawala wa serikali ya iran hasa kwenye kipindi kama hiki ambacho wanapaambana na siasa kali za israel na marekani,hususani suala zima la nyuklia na uongoz kwa ujumla,,utakuja kuona kwamba mahmoud ahmednijad rasi aliemaliza utawla wake alikuwa mtiifu kwa system ya ayatollah,watu wakadhani kwamba kuja kwa hassan rouhani rasi wa sasa wa iran basi hatokuwa mtiifu kwa mfumo ule,hali haikuwa hivyo kwani rouhani alipoinia alionekan kuwa moderate tofauti na nijadi lakin wote ni wale wale,wote wanapokea amri kutoka kwa supreme leader kwa kila hatua..

Utaratibu ule ni mzuri kwa wairan na unawafaa kuogopa kuingizwa kwa mamluki wa kimarekani ndan yataifa lile,

sasa nauliza swali,je utaratibu huo unafaa??na je unaweza kusaidia taifa kwa ujumla??mimi naona utaratibu huo kwa chadema kama chama una wafaa,tatizo ni kwamba je wakipewa madaraka ya nchi utaratibu huu utakuwa healthy kwa manufaa ya nchi??

Kwa maana mimi sion tofauti baina ya mzee mtei na jins anavokiendesha chadema na ayatollah alkhemei na jins anavoiendesha iran kama nchi,sema tofauti ni kwamba ayatollah ana sauti kitaifa huku mzee mtei ana sauti kichama.

Tuseme wazi na kumwambia mzee mtei kwamba chama hiki kama kweli anataka kipewe iman na wananchi,akiachie kwa wananchi moja kwa moja,na aondoe fikra za u-yatollah alkhemenei,ataligawa na kuligharim taifa.

#team zitto...
 
Mkuu,

Acha "utoto" japo kiduchu!

Yaani haiwezekani asilan,ku-counter argument kwa kulinganisha maovu kwa maovu,abadan!

Huoni ni udhaifu mkubwa mno wa kifikra!?

Mfano kiduchu...Mtuhumiwa Kapuya labda upatikane ushahidi wa kutosha(sio huu wa magumashi na kuchafuana wa magazeti ya DJ),khalaf ashtakiwe na kufikishwa mahakamani kwa "kubaka"...

...Khalaf katika kujitetetea aanze kunyambua yale maovu ya ubakaji alofanza yule Mzee "Dr" Chekibobu Slaa,nyuma ya madhahabu,dhidi ya yule Sister maskini alokua mtumishi mwaminifu wa Roho Mtakatifu!?

...Khalaf pia,mtuhumiwa Kapuya aendelee kujitetetea tena kwa kusema...kwa hiyo Muheshimiwa Hakimu;nakuomba uniachie huru maana wabakaji mbona wako wengi tu na hawajawahi kuchukuliwa hatua zozote za kisharia zaidi tu ya kusitishwa ati "wasiendelee" na masomo yao ya Upadri!?

Na wabakaji haohao leo wanafikia hata kuthubutu kuutaka/kuutamani hata Urais wa Jamhuri yetu tukufu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar!?

Ahsanta sana.

---mkuu mbona unakasirika wakati mimi nakuunga mkono? si nimesema ukweli upo CCM au hukunielewa tumifano twabgu tuwili tu twa akina kinana na meno ya Tembo na dege la waarabu kubeba twiga wetu. La Kapuya mi silisemi maana ni personal na halituhusu kwanza yule dada mtu mzima ni above 18. kama Slaa naye alibaka sister wa below 18 akafungwe tu maana CHADEMA wamezidi.
Hapo kwenye red ndo nimesikia leo, ...ama kweli magamba ni mabingwa wa kusema ukweli!
 
Awali nikiri kuwa kipindi watu walipokuwa wakisema kuwa CDM ni chama cha ukanda particularly Northern TZ, jambo hilo halikuniingia kabisa akilini kwangu. Ila baada ya kufanya kazi na watu kadhaa wa ukanda huo (Northern TZ) na nikunganisha na haya yanayowatokea ZZK na Dr. Kitila sasa naanza kupata mwanga kuwa chama hiki waasisi wake walitarget kiwe ni kwa masilahi ya watu wa Northern TZ. Hii inaweza kuwa justified na sura ya uongozi wa CDM katika ngazi ya juu 1) Mbowe 2) Slaa 3) Anthony Komu 4) John Mrema. 5)...................Ni dhahiri uwepo wa ZZK katika nafasi ya Naibu katibu Mkuu ilikuwa haiwafurahishi hata kidogo hawa Northern TZ people. Yaani hawa watu hawana tofauti hata kidogo na Wakikuyu wa Kenya kwa mnaowajua Wakikuyu. Sasa njia pekee ya kuleta demokrasia ya kweli ktk hiki chama ni kupambana kwanza kuundoa hizi elements za Kinorthorn TZ. Mapambano haya ni ya muhimu kuliko hata kupigania kuchukua dola hapo 2015 Coz hata kama hiki chama kitafanikiwa kuchukua Dola 2015 definitely 75% ya viongozi wake watatoka ukanda huo kwa sababu watu hawa hawana aibu wala haya yanapokuja maslahi yao binafsi. Kwa kuusoma waraka wa Dr. Kitila na wenzake nimekuwa convinced lengo halikuwa baya kwa sababu mkakati huu pamoja na kutaka kumwondoa mwenyekiti amabaye kutokana na upeo wake na elimu ndogo hawezi kuleta changamoto zinazotakiwa kupambana na CCM tunapokaribia uchaguzi mkuu 2015. Lakini pia mkalati huo ulilenga kukipa chama hiki sura zaidi ya kitaifa kuliko kilivyo sasa. Mm nimesifu uamuzi wa ZZK aliposema hatahama Chadema...Mimi nafikiri it is a right decision at the right time. Bila kupigania kukipa chama hiki sura ya kitaifa itakuwa ni kazi ngumu kupamabana na CCM lazima tupiganie CDM kufanya uchaguzi huru na wala hatutaki Mtei atuchagulie kiongozi aache demokrasia iamue. Nawasilisha.
Hayo maneno niliyopigia mstari na kuweka red ni makubwa na kweli tupu. Nimeyashuhudia mara nyingi nna kwa watu wengi. Kwa yeyote aliyepita katika historia kama yako, atakubaliana nawe, kiukweli kwenye maslahi binafsi-surely hawana haya hili liko wazi kabisa.
 
Mkuu,

Acha "utoto" japo kiduchu!

Yaani haiwezekani asilan,ku-counter argument kwa kulinganisha maovu kwa maovu,abadan!

Huoni ni udhaifu mkubwa mno wa kifikra!?

Mfano kiduchu...Mtuhumiwa Kapuya labda upatikane ushahidi wa kutosha(sio huu wa magumashi na kuchafuana wa magazeti ya DJ),khalaf ashtakiwe na kufikishwa mahakamani kwa "kubaka"...

...Khalaf katika kujitetetea aanze kunyambua yale maovu ya ubakaji alofanza yule Mzee "Dr" Chekibobu Slaa,nyuma ya madhahabu,dhidi ya yule Sister maskini alokua mtumishi mwaminifu wa Roho Mtakatifu!?

...Khalaf pia,mtuhumiwa Kapuya aendelee kujitetetea tena kwa kusema...kwa hiyo Muheshimiwa Hakimu;nakuomba uniachie huru maana wabakaji mbona wako wengi tu na hawajawahi kuchukuliwa hatua zozote za kisharia zaidi tu ya kusitishwa ati "wasiendelee" na masomo yao ya Upadri!?

Na wabakaji haohao leo wanafikia hata kuthubutu kuutaka/kuutamani hata Urais wa Jamhuri yetu tukufu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar!?

Ahsanta sana.

Al akhy tuko pamoja nimefarijika na haya maalumati yako.
cc.THE BIG SHOW.
 
Hivi mnajua siku ya kwanza kabisa mtu na mkwewe wanapanga kuanzisha chama walikuwa na vision gani? Mkijua hilo ndio mtajua mko sahihi ama lah. Ukute aidia ilianzia sebuleni, tena nyumbani kabisa wakiwa wanapata kahawa, wakapanga na mission ya kusaidia kufanikisha vision yao. Leo vyasaka mnataka nini??? Kiruuuu

Labda nyie hii inahusu mapinduzi ya kuing'oa shishiemu, wakati wenzenu labda ni family matter, tena yenye sentimemtal values za hali ya juu, na labda warithi ni wajukuu. Haka kama sio na uhusiano vile, lazima awe anayeweza kushikiwa rimoti bila chenga. Wao watashika rimoti, yeye ni actons tu hii haaa puuf puuf, dishwaa dishwaaa.

Raha ya mdumangu uuanzie mwanzo, ukikubeba juu kwa juu unapotea wewe.
mhn!kazi kweli kweli!sikujuwa kama una uwezo mkubwa hivyo wa kuandika pointi.Kwa taarifa yako,an idea can begin in a room and spread out to the whole nation.Tatizo idea imetoka kwa wachagga wanaochukiwa kwa mafanikio yao kama jews.Na kama wewe una chuki na wachagga,meza wembe,otherwise taifa litakombolewa taka usitake.Hata ikibidi kwadamu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom