Ukimumunya nchale,ukitema nchale
mbona kuna watu wanasema
lionchawene hajaenda mtwara baada ya kushauriwa na wanaccm
wenzake??:confused2::confused2:
hata kama hajaenda sawa! lakn huoni watu kupanga mawe njian wakimvizia waziri ni kitu ambacho sicha kawaida! Ccm kajipangen upya!
Nilishasema tangu awali kabisa, katika hili, Mimi Manyerere Jackton, nawaunga mkono wana Mtwara. Wana hoja. Serikali inataka kupotisha. Si kwamba hawataki umeme usitoke Mtwara. Wanachotaka ni kuona mtambo unajengwa hapo hapo Mtwara, umeme unazaliwashwa, unaingizwa kwenye gridi ya taifa, na wao wanapata ajira. Hilo ni kosa? Hakika si kosa. Nawaunga mkono.
Wewew ni GENIUS MKUU,lakini usalama wa magamba ni kujnga kituo kingine karibu na Uwanja wa Ndege,maana kituo cha mabasi kipo!Nilifikiria kujenga kituo kingine kikubwa cha kufua umeme Mtwara na kuingiza umeme kwenye gridi ya taifa ni njia moja ya kulinda usalama wa taifa badala ya kuweka sehemu moja. Huu ni mtazamo wangu lakini inaonekana wenzetu ni wataalamu zaidi!
mbona kuna watu wanasema lionchawene hajaenda mtwara baada ya kushauriwa na wanaccm wenzake??:confused2::confused2:
Safari hii story nzuri nzuri zinatoka mtwara tu