Mtwara: Simbachawene azuiwa njiani!

Mtwara: Simbachawene azuiwa njiani!

Wanasema mzaha mzaha hutumbua usaa!

Concern ya CCM muda huu:

1. Wameshatiliana sahihi makubaliano na wawekezaji

2. Wanapenda kura za watu wa Kusini: wakipoteza Mtwara wanapoteza kusini yote.

Hapo busara ya kisiasa inahitajika!
 
mbona watu wote tupo upande wa wanamtwara... hatutaki gesi ije dar ibaki huko huko mtwara na serikali wajenge mitambo huko huko... unless serikali imejaa vilaza...
 
Vipi wewe Mbona Unahara
kabla ya KUJAM-BA,! Niweke facts za nini wakati ukweli wote unaujua.au
umesahau kwamba miaka yote Wezi,na Mafisadi wote,wa Mali za Umma mmekua
mkiwahamishia mikoa ya kusini kikazi pale wanapokosea badala ya
kuwapeleka MAGEREZA! Hii inaonyesha kua Mateso yanayokuepo Mikoa ya
kusini ni zaidi ya Magereza.kule kuna Bandari nzuri na yenye Kina Kirefu
ambayo Meli kubwa zinaweza kutia Nanga.si hivyo tu,bado Bandari hiyo
ingeweza kuhudumia Mikoa ya kusini,pamoja na nchi Jirani kama
Malawi,Zambia,Congo nk.lakini kwa ufinyu wa akili ya viongozi wa Ccm na
Serikali yake,mmekazania tu kila kitu Dar.Mshindwe na Mlegee!

Sokoine, Sasa hicho tu ndio kigezo cha kusema wamesahaulika! mbona mema yalofanywa kwa kutumia mapata ya mikoa mingine huyasemi na wewe kabla hujaKUNYA? Barabara imeunganishwa,madaraja ya kisasa yenye gharama kubwa huyaoni!zamani watu walikuwa wanalala Rufiji siku7 na zaidi! wengine wanangojea meli tu! mwaka mzima! siku hizi ni masaa 6 tu uko Lindi au Mtwara bado wamesahaulika? acha ushambenga mtu mzima sasa we!
 
Last edited by a moderator:
wanamtwara wananipa raha mwaka huu yani kama arusha vire. kazeni ijapokuwa baba rithiwani kakaza gesi ije huku tanzania. tupo pamoja tunawaunga mkono ndugu zetu wa mtwara.
 
Hivyohivyo ugali moto mboga moto sahani na bakuli vya bati. watu walishachoka kudanganywa dar kila kitu limekua tumbo la Tanzania linakula kilakitu

Kweli bwana mie kila siku nawaambia Dar wamekatalia hata makao ya nchi si tunajua Dom wao wamekuwa ngangari kihivyo
 
Ranks, we usidanganye wenzako wakati we umekaa katika laptop tu! nyie Cdm mmeona m4c yenu imefeli ndo mnatumia karata ya wanamtwara! msisafirie nyota ya wenzenu mnawaponza wakina mama watoto na vikongwe kwa vurugu zenu!

Mungu akunyime kila kitu, sio akili, kama ilivyo kwa watawala wetu!
Kwenye Power Sector Master Plan (PSMP) ya miaka miwili iliyopita, ilikubaliwa na kuamriwa kwamba mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi ya asili (thermal gas power plant) ujengwe Mtwara. Ilikubaliwa kwamba ijengwe laini ya msongo mkubwa na mkondo mnyoofu (high voltage DC line) kutoka Mtwara kwenda mkoani Singida (ambapo kutakuwa na substation kubwa itakayopokea umeme toka Iringa kwenda Shinyanga - Backbone Transmission Line) inayofadhiliwa na Benki ya Dunia. Laini hii inaunganisha gridi yetu na ile ya Kenya kwa msongo wa KV 400. Wananchi wa Mtwara walikuwa na taarifa hii mapema sana, kama maandalizi ya kuacha njia kwa ajili ya njia ya umeme (wayleave). Sasa hawa wahuni wachache wenye madaraka wamepindua plan hii na kujenga bomba la kusafirisha gesi ili umeme uzalishwe Dar na kuingizwa kwenye gridi, kinyume na mpango wa awali. Suala hili halijashushwa chini kwa wananchi na kuelezewa kinagaubaga, sababu za kubadili maamuzi hayo ya awali. Ndicho kinachowagharimu sasa wwatawala, kwani wana Mtwara walikuwa na taarifa tangu mwanzo kwamba mtambo ungejengwa mkoani kwao. Huenda wana sababu za msingi za kubadili maamuzi hayo, lakini mbona hawajawaambia wananchi wa Mtwara?
Think twice.
 
People awataki siasa kwenye mambo muhimu,magamba wa kajipange kwani wana mtwara wako macho na gesi yao.
 



.....watanzania..wamechachamaaaaaaaaaaa.... jangili..... kulitoa ndani.........
 
huyo alikuwa ni wa kupiga hadi kuua,watu washakuwa wajanja sasa wala hawadanganyiki tena.
RIP ccm.
 
walizoea kuwaita 'Chinga' eti mnajazana dar na kutembeza kiatu k1 mkononi ..ahaa,dharau sana aisee kwa wanamtwara

Ndio maana wamekatalia gesi isiende dar ili wasiindelee kujazana Dar. Kila kitu dar BOT dar wakat kuna
dodoma, viwanda vya sigara dar wakati tumbaku inatoka tabora na morogoro.kiwanda cha bia dar wakati hakuna kilimo cha shayiri. serikali haina hata mpango wakujenga viwanda wanasubiria wazungu waje wajenge wapate 10%. maeneo ya mtwara na lindi kuna ardhi kubwa sana lakini hawana mpango wa kuendeleza wanakimbilia dar. siku ikitokea bomu likapigwa Dar, basi nchi yote itakuwa gizani kwa kiwango kikubwaumeme unategemewa ni wa dar unaozalishwa na songosongo, kwanini songas isingejenga huku lindi?
 
..........siku ikitokea bomu likapigwa Dar, basi nchi yote itakuwa gizani kwa kiwango kikubwaumeme unategemewa ni wa dar unaozalishwa na songosongo, kwanini songas isingejenga huku lindi?
Suala la usalama ni muhimu zaidi. Huko sahihi mkuu.
 
Niliishawahi kusema watu wanaoonekana ni wajinga huwa wanaonekana wajinga kwa sababu wanaodai hivyo walitegemea hao wajinga wafanye kama wao wanavyofikiria.

haya ccm na mtoto wako serikali, cheza na hiyo reaction ya kusini.
 
Taarifa nilizopata punde, polisi wamelazimika kumrudisha nyuma
ili kuepuka matatizo zaidi kwa kuwa vurugu zilizidi...

dhambi ya uhaini kwa kututafuna wanyonge hatimae magamba mwaanza kuiona na bado TUNAKUSUBIRI DEGE JOHN UJE NAWE TUKUONYESHE TULIVYOKUCHOKA KAKA MKUU WA NCHI HII.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom