BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,344
- 6,863
kama mbwai mbwai ntwara komaeeni mwanzo mwisho.
ndo umeamka saa hizi au?kumekucha!
kama mbwai mbwai ntwara komaeeni mwanzo mwisho.
Kwa hiyo wewe unataka kutuambia hii kwako ni story mbaya? Yaani Mungu kaamua kujibu Maombi ya Wadanganyika kabla ya wakati,eti wewe unataka kumkosoa! Kajipange upya na Nape wako.Viongozi badala ya kuhangaika na matatizo yanayowasumbua Watanzania,wao wanahangaika na Dk Slaa na Chadema.waende kusini wakawaambie wana Mtwara na Lindi ni kwanini wao ni Masikini,na kwanini Serikali ya Ccm iliwatelekeza tangia uhuru hadi wa leo.,!Atom. Yani hio ndio stori nzuri nzuri! hivi kwanza una umri gani? je unajua madhara ya umwagaji damu nchi inapochafuka? wewe umekaa na laptop unakenua menu tu eti stori nzuri nzuri,mtapata mnachowatafutia watu wa Mtwara!
BLACKTIGER,na wachaga komalieni mlima wenu wa Kilimakyaro, mapato yabaki K' njaro na wasukuma dhahabu zenu, wapemba mafuta yenu! uone mtafaidi nini watanzania! ACHENI UCHOCHEZI!
Ranks, we usidanganye wenzako wakati we umekaa katika laptop tu! nyie Cdm mmeona m4c yenu imefeli ndo mnatumia karata ya wanamtwara! msisafirie nyota ya wenzenu mnawaponza wakina mama watoto na vikongwe kwa vurugu zenu!
Mbona story haielezei amefanya kosa gani?
mawazo ya viongozi wa ccm na serikali yake watasema hao ni chadema, na kama kweli ni chadema,ccm wajue sasa wamekwisha,mimi nilishasema kwamba mwaka 2015 ccm kitakuwa chama cha nne,nyuma ya nccr kwa maana ya CHADEMA,CUF na zhatatu NCCRWaziri Simbachawene amezuiwa njiani na wananchi hapa Mtwara kwa kuwekewa mawe njiani na FFU wanakuja hapa
Kwa hiyo wewe unataka
kutuambia hii kwako ni story mbaya? Yaani Mungu kaamua kujibu Maombi ya
Wadanganyika kabla ya wakati,eti wewe unataka kumkosoa! Kajipange upya
na Nape wako.Viongozi badala ya kuhangaika na matatizo yanayowasumbua
Watanzania,wao wanahangaika na Dk Slaa na Chadema.waende kusini
wakawaambie wana Mtwara na Lindi ni kwanini wao ni Masikini,na kwanini
Serikali ya Ccm iliwatelekeza tangia uhuru hadi wa leo.,!
Huo mlima mboma upo huko kilimanjaro lakini unakufaidisha mpka wewe mpemba?wanamtwara wana haki ya kujua watafaidika vipi na rasilimali zao.Ningekuwepo kipindi kile dhahabu inagunduliwa geita walah mbona pangechimbika!wewe ndo mchochezi mkubwa tena utakuwa umetumwa.BLACKTIGER,na wachaga komalieni mlima wenu wa Kilimakyaro, mapato yabaki K' njaro na wasukuma dhahabu zenu, wapemba mafuta yenu! uone mtafaidi nini watanzania! ACHENI UCHOCHEZI!
Mkuu hayo siyo madai ya wana Mtwara, tafuta habari vizuri.
Ndugu zangu wa kusini hii
ndo nafas yenu pekee ya kurudsha heshima, kama kuzaraulika the ifikie
mwisho! Hakuna gesi kutoka mtwara, ful stop ... siasa zao wapeleke huko
huko kwa wakwere!
Huo mlima mboma upo huko
kilimanjaro lakini unakufaidisha mpka wewe mpemba?wanamtwara wana haki
ya kujua watafaidika vipi na rasilimali zao.Ningekuwepo kipindi kile
dhahabu inagunduliwa geita walah mbona pangechimbika!wewe ndo mchochezi
mkubwa tena utakuwa umetumwa.
Haahaaa safari hii waliochukua ten percent lazima warudishe chenji yao