Mtwara: Milio mikubwa ya mabomu yatikisa usiku

Mtwara: Milio mikubwa ya mabomu yatikisa usiku

poleni sana maana najua hata usingizi haupatikani.
 
Kilicholipuka ni kama hichi;

"Wakati Askari wakipanda kwenye magari kishindo kikubwa kilitokea umbali wa zaidi ya mita 100 kutoka sehemu ambayo operesheni ilikuwa inafanyika na iligundulika kwamba kishindo kile kimesababisha kifo cha Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi," imeeleza sehemu ya ripoti hiyo.

Maswali ya kujiuliza katika tukio la mauaji ni Je, kulikuwepo na uwiano unaolingana na tukio hili?, Je, Palikuwa na uhalali wa kutumia bomu la kishindo?, na Je, utumiaji wa bomu hilo ulikuwa na umuhimu?

Ripoti hiyo inasema kuwa kulingana na tukio lenyewe majibu ya maswali hayo ni kwamba hapakuwa na uwiano wa bomu na tukio la mauaji, kwa vile utaratibu wa matumizi ya bomu hilo unaelekeza kulenga juu usawa wa nyuzi 45 na umbali mita 80 mpaka mita 100.

Kamati hiyo pia ilibainisha kuwa hapakuwa na uhalali wa kutumia bomu la kishindo kwani lengo la ulipuaji wake ni ili watu waogope na kukimbia na hata ingekuwa ukamataji, tayari askari Polisi wapatao sita walikuwepo eneo la tukio.."
 
Ndani ya dk 10 kumesika milio miwili mikubwa ya bomu/mizinga na fyatuko za risasi. Hadi bati/paa zinashake. Sijajua ni nini kimetokea tena huko mujini. If anythng i will come with more update.

JWTZ wanafanya mazoezi kwa ajili ya vita na Malawi.
 
Ndugu sio kweli kama mizinga imepigwa,ila ni mabomu ya machozi yamepigwa,tena moja limepigwa nikiwa naongea mjeda dakika tano zilizopita,ambae anaishi magomeni mtwara mkuu pamoja na risasi kama mbili hiv,source ni huyo jamaa yangu huko!

Acha ulongo! Toka lini bomu la machizo likasababisha ardhi ama ukuta kutikisika?
Hayo ni mabomu. Yanapigwa kutoka kikosi cha Navy. Watu wa Shangani mtikisiko wake wanaupata vizuri sana, ndiyo sababu huyo mkuu hapo juu amesema majeda wamewaambia wazime TV wanajua ni kitu gani hicho. Mlio wenyewe unajieleza.
 
CCM huwa wanapenda kukera watu hadi mwisho..Vita huanza kirahisi sana.Na mara nyingi majeshi hayawezi pigana na raia kihivyo.Raia wakiamua kufanya hujuma tuu,kwa timely fashion.Na wakianza shika watu wanafanya drama ili washikwe wengi zaidi ya uwezo wamagereza.Baada ya magereza kujaa.

Hujum azitaendelea.Majeshi yakija kuua yanakuta watu waliwa kazini,na picture zinapigwa kw ajili ya propaganda ili mataifa mengine yaanze tafuta njia ya kuwafikia watu na kuwapa silaha.

Mengine ni yaache.
 
komba na jirani zake wa malawi na Membe wanaihujumu Tz. Muda si mrefu membe atakuja thibitisha kwanini wamalawi walisinda.Ngoja mumnyime urais.
 
Hiki Kichwa
 
Jk kamtuma nchimbi na mwema.kutisha watu na mabomu lkn issue ya mtwara inahitaj kukaa chin na kutafakari na kuja na mawazo mapya ccm wamelea matatizo yamekuwa makubwa wansingizia cdm mimi ni mwanachama hai wa ccm ila kwa hili sikubaliani nalo

huu siyo mda wa kukaa chini mda wa kukaa chini ulishapita.
 
komba na jirani zake wa malawi na Membe wanaihujumu Tz. Muda si mrefu membe atakuja thibitisha kwanini wamalawi walisinda.Ngoja mumnyime urais.

unaandika maandiko kama hujala si bora ukalale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom