Ya sita tuyaache maana ni aibu kwa watu wenye uelewa kwa mzee mtu mzima ambaye amekaa kwenye uongozikwa muda mrefu kuanza kuweweseka na CDM vile km akina mwigulu na nape ni AIBU.....alafu CCM kingine kinachowacost mpaka sasa hamna mtu na akili yake timamu anaeweza kushabikia CCM ni hayo maneno yenu ya dharau dharau sisizokua na msingi(utoto)...kama kuwaita wapinzaniwenu majina ya ajabu ajabu-kama hapounavyo waita wapinzani WAHUNI,MAGAIDI,yule mwingine anamuita baba yake BABU na mengine Hasa pale mnaposhidwa kwa HOJA ni utoto wa hali ya juu na ulimbukeni wa kisiasa .....Ndo maana narudia kuuliza HUko CCM kuna watu wenye BUSARA wamebaki...?upinzani upi huo kama hao chadema wanaoongoza bungeni ndio wahuni watupu kama alivyoeleza sitta leo...ccm ina rasilimali ya watu kuliko unavyodanganyika hapo
Hivi CCM kuna mtu mwenye uelewa wa mambo vizuri hata mmoja aliyebaki huko...? au wale majembe wote wenye kuona mbali wameenda upinzani..? kungekua na watu MAKINI huko wala haya yasingekua na haja..?
Botswana wamewakurupusha wageni wote, Zambia nao wameanza sisi bado tunawadekeza kama mayai.
kama gesi ya mtwara lilikuwa moja la sharti la kuachiwa yule mtoto wa kigogo aliyekamatwa na madawa uchina, basi wana mtwara msikubalu na watz wazalendo tuko nyuma yenu.
ndiyo nipo karibu sana na yanapopigiwa sio mabomu ya machozi ambayo tangu juzi tunayasikia haya ni mengine mapya kabisa yakipigwa hadi bati linatikisika
ges lazima iletwe kinyerezi taka usitake.
ndiyo nipo karibu sana na yanapopigiwa sio mabomu ya machozi ambayo tangu juzi tunayasikia haya ni mengine mapya kabisa yakipigwa hadi bati linatikisika
Gesi haiozi uharaka wa nini?
upinzani upi huo kama hao chadema wanaoongoza bungeni ndio wahuni watupu kama alivyoeleza sitta leo...ccm ina rasilimali ya watu kuliko unavyodanganyika hapo
haki ya mwenye haki, watawala mtatuuwa. kwani mmesahau kuwa BUSARA ni UTUUUUU.........! nchi imewashida
Pole sana ndugu zangu tu pamoja nanyi,akikisha unalala na nguo,hali ikiendelea hivyo tufahamishe
mnataka kuendelea peke yenu bila uwekezaji ndani ya dunia hii.
Du!!! Haka ka-bwana kananuka kinyesi!!!Kwa hiyo wananchi wote wa Mtwara wana dhana hasi? Ni wewe tu mwenye dhana chanya?Hali hii na yote yanayotokea Mtwara wamejitafutia wenyewe wanamtwara. Ni matumaini yangu kuwa hiyo dhana hasi waliyojijengea itaondolewa mapema na hali ya amani itarejea.