Mtwara: Milio mikubwa ya mabomu yatikisa usiku

Mtwara: Milio mikubwa ya mabomu yatikisa usiku

duh kwa kweli hali inatisha sana. Siku tunakoelekea kama taifa, ila bila shaka hili swala lilikuwa linahitaji kumaliza kwa busara na hekima zaidi, siyo maguvu ya jeshi kwa kutumia dhana za kivita.

katika hili mimi naona wana-mtwara wana hoja, kama serikali wanaona wana hoja based on scientifc fact basi kuna namna nzuri ya kuongea na wana-mtwara, naamini wataelewa tu.

all in all nipo pamoja sana na wananchi wa mtwara
 
milio inatokea huku stendi kubwa ya magari ya kwenda mikoani na baadhi ya milio midogo midogo ya risasi
 
Yatakuwa mabomu ya kishindo kikubwa- Dr. Nchimbi
 
mtamfanya Obama agwae kuja

Ndugu sio kweli kama mizinga imepigwa,ila ni mabomu ya machozi yamepigwa,tena moja limepigwa nikiwa naongea mjeda dakika tano zilizopita,ambae anaishi magomeni mtwara mkuu pamoja na risasi kama mbili hiv,source ni huyo jamaa yangu huko!
 
Ndani ya dk 10 kumesika milio miwili mikubwa ya bomu/mizinga na fyatuko za risasi. Hadi bati/paa zinashake. Sijajua ni nini kimetokea tena huko mujini. If anythng i will come with more update.
weka picha
 
Watanzania huku Mtwara kuna milio na mitikisiko ya mabomu. Yameanza km dakika 27 zilizopita...had hv ss ni km mabomu 5 yamelipuliwa, haijulikani km ni wanajesh au ni akina nani!? Pia haieleweki ni sehem gani??
 
Hii mbona hatari,tupeni more updates ila never risks your life to keep us posted.
 
Lengo la serikali ni kuwatisha wananchi na kuwaziba midomo kwa kuwaua ndg zao wasitetee gesi tena ili wauze kwa wachina wao ambayo inasidikiwa watu weshakula 10% zamani.
 
Watawala wanaamshwa. Walidhani Mtwara watu wamelala.
Gesi haitoki huo ni mwanzo tu !

Na wachina wao waanze kufungasha !


Botswana wamewakurupusha wageni wote, Zambia nao wameanza sisi bado tunawadekeza kama mayai.
 
Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi vinadhibiti uhaini wa eneo hilo...kama ww ni mtu mwema una hofu ya nn
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom