Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 913
Moderators tafadhali ondoeni I'd ya M23, Mtu huyu mhafidhina, anajifanya mwana ccm lakini SIO, comment zake zinaleta jazba Na watu kuzidi kuchukia serikali Na Ccm. Si kweli Kwamba mawazo yake ndio ya Ccm, Ccm wenyewe wanaumia sana Kwa yanayotokea ila huyu M23 analazimisha tuamini Kwamba Ccm ni Chama Cha watu wenye roho Za kinyama, nakatili na wauaji wasiojali utu, kitu ambacho si kweli. Na wana Ccm humu Jf muungane kusambaratisha hili tabaka linalowachafueni. Mtwara SIO inshu ya Cdm, ni Kuhusu maisha ya watu yanavyoteketea. Hapana anaye weza kusuport hii kitu in any way
Last edited by a moderator: