Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
Vitisho hujenga ujasiri daima!tupambane kwa maana ya kutetea wema!
upo mtwara au arusha?
Vitisho hujenga ujasiri daima!tupambane kwa maana ya kutetea wema!
Mkuu umenikumbusha mbali sana tena nimejawa na ujasiri wa kutokukubali dhuluma hizi,maana wasukuma wengi sana walikufa kwa kufukiwa mashimoni na jk huyuhuyu alikuwa waziri wa wizara hiyo,duh hatari sanaLabda gesi ya Ushuzi[/QUOTE ni gesi ya kijambo chake serikali inatisha watu wa mtwara ili watulie watanzania si waoga kufa,wanataka waendelee kugema gesi kwa lazima,watu mnasahau haraka Jk huyuhuyu alivyokuwa waziri wa madini na nishati alifukia watu bulyanhulu kahama,kuua kwake kwa ajili ya wazungu ni kitu cha kawaida kazoea.
Mama na mtoto walio kufa na kuuliwa na askari mungu atashinda kwa baba wa mtoto na mke wake wapumzike kwa amani.
Utafungasha wewe! Gesi haitoki mnataka mwashie vibatali
Hii sio nguvu ya umma ni genge la vibaka wanaotaka kutuharibia amani ya nchi yetu
Gesi inaletwa dar na inakuja kutumika na watz whether you like or not
Kwa serikali nayoijua mimi hii tuliyonayo yaani wewe hata kidogo hutofaidika! Watafaidika akina fulani na fulani tu. Labda hayo mabaki yatakayozalisha umeme.
Jamani ni mabomu asilia hadi hivi sasa mizinga km 4 imetikisa ardhi.si mchezo!
nani kafaidika na ges ya mtwara mpaka sasa
mlileta taarifa hapa kuwa wananchi wamewazidi nguvu raia wamewapora bunduki sasa ndio wauaji.
Botswana na Zambia imewafukuza WACHINA tu !
Hata Tanzania wataondoka ni waharibifu !
kwani wanamtwara wanataka mapinduzi kama misr au mapato ya ges huu ni mfano mfu kabisa
Kwa serikali nayoijua mimi hii tuliyonayo yaani wewe hata kidogo hutofaidika! Watafaidika akina fulani na fulani tu. Labda hayo mabaki yatakayozalisha umeme.
Ok hope watakuwa walikuwa ni Military PoliceNdani ya dk 10 kumesika milio miwili mikubwa ya bomu/mizinga na fyatuko za risasi. Hadi bati/paa zinashake. Sijajua ni nini kimetokea tena huko mujini. If anythng i will come with more update.
UPDATE:
Nimeongea na ndugu yangu mmoja mwanajeshi kaniambia hao ni polisi walikuwa wanawatawanyisha makundi ya watu usiku ule, nikamuuliza mbona yalikuwa na mshindo mkubwa akasema ni aina nyingine ya mabomu na kiukweli hayakuwa kutoka jeshini, kasema hawana haja ya kufanya hicho kitu hao wanajeshi.
Ila kuna meseji ziinasambaa zinasema kuna Lori 4 za Jeshi zilifika jana toka Daslam, zikafyatua mabomu 4 pale lindi halafu zikaja mtwara, sasa labda ni hao kuonyesha ujio wao wakafyatua hayo mabomu.
hawafai hawafai.... ni waaribifu kupitilza... niliwafukuza kwny nyumba yangu baada ya kukuta wamechomea vitanda hadi bafuni....
Gesi si inasambazwa majubani tutanunua unataka tupewe bure?