Mtwara: Milio mikubwa ya mabomu yatikisa usiku

Hivi CCM kuna mtu mwenye uelewa wa mambo vizuri hata mmoja aliyebaki huko...? au wale majembe wote wenye kuona mbali wameenda upinzani..? kungekua na watu MAKINI huko wala haya yasingekua na haja..?
 
la sita nimelisikia muda huu nje naona makarandinga ya jeshi yanapita kwa speed kubwa,..cha kushangaza hii milio ni mikubwa kuliko yale tuliyoyazoea ya jana na juzi...siju wanajesh wameshakunywa viroba wanapiga tu,au hawa polisi wetu wezi ama wananchi!kuna hali ya sintofahamu
 
Ndugu sio kweli kama mizinga imepigwa,ila ni mabomu ya machozi yamepigwa,tena moja limepigwa nikiwa naongea mjeda dakika tano zilizopita,ambae anaishi magomeni mtwara mkuu pamoja na risasi kama mbili hiv,source ni huyo jamaa yangu huko!

mkuu tunashukuru kwa habari ya uhakika....mleta mada yuko uvunguni anatupa uongo hapa...hongera sana jeshi letu
 
kama gesi ya mtwara lilikuwa moja la sharti la kuachiwa yule mtoto wa kigogo aliyekamatwa na madawa uchina, basi wana mtwara msikubalu na watz wazalendo tuko nyuma yenu.
 
la sita nimelisikia muda huu nje naona makarandinga ya jeshi yanapita kwa speed kubwa,..cha kushangaza hii milio ni mikubwa kuliko yale tuliyoyazoea ya jana na juzi...siju wanajesh wameshakunywa viroba wanapiga tu,au hawa polisi wetu wezi ama wananchi!kuna hali ya sintofahamu
Au wamalawi washavamia upande huo? Tusibweteke! Maadui wanaweza kuitumia hiyo kama loophole ya kutumaliza.
 
Hivi CCM kuna mtu mwenye uelewa wa mambo vizuri hata mmoja aliyebaki huko...? au wale majembe wote wenye kuona mbali wameenda upinzani..? kungekua na watu MAKINI huko wala haya yasingekua na haja..?

upinzani upi huo kama hao CHADEMA wanaoongoza bungeni ndio wahuni watupu kama alivyoeleza sitta leo...CCM ina rasilimali ya watu kuliko unavyodanganyika hapo
 
haki ya mwenye haki, watawala mtatuuwa. kwani mmesahau kuwa BUSARA ni UTUUUUU.........! nchi imewashida
 
Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi vinadhibiti uhaini wa eneo hilo...kama ww ni mtu mwema una hofu ya nn

Kwani mwangosi naye alikuwa mwovu hadi awe na hofu?Kumhofia hayawani si lazima uwe mwovu.
 
Pole sana ndugu zangu tu pamoja nanyi,akikisha unalala na nguo,hali ikiendelea hivyo tufahamishe
 
hao watakuwa wanajeshi wanafanya zoezi
 
mkuu tunashukuru kwa habari ya uhakika....mleta mada yuko uvunguni anatupa uongo hapa...hongera sana jeshi letu

update nyingine hiyo
la sita nimelisikia muda huu nje naona makarandinga ya jeshi yanapita kwa speed kubwa,..cha kushangaza hii milio ni mikubwa kuliko yale tuliyoyazoea ya jana na juzi...siju wanajesh wameshakunywa viroba wanapiga tu,au hawa polisi wetu wezi ama wananchi!kuna hali ya sintofahamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom