Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
mlileta taarifa hapa kuwa wananchi wamewazidi nguvu raia wamewapora bunduki sasa ndio wauaji.
m23 soma tena hayo maelezo yako na ikiwezekana uandike tena.
mlileta taarifa hapa kuwa wananchi wamewazidi nguvu raia wamewapora bunduki sasa ndio wauaji.
nani kafaidika na ges ya mtwara mpaka sasa
Itatoka lakini sio kwa bomba!
Kwa watawala hawa tulionao? Kila nyumba kusambaziwa gesi? Kama maji tu ambacho ni kitu cha msingi kimetushinda leo gesi? Duuh! Kweli tunatofautiana kuwaza,huna tofaut na jamaa yako m23 anauliza eti gesi ikifika Dar nani atafaidika,eti na hilo hajui?
Wewe ndio kiazi kabisa utakaa na mawazo hayo ya kimasikini mpaka utakufa, Umeme mbona umesambazwa majumbani?
Wazungu wa BG International washaondoshwa huku....mkuu upo wapi??
Hiyo nyumba ipo mtaa gani
𝙷𝚎𝚑𝚎𝚑𝚎 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚗𝚌𝚑𝚒 𝚕𝚎𝚘 𝚠𝚊𝚖𝚎𝚜𝚊𝚑𝚊𝚞 𝚔𝚠𝚊𝚔𝚠𝚎𝚕𝚒..!! 𝚆𝚊𝚗𝚊𝚜𝚎𝚖𝚊 𝙹𝙺 𝚊𝚛𝚞𝚍𝚒 𝚝𝚎𝚗𝚊 𝚊𝚞𝚣𝚎 𝙶𝚊𝚜 𝚢𝚎𝚝𝚞 𝚟𝚒𝚣𝚞𝚛Ndani ya dk 10 kumesika milio miwili mikubwa ya bomu/mizinga na fyatuko za risasi. Hadi bati/paa zinashake. Sijajua ni nini kimetokea tena huko mujini. If anythng i will come with more update.
UPDATE:
Nimeongea na ndugu yangu mmoja mwanajeshi kaniambia hao ni polisi walikuwa wanawatawanyisha makundi ya watu usiku ule, nikamuuliza mbona yalikuwa na mshindo mkubwa akasema ni aina nyingine ya mabomu na kiukweli hayakuwa kutoka jeshini, kasema hawana haja ya kufanya hicho kitu hao wanajeshi.
Ila kuna meseji ziinasambaa zinasema kuna Lori 4 za Jeshi zilifika jana toka Daslam, zikafyatua mabomu 4 pale lindi halafu zikaja mtwara, sasa labda ni hao kuonyesha ujio wao wakafyatua hayo mabomu.
𝙼𝚣𝚎𝚎Hata mimi ndugu yangu anapiga simu sasa hivi anasema tuwaombee hawajui usalama wao,kila mtu nyumba yake imetikisika anasema marafiki zake wote wanasema kishondo cha mabomu haya si cha kawaida , nasikia wananchi wameapa kurudisha kisasi kwa kifo cha mwanamama mja mzito ambaye mumewe yupo ndani