Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

Anayeamini ushirikina either yeye mwenyewe ni muumini au amewai kumbwa na masaibu sambamba na ushrikina
 
Gari yake imechomwa moto na kapata kipigo kitakatifu ikabidi polisi waombe Gari za kampuni inayoendesha visima kumkimbiza town....SErikali inatakiwa itumie busara ya hali ya juu sana kutatua mgogoro huuu kwani haijawahi tokea mikoa miwili kuwa kitu kimoja against serikali...Jeshi la polisi linatakiwa lijue kwamba nguvu haina nafasi katika kutatua mzozo huu. Inasemakana huyu usalama ana asili ya msimbati na alikuja toka saa 9 alasili usiku akaenda kwa "bibi" ambaye ni infuential figure hapa msimbati ndipo balaa likamkumba....real time from simbati
 
Siku hizi humu kuna watu wa ajabu sana,wanasoma humu habari halafu wanaipost kwa maneno tofauti
 
Amini usiamini Mtwara ndio mwanzo wa njia ya Ukombozi wa wezi wa rasilimali zetu. Mtwara stand UPPPP!!!
 
Nashangaa wakurya, wana apolo wa Ar na Wasukuma kimya. Tushikamane iwe tunisia mpya.
 
Duuh mkuu we noma, hata chembe ya uoga huna, angalia mabwepande ule msitu umeacha kwa maana!

Hakuna dhambi kubwa kama woga.

Serikali inautumia woga wetu kama njia ya kutunyanyasa na kutunyang'anya haki zetu za msingi na rasilimali zetu,
Tunapaswa kuwa wajasiri na kuondoa woga kwa pamoja kushirikiana kupigania haki za watoto wetu.

Masikini Hafilisiki

Sisi masikini hatuna cha kupoteza zaidi ya uhai wetu ambao tupo tayari kuupoteza kwa ajili ya kutetea haki zetu na watoto wetu.
Wao matajiri lazima wawe na woga wa kupoteza mali zao, hivyo ninauhakika ktk vita hii tutawashinda.
 
hizi ni tetesi ambazo zimeenea hapa Mtwara kuwa mtu aliyejitambulisha toka magogoni ametumwa kwenda kumuchukua bibi wa msimbati(sakata la gesi). lakini kabla ya hapo bibi alioteshwa na kuwaambia watu kuwa watakuja watu kumdhuru hivyo wasitoke pale nyumbani. inasemekana gari lake li meharibiwa vibaya baada ya yeye kukimbia.
ukitaka ukweli zaidi fuatilia mwenyewe

Ramadhan.................... at work!
 
hizi ni tetesi ambazo zimeenea hapa Mtwara kuwa mtu aliyejitambulisha toka magogoni ametumwa kwenda kumuchukua bibi wa msimbati(sakata la gesi). lakini kabla ya hapo bibi alioteshwa na kuwaambia watu kuwa watakuja watu kumdhuru hivyo wasitoke pale nyumbani. inasemekana gari lake li meharibiwa vibaya baada ya yeye kukimbia.
ukitaka ukweli zaidi fuatilia mwenyewe
siku hizi kila mtu usalama wa taifa.taasisis hii imepoteza mwelekeo
 
Ni habari za uhakika kabisa kwamba kuna wanausalama kutoka dar na mwenyeji wa mtwara 1 walienda msimbati ili kutaka kumuua bibi kwani wametumwa na uongozi wa juu wakiamini kuua bibi ndio gesi itatoka mtwara ,hapa ndipo tunapoona uwozo na dhuluma za viongozi wetu,
na gari lao limechomwa moto ndani likiwa na silaha mbalimbali na mmoja wao amechinjwa hapo hapo.
"gas haitoki mtwara ng'oooo"

We nawe mnafiki tu!!amechinjwa hapohapo??duh huu uongo mwingine!!?
 
mkuu chasoda, hata kama hili tukio ni la kweli, i doubt kama huyo mtu ni wa usalama kweli, kwa sababu "modus oparandi" ya usalama sio hiyo!. Ofisa hawezi kutoka dar straight kwa kibibi hicho!, wana usalama huwa kwanza wana "exhaust local remedies" kwa kuwatumia locals na kama hakuna, huwa wana "recruit" ndipo wamuingie huyo bibi.

Nimesema hivi kupitia uzoefu wangu enzi nikiwa "mjeda" pale "airwing chini ya io".
Pasco.

hao wa enzi zako wote wamesitaafishwa au wamekufa kwa ukimwi. Siku hizi kuna tiss wa voda fasta
 
Bibi nimemkubali. Nasio swala la ushirikina hapa, kwani bibi ameona ahadi zote alizowai kuzisikia miaka yote ni hewa kwake leo hii mnakuja kutoa ahadi za kufikilika.
 
Back
Top Bottom