.Taarifa nipatazo kutoka Msimbati, Mtwara sio nzuri sana. Kuna gari imechomwa moto na vurugu kidogo usiku wa kuamkia leo. Sijajua chanzo hasa ni nini, lakini vurugu za aina yeyote ile hazifai. Kutoelewana kati ya Serikali na Wananchi kumalizwe kwa mazungumzo badala ya ubabe na fujo. Nimeambiwa polisi wamemwagwa kijijini Msimbati, wazee kadhaa wa kimila wamepigwa sana. Haya tuyakatae, sio Utanzania
Nyumba inavuja!
Wadau, kuna habari hii aloiweka Mh. ZZ Kabwe, Facebook. Namnukuu .
Naomba kama kuna mtu mwenye upana zaidi wa yaliyotokea huko atujulishe zaidi. Hili jambo sasa linatishia usalama wa Mtwara, na hatimaye usalama wa nchi.[/FONT][/COLOR]
labda ina uhusiano na hii
https://www.jamiiforums.com/habari-...-la-afisa-usalama-lapondwa-mawe-msimbati.html
Lazima awe na undugu na Kibibi Gula wa "Usiku wa Manane" akilindwa na kina mzee Ole.