Mtwara: Gari la 'Afisa Usalama' lapondwa mawe Msimbati

tatizo la majengo ya magogoni kukaliwa na kigagula..... ndio maana kila kitu anaamini uchawi
 
Habari za uhakika nilizozipata sasa iv toka msimbati zinasema kuwa kuna gari ya afisa usalama wa taifa mmoja toka dar linapondwa kwa mawe na wananchi wenye hasira. Afisa usalama huyo inadaiwa ametumwa na viongozi wa juu wa serkali ili aje amshawishi bibi mmoja anaedaiwa kuwa na uwezo wa kuizuia gesi istoke kwenda dar kwa njia ya bomba.bb huyo inasemekana ndio mwenye kijiji hicho alishasema wazi kuwa gesi HATOKI mtwara kauli iliyowafanya hata viongozi kupata wasiwasi ivo kumtuma mtu huyo ili amshawishi gas itoke .wakati akiongea na bb huyo aliwaita wajukuu zake ili wamsikilize.NDIPO Vurugu kubwa ikaibuka na mwanausalama akatimua mbio na kuliacha gari yake maana watu walikuwa wengi. Na habari zilizonifikia sasa ni kwamba gari hiyo imechomwa moto.
Mkuu Chasoda, hata kama hili tukio ni la kweli, I doubt kama huyo mtu ni wa usalama kweli, kwa sababu "modus oparandi" ya usalama sio hiyo!. Ofisa hawezi kutoka Dar straight kwa kibibi hicho!, Wana usalama huwa kwanza wana "exhaust local remedies" kwa kuwatumia locals na kama hakuna, huwa wana "recruit" ndipo wamuingie huyo bibi.

Nimesema hivi kupitia uzoefu wangu enzi nikiwa "mjeda" pale "Airwing chini ya IO".
Pasco.
 
Hata Dr. Ulimboka walijifanya wanataka kukaa meza moja ili wazungumze, kumbe ni wauaji. Kukaa meza moja wauaji? Watanzania hatujasahau alichofanyiwa Ulimboka.
 
Yale yale ya Askofu Zachary Katotois na TANESCO! hivi ule umeme uligoma kuwaka au?
Hahaa, serikali haina Udini ila watu wake wana udini..
serikali ina ushirikina ila watu wake hawana ushirikina...

Nchi hii kuna watu wanaamini kiasi hiki ushirikina?
 
Hizo ni salamu za Wanamtwara kwa Dr Dhaifu, kwamba hata yeye asijione yupo salama, asishangae siku anakuja mtwara msafara wake unapigwa mawe.

Kinachotakiwa hapa ni kutekeleza madai yetu ya msingi kama tulivyoyaeleza, kinyume na hapo ajiandae kuliingiza taifa ktk machafuko makubwa kama Syria.

Hakya Mungu kwa hili hatutanii tuko tayari kwa mapamnbano kuliko mnavyozani.
 
Polisi asubuhi ya jana walizuia Mdahalo wa MTWANGONET, na sasa wanawapiga watu mabomu. Huu sasa ni uonevu na tunahitajika kuwa macho na matendo haya.
 
wewe acha kuwa hivo kwani huku hakuna wana usalama kuna mtu alikuwa mwenyeji wa eneo hiloambae nae ni usalama wa taifa amekimbia na mmoja wao amechinjwa,kwani usicho amini nini wewe
 
hihihiii eti malaya aloona bia, ase una hatari blaza, anyways pamoja sana wana mtwara big up sana kwa huo msimamo thabiti mloonyesha ni funzo kwa wengi, umoja ninguvu kubwa sana, mi mwenyewe sitaki huu ufedhuli utokee afu huyo bibi alowachimba mkwara serikali ni wa kumtunza kwelikweli, hazina hiyo mazee, hakuna gas kutoka hapo hadi kieleweke.
 
walikuja na ndege majira ya saa tatu usiku taarifa tunazo sasa naona wanataka kuuwasha moto sasa hama zao hama zetu nasi tunajipanga,hizo ni salamu tu na huyo mwenyeji tunamjua na tunamtafuta kila kona,ujinga wa serikali ndo huu sasa tutagawana nchi kwa style hii
 
Mkuu Chasoda, hata kama hili tukio ni la kweli, I doubt kama huyo mtu ni wa usalama kweli, kwa sababu "modus oparandi" ya usalama sio hiyo!. Ofisa hawezi kutoka Dar straight kwa kibibi hicho!, Wana usalama huwa kwanza wana "exhaust local remedies" kwa kuwatumia locals na kama hakuna, huwa wana "recruit" ndipo wamuingie huyo bibi.

Nimesema hivi kupitia uzoefu wangu enzi nikiwa "mjeda" pale "Airwing chini ya IO".
Pasco.
muulize daktari wa meno ramadhani ing'ondu kama alitumia local remedies kumteka uli
 
Hizo ni salamu za Wanamtwara kwa Dr Dhaifu, kwamba hata yeye asijione yupo salama, asishangae siku anakuja mtwara msafara wake unapigwa mawe.

Kinachotakiwa hapa ni kutekeleza madai yetu ya msingi kama tulivyoyaeleza, kinyume na hapo ajiandae kuliingiza taifa ktk machafuko makubwa kama Syria.

Hakya Mungu kwa hili hatutanii tuko tayari kwa mapamnbano kuliko mnavyozani.

Duuh mkuu we noma, hata chembe ya uoga huna, angalia mabwepande ule msitu umeacha kwa maana!
 
waliotaka kumteka bibi msimbati majira ya usiku wa leo,kijijini msimbati wamekutana na wasichosahau maishani mwao inasemeka walitumwa na viongozi huko juu wa usalama basi mmoja wao amechinjwa na gali lao limechomwa moto,
habari zinaendelea askari waamia kijijini hapo,
GESI YA MTWARA JAMANI SERIKALI MUNATAKA NINI?
 
Mbona habari nusunusu ndugu ? Huyo bibi amefanya nini hadi afuatwe na kikosi hicho?

BTW: nimefika Msimbati, the beach in east africa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom