miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
majambazi ni hao hao mapolisi ... silaha zipo mtaani ovyo ovyo ni hatari sana
majambazi ni hao hao mapolisi ... silaha zipo mtaani ovyo ovyo ni hatari sana
Ni nyingi kwao hizo. Tukisema bongo si salama tena hamtaki,Tsh 18Mil ndio ipelekee kumuua mtu,kweli hali ya maisha ngumu,Au labda walipewa wrong information kwamba zilikua mil 180?
R.I.P Mr Adson Cheyo.
Ma polisi wenyewe ndo wezi na wanawafahamu wahalifu hadi na magenge yao na kabla ya tukio huwa wanajua kabisa matapeli na wahalifu polisi wanawajua hata raia wakiwashtaki wanatoa rushwa wanatoka ndo mana wananchi hawaliamini jeshi la polisi unaweza ku report tukio polisi akamtonya mhalifu kama hawa polisi wa tigo wameacha kazi yao wanajifanya traffic wa daladala ukigoma wanakuandikia kosa wanasema hata ukiwashtaki wanasema hawaogopi kitu sasa kwa tamaa na rushwa wataacha kushirikiana na wahalifu
Nilichek news Jana kova anasema wamefanikiwa kudhibit wizi was magari na kunasa mtanda was majambazi Dar es Salaam na hili nalo sijui hakuliona?
Wale polisi wanao zunguka pale mlimani city kila Leo wana kazi gani? Ni wazi huyu jamaa walumfatilia toka alipotoka!
So sad...

Wakuu taratibu tupo msibani.... ingawa bado ni tetesi
RIP...
mkuu huyo jamaa ni mwenyeji wa mkoa gani.