Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
mwema Ni Mungu Tu,Yesu walipomwita mwalimu mwema aliwaambia mwema Ni Mungu Tu
Hivyo Yesu alikataa kuitwa mwema !?
mwema Ni Mungu Tu,Yesu walipomwita mwalimu mwema aliwaambia mwema Ni Mungu Tu
usijali mkuu hao waliomfanyia kitendo hicho cha kumuuwa adson watalanika kumbuka malipo duniani tu hizo hela walizoiba hawatozifanyia chochote cha maana kwanza na pia kama police nao wamehusika na wao watalaaniwa tu
Hivyo Yesu alikataa kuitwa mwema !?
... Nchi za watu uchunguziungeanzia kwa mkewe na wote anaoishi nao nyumbani na ungeendelea huko kwenye ofisi yake alikoenda kuchukua hela kuzipeleka benki. Majambazi sio wanatabiri wanaoibuka tu saa 3 asbhi na kutabiri kuwa una mil 18 unazipeleka bank, wakakufanyizia! Zaidi ya marehemu, lazima kuna mtu mwingine wa ziada ambaye toka jana yake alikuwa akifahamu kuwa kuna mil 18 inapelekwa benki kesho. Tuanzie hapo....!
ADSON CHEYO.1970-2014
Ni jirani yetu Mbezi Beach Jogoo. Inasemekana alikuwa na sh milion 18 akitaka peleka benki toka kwenye biashara yake pale Sowers Africa Ltd. Kauawa mbele ya mkewe.mzee alikuwa mtu wa watu ,mtu wa kujitolea sana bila kujali kama ni ndugu au la.