Nyerere alipambana na kuwaacha Maadui watatu kaongezeka huyu wa nne ujambazi. Kinachonisikitisha ni kuwa huyu ni zao la umasikini. Hii nchi inaelekea wapi bandugu?Kufikia mwaka 2020 Tanzania tutabaki na watu wema watano hadi kumi na masikini million 10 watakao baki ni majambazi wenye kutumia nguvu !! Poleni wafiwa,Mungu amlaze pema Mr. Polisi Mlale usingizi mnono bila kuamka.!
Hii habari ya kupigwa mtu risasi Mlimani city na majambazi ni kweli au uzushi?
Yaan huyo baba aliepigwa ni ndugu yangu hapa niko msibani.
hapo mlimani city ulinzi upo kuanzia getini,nje ya jengo kunapo paki magari vipo vibanda walinzi hukaa juu na bunduki zao,ndani ya jengo ndo usiseme!! Halafu jambazi anaingia na silaha hawagundui,anapiga risasi askari wapo juu na midori yao,jambazi anawasha pikipiki anatokea getini askari wapo bize kudai rushwa kwenye waendesha boda boda na tax!! Mwanzoni ulikuwa ukifika mlimani city unasachiwa kuepukana na vitisho vya magaidi,sasa sk hz hakuna,sijui yaliwahakikishia kuwa hayatakuja kulipua tanzania kama yalivyofanya kenya? Huenda askari wakawa wadau katika tukio hilo.wamewezaje kutoka ili hali kuna vibanda vya kukaa askari juu sehemu yanakopakia magari?
ADSON CHEYO.1970-2014
NI JIRANI YETU MBEZI BEACH JOGOO. INASEMEKANA ALIKUWA NA SH MILION 18 AKITAKA PELEKA BENKI TOKA KWENYE BIASHARA YAKE PALE SOWERS AFRICA LTD.KAUAWA MBELE YA MKEWE.MZEE ALIKUWA MTU WA WATU ,MTU WA KUJITOLEA SANA BILA KUJALI KAMA NI NDUGU AU LA.WENGI WATAMKUMBUKA MJINI HAPA.PWC,Kazi servce,ILO,efathe ministry ,alikuwa na wengi wanamjua huko.
![]()
ADSON CHEYO.1970-2014
NI JIRANI YETU MBEZI BEACH JOGOO. INASEMEKANA ALIKUWA NA SH MILION 18 AKITAKA PELEKA BENKI TOKA KWENYE BIASHARA YAKE PALE SOWERS AFRICA LTD.KAUAWA MBELE YA MKEWE.MZEE ALIKUWA MTU WA WATU ,MTU WA KUJITOLEA SANA BILA KUJALI KAMA NI NDUGU AU LA.WENGI WATAMKUMBUKA MJINI HAPA.PWC,Kazi servce,ILO,efathe ministry ,alikuwa na wengi wanamjua huko.
![]()
Napata baridi manake juzi zilienea story huko huko whatsap kuwa watu wawe waangalifu na millenium towers,kuna kijiwe cha majambazi hawa wa boda boda hivyo sio safe kufanya transactions za hela ndefu.pia imetajwa kibo complex na mlimani city.natumaini wanausalama mtafuatilia habari hizi na kama kuna ukweli wowote mzifanyie kazi,hasa hii ya millenium towers.
Hili li nchi JK kaliharibu sana..
Tsh 18Mil ndio ipelekee kumuua mtu,kweli hali ya maisha ngumu,Au labda walipewa wrong information kwamba zilikua mil 180?
R.I.P Mr Adson Cheyo.
dah kama ni kweli police wanatakiwa watoe maelezo ya kina zile land cruiser ni za kazi gani kama zimewashinda wanipe nikazikate niziingize kwenye utalii mi sielewi hapo mlimani city ni mjini sana
Nyerere alipambana na kuwaacha Maadui watatu kaongezeka huyu wa nne ujambazi. Kinachonisikitisha ni kuwa huyu ni zao la umasikini. Hii nchi inaelekea wapi bandugu?
TISS wako bussy na UKAWA ova.
Jamani msimlaumu ajali ikifikia haina kinga RIP yaani bongo ni hatari kwanini serikali isipige marufuku hizi boxer
Hili li nchi JK kaliharibu sana..
Haiwezi kuwasaidia chochote,so long pesa kama hiyo hata ukiipata haikutoi kwenye umaskini,bado ni pesa ndogo tu.My dear dont be suprised..watu wanapigwa risasi kwa 3ml tuu..hujasikia.?? Tena mpk kwenye daladala ukipanda nazo wanakufata..wengi pia wakiwa wamepakia bodaboda na vibegi mgongoni..ukiuliza aliporwa bei gani 3m, 5m...etc..juzi kuna mtu kapigwa risasi ya mguu kwa lk 150..tena ni dereva wa bodaboda ndo kaporwa hiyo pesa...watu wamekua wanyama senti yako ndogo tuu wanaitaka ..inatisha
Haiwezi kuwasaidia chochote,so long pesa kama hiyo hata ukiipata haikutoi kwenye umaskini,bado ni pesa ndogo tu.