Mtu kapigwa risasi Mlimani City Dar es salaam

Mtu kapigwa risasi Mlimani City Dar es salaam

Mh hii nchi sio salama kivile ndio maana mi huwa natafakari siku nikizikamata nihame hii nchi maana watu wana uchu na pesa ni balaa.
 
Taarifa nilizonazo ni kwamba huyo bwana anaitwa Cheyo na ni kweli kafariki dunia...
 
Kuna mtandao wa ujambazi ambao Polisi umeshawashinda ....Wananchi tambueni hivyo kuwa Polisi sasa wanafanya siasa .....usalama wetu upo shakani ......
 
Sikuizi izi taarifa zisizo rasmi naogopa kuna uzushi mwingi sana. Usio na ukweli ushazushwa. Ngoja tusubiri uthibitisho tokea vyombo vya usalama
 
source yako ni wapi?

ADSON CHEYO.1970-2014

Ni jirani yetu Mbezi Beach Jogoo. Inasemekana alikuwa na sh milion 18 akitaka peleka benki toka kwenye biashara yake pale Sowers Africa Ltd. Kauawa mbele ya mkewe.mzee alikuwa mtu wa watu ,mtu wa kujitolea sana bila kujali kama ni ndugu au la.
WENGI WATAMKUMBUKA MJINI HAPA.PWC,Kazi servce,ILO,efathe ministry ,alikuwa na wengi wanamjua huko.

167274_127460107324825_4395161_n.jpg
 
Zero sum,,kapoteza pesa na uhai. Waendelee kushika pesa nyingi mkononi hivyo hivyo!
 
Kufikia mwaka 2020 Tanzania tutabaki na watu wema watano hadi kumi na masikini million 10 watakao baki ni majambazi wenye kutumia nguvu !! Poleni wafiwa,Mungu amlaze pema Mr. Polisi Mlale usingizi mnono bila kuamka.!
 
Tatizo sio majambazi, serikali imebadilika kuwa jambazi na kuwadhulumu raia wake kwa wizi wa wazi wazi, unategemea nini kutoka kwa hawa wezi wa kuku. Hakuna amani, wananchi wanalipa kodi ili kuona serikali inakuwa na jeshi madhubuti la polisi matokeo yake viongozi wa juu kabisa serikalini wanatumia pesa hizo kwa shopping nchi za nje na kuwaacha walipa kodi solemba. Aibu kuwa na rais dhoofu.

Kwanza kama habari hii ni ya kweli basi nchi haina polisi na hata kama wapo hawawezi kufanya chochote.

Pili, kama habari hii ni sahihi basi natoa pole kwa wafiwa kutokana na kifo cha baba, kaka, mjomba binamu na wengine.

Pia nafikiri huyu Cheyo ni yule jamaa aliewahi kusoma mlimani kwenye miaka ya tisini.

Mimi naunga mkono kauli yako lakini kwa upande wa pili wa shilingi naona kuna sababu ingine.

Nchi yetu kwa sasa ina matatizo makubwa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Naona hili la kijamii ni kubwa mno kuliko inavyofikiriwa kwani vijana wengi sasa ni wa kukaa vijiweni na kupanga mipango ya kufanya ujambazi.

Pia hata hao vijana waloajiriwa hasa kwenye mabenki na kwenye biashara mbalimbali kwa kuwa hawalipwi vizuri basi hushirikiana na majambazi kumaliza maisha ya raia wenzao ambao kufikia hapo walipo wamesota sana.

Kwa ujumla nchi imeharibika na hakuna usalama kwa raia na mali zao, yaani kama haumo kwenye mfumo wao basi wewe unahesabu siku za kuishi duniani.

Lakini ni serikali ya CCM ndio yenye kubeba lawama kwa kushindwa kubuni mikakati na sera nzuri za kusaidia vijana wanaomaliza masomo na wale wanaotafuta kazi, hakuna viwanda, ukifanya biashara TRA wapo shingoni wanakupumulia, mishahara haina maana hasa kwa polisi ambao hushinda kufanya doria inavyotakiwa na kero zingine lukuki.
 
Ni aibu Sana jiji la Dar kukosa CCTV camera. Kama zingekuwepo saizi Kova na watu wake wangekuwa wameishaona sura za waliomuua huyo jamaa na kazi ingebaki kuwatafuta tu. Pia nchi haina vitambulisho ya taifa, haina biometric data za watu wake ambayo pia ingesaidia watu wa Forensic kuwajua wauaji kwa kutrace vitu kama finger prints, hairs nk...

Tunaongozwa na jamaa limetokea Msoga, kule wanacheza ngoma za kienyeji na kunywa ile pombe ya mnazi, halina mawazo ya kuweka vifaa vya kiteknolojia ya kisasa kumaliza kadhia kama hizi. Watu kwa mamia wameuwawa, wamemwagiwa tindikali, wameporwa Mali lakini polisi hawajui waanzie wapi wanaishia kufanya kazi kama waganga wanaopiga ramli. Hakuna hata kuwawajibisha polisi kwa mrundikano wa UNSOLVED MURDER CASES. Wakishaenda kuchungulia eneo la tukio na kupiga picha wanaondoka zao, hakuna msukumo wa kuwanasa wauaji, labda kuwe na presha za kisiasa au kidini Kova anakamata watu feki na kusingizia ndio wauaji baada ya kuwatesa kule SITAKISHARI na kila mtanganyika anaridhika. Ndio maana tunawaambia kila siku ikataeni hii CCM, tuweke hata jiwe lituongoze tuanze upya. Nairobi Kuna CCTV, sisi tunashindwa nini?
 
Hili ni tatizo sana.

Lakini tusimlaumu mkulu kwa hili kwani hili ni jukumu la waziri ambae anashughulikia usalama wa raia na wizara ya mambo ya ndani.

Kwa uzoefu wangu suala la CCTV, biometric fingerprinting na mambo yote yanayohusu forensics katika nchi zilizoendelea yanafanywa kuwa kuwashirikisha wananchi ambao wamesomea mambo hayo na wanaendesha taasisi zinazoshughulikia mambo hayo kwa ushirikiano na polisi na wizara husika ya mambo ya ndani.

Lakini kwa nchi kama Kenya au Rwanda wao wameweza kwa sababu kuna uadilifu kwenye kazi hizi ambazo zinahusu kubeba na kushughulikia data za raia na kwa Tanzania kuna hatari ya UFISADI kuingizwa kwenye eneo hilo na ndio maana haiwezekani kuwa na ushirikiano huo ambao utaitwa kwa kiingereza "Ad- hoak" au improvised events, yaani ni ushirikiano usodumu kwa muda mrefu.

Nchi zilizoendelea zenyewe zimejipangia utaratibu ambao ni dedicated kabisa na ikitokea incident sehemu basi kila mtu anafahamu jukumu lake la ku-attend ile incident kuanzia polisi, CID, ambulance na watu wa forensics.
 
Hivi askari wa Sungusungu wamepotelea wapi siku hizi maana hawa ndio wanafahamu kila kitu kinachoendelea mitaani.
 
Hili ni tatizo sana.

Lakini tusimlaumu mkulu kwa hili kwani hili ni jukumu la waziri ambae anashughulikia usalama wa raia na wizara ya mambo ya ndani.

Kwa uzoefu wangu suala la CCTV, biometric fingerprinting na mambo yote yanayohusu forensics katika nchi zilizoendelea yanafanywa kuwa kuwashirikisha wananchi ambao wamesomea mambo hayo na wanaendesha taasisi zinazoshughulikia mambo hayo kwa ushirikiano na polisi na wizara husika ya mambo ya ndani.

Lakini kwa nchi kama Kenya au Rwanda wao wameweza kwa sababu kuna uadilifu kwenye kazi hizi ambazo zinahusu kubeba na kushughulikia data za raia na kwa Tanzania kuna hatari ya UFISADI kuingizwa kwenye eneo hilo na ndio maana haiwezekani kuwa na ushirikiano huo ambao utaitwa kwa kiingereza "Ad- hoak" au improvised events, yaani ni ushirikiano usodumu kwa muda mrefu.

Nchi zilizoendelea zenyewe zimejipangia utaratibu ambao ni dedicated kabisa na ikitokea incident sehemu basi kila mtu anafahamu jukumu lake la ku-attend ile incident kuanzia polisi, CID, ambulance na watu wa forensics.

Mkuu elewa kwamba CCTV sio kitu ya gharama, haitofautiani Sana na gharama za taa za barabarani. Lakini kwa vile tunaongozwa na vipofu hawazungumzii kabisa na hata kuweka kwenye mipango yao. Ni aibu kwa jiji la Dar kukosa CCTV camera, hizo pikipiki boxer zote zingemulikwa. Pili umiliki wa Leseni za udereva hapa kwetu ni wa hovyo, nchi za wenzetu kuwa na leseni ni kazi ya ziada na inakuwa linked na makazi ya mmiliki wa leseni na hata gari unayoendesha. Ukifanya kosa unaletewa faini kwenye address yako. Pia leseni za madereva wa Boxer zingesaidia kuwapata hawa jamaa. Suala la usalama wa raia kwa teknolojia ya kisasa liko integrated Sana, lakini starting point ni vitambulisho vya taifa na biometric database ambayo CCM Wanapiga danadana isiwepo kwa vile ufisadi wanaofanya wa kumilikisha Mali kwa watu hewa ungejulikana tu kwa vile fingerprints hazidanganyi
 
Ni kweli CCTV na taa za barabarani si gharama, lakini je serikali metoa kipaumbele hicho?

Ndio maana kwa wenzetu kuna makampuni na taasisi binafsi ambazo zinashirikana kwenye maeneo kama kutengeneza software na hardware na baadae unakuwa na system inayokuwa ikiangaliwa na watu masaa 24

Sasa kuanzia eneo la Magomeni, Manzese, Ubungo hadi kimara na kupita ha[po, ikifika saa 12 jioni hakuna taa za barabarani zinazosaidia kuona uzuri.

Mimi huku ughaibuni pamoja na mambo mengine najishughulisha na mambo haya yote tunayoyazungumzia, lakini kwa Tanzania kunahitajika mazingira mazuri ili kazi hizi ziweze kufanyika kwa ufanisi mzuri.

Lakini kwa kuanzia ni kwamba kila ofisi, benki, maduka makubwa na maeneo yenye biashara kama la Mlimani City yanahitaji uwekezaji katika CCTV na taa za barabarani.
 
Katiba ni sheria mama. sisi au ccm inaandaa katiba feki. Hilo ni moja Vitambulisho vya taifa ni feki kwani havina taarifa muhimu. Hilo ni pili. Asilimia 99 ya watanzania finger print zao au sura zao haziko kwenye data base yoyote ile duniani. kwa hili tutamkamataje mhalifu hata kama kagusa mahali au cctv ilipiga picha ? CCTV sio solution. first things first. HII KATIBA YA CC TUIPINGE KWA UDI NA UVUMBA BECAUSE WE ARE PLANNING TP FAIL SO THAT UFISADI CAN PREVAIL. CCM IS REALLY SHORT SIGHTED. BY EATING THE PROVIDING HAND
 
Back
Top Bottom