Mtu kapigwa risasi Mlimani City Dar es salaam

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,135
116,028
Hii habari ya kupigwa mtu risasi Mlimani city na majambazi ni kweli au uzushi?

Breaking News as received.
Risasi zarindima Mlimani City mmiliki wa burger outlet auwawa !
Kapigwa mbaba mwenye hii sowers sehemu ya baga
Nasikia ameuwawa!, Alikuwa kashika bahasha ambayo inaaminika ilikuwa na hela, jamaa wamempiga risasi wakaipitia ile bahasha. Walikuwa na boda boda kama kawaida.

Nilikuwa kwenye daladala natokea maeneo ya chuo ile nafika karibu na kituo cha apo mlimani city kwa upande wa ushoto (opposite na mlimani city) kuna iyo restaurant cjui baa iyo, ndo nikaskia PAA!! ile kutazama dirishani nikamuona mtu KALALA CHINI damu zinatiririka ndo anahangaika yaani ROHO INAMALIZIA KUTOKA...ndo nkaskia watu wanasema ni MAJAMBAZI WAMEFANYA YAO.

------------------

ADSON CHEYO.1970-2014

Ni jirani yetu Mbezi Beach Jogoo. Inasemekana alikuwa na sh milion 18 akitaka peleka benki toka kwenye biashara yake pale Sowers Africa Ltd. Kauawa mbele ya mkewe.mzee alikuwa mtu wa watu ,mtu wa kujitolea sana bila kujali kama ni ndugu au la.
WENGI WATAMKUMBUKA MJINI HAPA.PWC,Kazi servce,ILO,efathe ministry ,alikuwa na wengi wanamjua huko.

167274_127460107324825_4395161_n.jpg
 
Braking News as received. Risasi zarindima Mlimani City mminiliki wa burger outlet auwawa !
Kapigwa mbaba mwenye hii sowers sehemu ya baga
Nasikia ameuwawa!
 
dah kama ni kweli police wanatakiwa watoe maelezo ya kina zile land cruiser ni za kazi gani kama zimewashinda wanipe nikazikate niziingize kwenye utalii mi sielewi hapo mlimani city ni mjini sana
 
Hili tukio nasikia lilitokea mchana/jion! Dada mmoja mshkaji wangu anauza hapo nakumati wakati nalipia vitu kwa cashier ndo akanipa hii habari.
Huyo aliyepigwa risas ni huyo mwenye hiyo restaurant njia ya kwenda chuo opposite na mlimani city.ukiwa unapanda chuo hiyo restaurant ipo mkono wako wa kulia
 
dah kama ni kweli police wanatakiwa watoe maelezo ya kina zile land cruiser ni za kazi gani kama zimewashinda wanipe nikazikate niziingize kwenye utalii mi sielewi hapo mlimani city ni mjini sana

Kama hao jamaa walikuwa na Boxer basi tena sio rahisi kuwapata hizo cruser haziwexz kupenya
 
Mpunga. Alikuwa kashika bahasha ambayo inaaminika ilikuwa na hela, jamaa wamempiga risasi wakaipitia ile bahasha. Walikuwa na boda boda kama kawaida.

Huu mtindo wa kushika bahasha za hela waziwazi wakihisi hawahulikani ndio unao waponza wabongo wengi,hata pale posta huwa nawaonaga wengi sana na vibahasha vyao nabaki kunichekea tu...

Mtu hivyo alikuwa anakiita kifo haina hja ya kumuonea huruma...

Kova alishachanganyikiwaga na hizo Boxer hataki hata kuzisikia
 
Napata baridi manake juzi zilienea story huko huko whatsap kuwa watu wawe waangalifu na millenium towers,kuna kijiwe cha majambazi hawa wa boda boda hivyo sio safe kufanya transactions za hela ndefu.pia imetajwa kibo complex na mlimani city.natumaini wanausalama mtafuatilia habari hizi na kama kuna ukweli wowote mzifanyie kazi,hasa hii ya millenium towers.
 
Nilikuwa kwenye daladala natokea maeneo ya chuo ile nafika karibu na kituo cha apo mlimani city kwa upande wa ushoto (opposite na mlimani city) kuna iyo restaurant cjui baa iyo, ndo nikaskia PAA!! ile kutazama dirishani nikamuona mtu KALALA CHINI damu zinatiririka ndo anahangaika yaani ROHO INAMALIZIA KUTOKA...ndo nkaskia watu wanasema ni MAJAMBAZI WAMEFANYA YAO.
 
Nilikuwa kwenye daladala natokea maeneo ya chuo ile nafika karibu na kituo cha apo mlimani city kwa upande wa ushoto (opposite na mlimani city) kuna iyo restaurant cjui baa iyo, ndo nikaskia PAA!! ile kutazama dirishani nikamuona mtu KALALA CHINI damu zinatiririka ndo anahangaika yaani ROHO INAMALIZIA KUTOKA...ndo nkaskia watu wanasema ni MAJAMBAZI WAMEFANYA YAO.

Aisee!
 
Tatizo sio majambazi, serikali imebadilika kuwa jambazi na kuwadhulumu raia wake kwa wizi wa wazi wazi, unategemea nini kutoka kwa hawa wezi wa kuku. Hakuna amani, wananchi wanalipa kodi ili kuona serikali inakuwa na jeshi madhubuti la polisi matokeo yake viongozi wa juu kabisa serikalini wanatumia pesa hizo kwa shopping nchi za nje na kuwaacha walipa kodi solemba. Aibu kuwa na rais dhoofu.
 
Back
Top Bottom