Itakusaidia nini? Ni Mtanzania habari imeishia hapo.
Wapo mkuu na wanafanya kazi kweli kweli!Dah hii ni noma kwakweli, polisi sijui wanafanya nini??
Hii habari ya kupigwa mtu risasi Mlimani city na majambazi ni kweli au uzushi?
------------------
Tsh 18Mil ndio ipelekee kumuua mtu,kweli hali ya maisha ngumu,Au labda walipewa wrong information kwamba zilikua mil 180?
R.I.P Mr Adson Cheyo.
Wengi naona hawajui chanzo cha yote haya, jamani bila serikali kuweka mipango mizuri kwa ajili ya kupambana na umaskini pamoja na ukosefu wa ajira mtazidi kuwalaumu polisi bure. Hata ukiweka cctv bado si jibu la mtu mwenye njaa ambaye serikali imeshindwa kumuekea mazingira ya yeye kupenya. Haya ndio matokeo ya mipango mibovu ya serikali na hata wao viongozi bado hawatakaa salama. Nakumbuka Mh Ngoyai Lowassa uwa anasema bila kutafuta fursa kwa ajili ya vijana ni sawa na kutengeneza bomu siku moja litalipuka.
dah kama ni kweli police wanatakiwa watoe maelezo ya kina zile land cruiser ni za kazi gani kama zimewashinda wanipe nikazikate niziingize kwenye utalii mi sielewi hapo mlimani city ni mjini sana
Tsh 18Mil ndio ipelekee kumuua mtu,kweli hali ya maisha ngumu,Au labda walipewa wrong information kwamba zilikua mil 180?
R.I.P Mr Adson Cheyo.
bado tatizo sio boxer,,,trust me
majambazi ni hao hao mapolisi ... silaha zipo mtaani ovyo ovyo ni hatari sana
Mkuu ubebaji wa hela ni kitu cha muhimu sana siyo unabeba hela kma laptop,kwa mjini ni heri uwe n mpesa ambayo unaweza weka hela nyingi.
Mimi naweza beba hiyo 18m kwenye mwili wangu na usijue.ila cku yko ikifika ndio hvyo
mkuu huyo jamaa ni mwenyeji wa mkoa gani.