MABATI YA SUNBAK TANZANIA
JF-Expert Member
- Jan 10, 2025
- 216
- 576
Umepanic brother??Sasa kama umemzidi kila kitu si ufungue tu biashara zako uwe na shughuli zako usiendelee kulamba viatu vyao
Hamna raha kubwa kama kujiajiri
Miaka mingi iliyopita nilikuwa nimeanza kufanya kazi katika moja ya mabenki makubwa ya Wall Street, New York City.Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani .
Utalalamika Sana na nakuona upo katika Panic Mode .
MTU unajua kabisa ametumia zaidi ya nusu ya maisha yake kufanya siasa za kutumia akili na na nimwanadiplomasia wa kimataifa , eti Leo unamleta Tanzania akae na Chawa awe anasifu na kuabudu , hiyo haiwezekani.
Utalalamika Sana safari Ila huo ndo ukweli.
Sasa kwanini ufuatane na mtu uliemzidi kila kitu?Umepanic brother??
FactMiaka mingi ikiyopita nilikuwa nimeanza kufanya kazi katika moja ya mabenki makubwa ya Wall Street, New York City.
Katika kujitambulisha, nikasema kuwa mimi ni mzaliwa wa Tanzania.
Kuna mkurugenzi mmoja alivyosikia hivyo tu, akaniuliza kama namjua mtu mmoja anaitwa Liberata Mulamula. Nilikuwa simjui. Akawa anamsifia sana. Hapo ndipo nilipopata kujua hilo jina.
Baadaye nikajua alikuwa anafanya kazi Wizara ya Mambo ya Nje, akaja kuwa balozi na waziri.
Ila Mulamula Wamarekani walimkubali sana katika kazi zake. Alijua kuishi nao.
Sasa sijui kumetokea nini huko nyumbani, kwanza kuna uthibitisho kiwa jiwe lililorushwa gizani karushiwa yeye?
Maana siku hizi tunakwenda kwa uongozi wa mipasho ni vigumu hata kujua nani kakusudiwa.
Kumbe yule aliyeokotwaga JALALANI SIYO MSOMI!Moja ya watu smart uptairs nchini huwezi kumtoa huyo Dr. Liberata Mulamula. Na uzuri wa wasomi wengi wanaojitambua, siyo watu wa kuburuzwa na vilaza.
Ukiona tu msomi anaburuzwa na wanasiasa wenye elimu ya kuunga unga, basi utambue fika na wenyewe ni walewale wazee wa majalalani.
Code IPO waziFungua code please.
Ukimheshimu wewe inatosha.Mbona kama tone ni mwenyewe kabisa Libe!. Kama ndiye, why analalamika bila kusema alichokuwa anashea na wazungu wake hadi mama akamtumbua. Uzalendo ni muhimu kuliko machuki haya yasiyo na maana. Hata kama humpendi Rais wa nchi, yeye ni alama yetu kwa sasa, anastahili heshima kwa nafasi yake
Doh!Sasa kama umemzidi kila kitu si ufungue tu biashara zako uwe na shughuli zako usiendelee kulamba viatu vyao
Hamna raha kubwa kama kujiajiri
Akasifiwe Katerero Sasa kwani shida Iko wapi? 😁😁Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani .
Utalalamika Sana na nakuona upo katika Panic Mode .
MTU unajua kabisa ametumia zaidi ya nusu ya maisha yake kufanya siasa za kutumia akili na ni-mwanadiplomasia wa kimataifa , eti Leo hii unamleta Tanzania akae na Chawa awe anasifu na kuabudu , hiyo haiwezekani.
Utalalamika Sana safari hii Ila huo ndo ukweli.
Hapo atakua anamuongelea pia KatangaMtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani .
Utalalamika Sana na nakuona upo katika Panic Mode .
MTU unajua kabisa ametumia zaidi ya nusu ya maisha yake kufanya siasa za kutumia akili na ni-mwanadiplomasia wa kimataifa , eti Leo hii unamleta Tanzania akae na Chawa awe anasifu na kuabudu , hiyo haiwezekani.
Utalalamika Sana safari hii Ila huo ndo ukweli.
Huyo walishaanza kumpiga fitna kitambo tu.Miaka mingi iliyopita nilikuwa nimeanza kufanya kazi katika moja ya mabenki makubwa ya Wall Street, New York City.
Katika kujitambulisha, nikasema kuwa mimi ni mzaliwa wa Tanzania.
Kuna mkurugenzi mmoja alivyosikia hivyo tu, akaniuliza kama namjua mtu mmoja anaitwa Liberata Mulamula. Nilikuwa simjui. Akawa anamsifia sana. Hapo ndipo nilipopata kujua hilo jina.
Baadaye nikajua alikuwa anafanya kazi Wizara ya Mambo ya Nje, akaja kuwa balozi na waziri.
Ila Mulamula Wamarekani walimkubali sana katika kazi zake. Alijua kuishi nao.
Sasa sijui kumetokea nini huko nyumbani, kwanza kuna uthibitisho kuwa jiwe lililorushwa gizani karushiwa yeye?
Maana siku hizi tunakwenda kwa uongozi wa mipasho ni vigumu hata kujua nani kakusudiwa.