Mtu aliye intelligent, mwenye exposure na street-oriented anipe ushauri

Mtu aliye intelligent, mwenye exposure na street-oriented anipe ushauri

Sasa mkuu unasema una million 7 ni pesa nyingi na inaitaji mipango mingi kuipata Sasa basi njia ulio tumia kuipata iyo pesa kwa nini usiendelee nayo hiyo hiyo njia kuliko kuanza kubadilisha badilisha mipango utafeli kabisa deli na jambo moja likiwa na mafanikio ndo uanze jingine kwa kuhangaika uko unavyotaka wewe utaangaika mpaka dunia inaisha hakuna majibu. Asante
 
Mkuu kafungue duka la nguo za ndani hasa za wadada utaona hela yake huwezi jutia, tumia milioni tatu tu hapo kwenye iyo 7.5

Au fanya biashara ya msosi wa oda hapo tumia laki mbili tu. Kwenye iyo iyo 7.5

Au kama hauna ulokole fungua duku la pombe kali za bei chee wakina K-Vant, Strong, Diamond, Kitoko etc uza jumla na reja reja hapo tumia milion 4 kwenye iyo 7.5

Mtaani hela ipo kwenye biashara ndogo ndogo zinazofanywa kisasa Mkuu.
 
Biashara inategemea na sehemu ulipo kama INA mzunguko na sio kila sehemu ni ya kufanya biashara sehemu nyingine ni za uzalishaji wa bidhaa za kilimo na ufugaji alafu unasafirisha kuuzia sehemu nyiñgine ama kuwauzia madalali.

Punguza expectations kinyume na uhalisia wa mambo ulivyo

Umesema una ajira je balance ya muda wa kufañya biashara na kweñye ajira inaruhusu kufañya biashara uifañyayo?

Kama unapata laki 5 take home je unadhani ukiacha kazi utafañya biashara ya kukuingizia faida ya laki tano Kwa mwezi?

Kama umeshindwa kufanya biashara na kuoña dira yako ya mbeleni ni mbovu ukiwa na ajira je ukiacha kazi itakuwa bora?
 
Mkuu kabla hujatumia hata senti tano ya hiyo Pesa.

Jiulize Maisha yako yote hapa duniani unataka ufe ukiwa unashughulika na kitu gani.?

Unafanya kazi za watu kama muajiriwa?
Au
Mtu anayejenga mibiashara yake hata ukikaa nyumbani Pesa inaingia?

Maana as Long as unaishi hii dunia, ni MUST uwe na chanzo cha kipato.


Ukisha jiasess hivyo, simamia hilo usimamie "kweri kweri" jambo moja Mpaka vision yako itimie.
Unanishauri niache kazi nijikite kwenye ndoto zangu?
 
Mkuu kafungue duka la nguo za ndani hasa za wadada utaona hela yake huwezi jutia, tumia milioni tatu tu hapo kwenye iyo 7.5

Au fanya biashara ya msosi wa oda hapo tumia laki mbili tu. Kwenye iyo iyo 7.5

Au kama hauna ulokole fungua duku la pombe kali za bei chee wakina K-Vant, Strong, Diamond, Kitoko etc uza jumla na reja reja hapo tumia milion 4 kwenye iyo 7.5

Mtaani hela ipo kwenye biashara ndogo ndogo zinazofanywa kisasa Mkuu.
Pombe kali inaweza kulipa nikiweka mtu au hadi nikomae mwenyewe?
 
Dunia inaendeshwa kwa kanuni.Kama kulivyo na kanuni za physics pia kila kitu kina kanuni zake.Ukifanya jambo nje ya kanuni zilizopo hutafanikiwa kamwe.

Ili binadamu afanikiwe kwa urahisi na bila kutumia nguvu kubwa anapaswa kufanya shughuli yenye sifa moja au zaidi kati ya hizi:

1.Kipaji

2.Passion

3.Enthusiasm

Tafuta shughuli yoyote ambayo inaangukia kati ya nilivyotaja hapo juu kisha utafanikiwa kirahisi sana,bila kutumia nguvu kubwa na kwa ufanisi wa hali ya juu sana.Nimekupa kanuni ya bure,ni wewe tu ushindwe mwenyewe.
Umemshauri vema sana huyu mdau
Kitu chochote ukitaka kufanikiwa lazima kwanza uwe na kipaji + passion , hata huo ufundi umeme anaotaka kujifunza , kama hana passion na hiyo kazi , ni sawa na bure
 
Intelligents nilimaanisha mwenye akili ya maisha sio lazima msomi
Ok
Option yako namba moja ni utumwa , huwezi kuwa masters halafu ukategemee vyeo vya chama vya kujikomba ambao mwisho wake ni fedheha

Veta ni chaguo zuri , ila make sure una passion na huo ufundi umeme , sio kitu rahisi kama hiyo fani haipo kwenye damu
Ulaya sina uhakika na box labda wadau watachangia
Kwa mtaji wa 7.5 mil , sioni sababu ya wewe kuhangaika , tafuta biashara hata za mazao uzungushe pesa kidogo huku ukisoma mchezo unakwendaje , then utajifunza mengine ukiwa huko
 
Namba 1 unachekesha mno mpaka machozi.
#2. Hii kwangu ndio option Bora. Ufundi magari au vyombo vya moto ni fursa. Naiona sekta ya usafirishaji ikizidi kukua kila siku. Jifunze restoration ya vyombo vya zamani NA repaire ya vyombo vya kisasa kama umeme n.k
 
Sasa mkuu unasema una million 7 ni pesa nyingi na inaitaji mipango mingi kuipata Sasa basi njia ulio tumia kuipata iyo pesa kwa nini usiendelee nayo hiyo hiyo njia kuliko kuanza kubadilisha badilisha mipango utafeli kabisa deli na jambo moja likiwa na mafanikio ndo uanze jingine kwa kuhangaika uko unavyotaka wewe utaangaika mpaka dunia inaisha hakuna majibu.asante
Kifupi mkuu sasa hivi nafanyia kazi kula na nauli tu. Mshahara wote hautoshi hata kununua nguo kila mwezi. Jinsi nilivyoipata hiyo hela sio kwenye mshahara ila kwenye issue nyingine kabisa
 
Namba 1 unachekesha mno mpaka machozi.
#2. Hii kwangu ndio option Bora. Ufundi mahari au vyombo vya moto ni fursa. Naiona sekta ya usafirishaji ikizidi kukua kila siku. Jifunze restoration ya vyombo vya zamani NA maintenance ya vyombo vya kisasa kama umeme n.k
Shukrani
 
Ok
Option yako namba moja ni utumwa , huwezi kuwa masters halafu ukategemee vyeo vya chama vya kujikomba ambao mwisho wake ni fedheha

Veta ni chaguo zuri , ila make sure una passion na huo ufundi umeme , sio kitu rahisi kama hiyo fani haipo kwenye damu
Ulaya sina uhakika na box labda wadau watachangia
Kwa mtaji wa 7.5 mil , sioni sababu ya wewe kuhangaika , tafuta biashara hata za mazao uzungushe pesa kidogo huku ukisoma mchezo unakwendaje , then utajifunza mengine ukiwa huko
Kuna umri ukifika na maisha yakikupiga hata kama huna passion ya kitu utakifanya tu. Ahsante kwa mchango wako
 
Biashara inategemea na sehemu ulipo kama INA mzunguko na sio kila sehemu ni ya kufanya biashara sehemu nyingine ni za uzalishaji wa bidhaa za kilimo na ufugaji alafu unasafirisha kuuzia sehemu nyiñgine ama kuwauzia madalali.

Punguza expectations kinyume na uhalisia wa mambo ulivyo

Umesema una ajira je balance ya muda wa kufañya biashara na kweñye ajira inaruhusu kufañya biashara uifañyayo?

Kama unapata laki 5 take home je unadhani ukiacha kazi utafañya biashara ya kukuingizia faida ya laki tano Kwa mwezi?

Kama umeshindwa kufanya biashara na kuoña dira yako ya mbeleni ni mbovu ukiwa na ajira je ukiacha kazi itakuwa bora?
Ndio maana sikuacha kazi kwanza nisome mchezo unavyokwenda. Ahsante kwa mchango wako
 
Kama grossary ?
Biashara ya pombe inauza sana na faida ni100%. Kwa mtaji ulionao unaweza kununua wine, pombe kali na beer ukauza dukani. Ukijiongeza unaweka viti nje kwa wanaotaka kunywea hapo. Unatafuta mchoma kuku na chips pembeni.
 
Ahsante mkuu.
Wasiwasi wangu ni kuwa majukumu yanaongezeka kwahiyo hata hiki nilichonacho kinaweza kuingia kwenye matumizi badala ya kuwa akiba.
Kwanza nikupongeze kwa kuweza kusave na kupata hicho kiasi, kuzichanga laki 6 kwa mwezi hadi kufikisha >7m ni jambo kubwa sana.
Kwa tafsiri yangu unaonesha una njaa sana ya mafanikio ndiyo maana umeweza kufanikisha kusave that amount.

With that into my mind nitashauri
1. Jipe malengo na mipango ya muda wa wastani, achana mipango ya muda ufupi mfupi.. Itakufanya ujione haupigi hatua. Weka mipango ya miaka mitatu hadi mitano, then unaji evaluate progress kila baada ya miezi kadhaa. Mfano: Unaweza kusema naendelea na kazi hii hii kwa miaka mitano ijayo, hapa hapa mji huu huu ninaoishi.. Nafungua biashara yangu ya mtaji wa 4m (japo sijui upo mji gani), then hiyo biashara kwa miezi mitatu ya mwanzo sitoona faida.. Baada ya miezi 6 itakuwa inanipa faida ya sh elf 80 kwa mwezi.. Unaendelea ku manourve kadiri unavyoendelea.

2. Kwa uzoefu wangu: Kuhamia nchi ya mbali hasa nchi za Dunia ya kwanza (kama tunavyoziita) at 33 is a big risk.. Kuna chance kubwa sana ukaukumbuka huo mshahara pamoja na opportunity uliyo nayo ya huo mtaji

3. Sitokushauri uitumie hiyo saving kwenda kulipa ada sijui veta au wapi, kuna vijana tayari wana ujuzi mtaani.. Ni suala la kuweka vigezo unavyovihitaji vya kimaadili, kinidhamu na uwajibikaji, utapata kijana mtafanya kazi.. Wewe utakuwa msimamizi mkuu

4. Achana kabisa na siasa mzee utajuta.

Nina mengi ya kuandika lkn napenda nihitimishe kwa kusema- nakutazama kama kijana mwenye maisha ya kati tayari, sema una nia ya dhati ya kufika maisha ya juu ndani ya muda mfupi, its better to retreat kidogo, relax kidogo huku unaweka mipango yako vema..

More importantly, hiyo ni cutting age.. Maamuzi unayoamua yana maana sana kwa keshokutwa yako.

Wish you luck!!
 
Back
Top Bottom