Mtu aliye intelligent, mwenye exposure na street-oriented anipe ushauri

Mtu aliye intelligent, mwenye exposure na street-oriented anipe ushauri

Number 1 ni kamari ya sokoni mkuukikiumana meza inapangwa nyanya na mboga
Mtaa unahitaji kipawa chako,ubunifu wa hali ya juu
Kujilipua nje uwe na targeted countries kama una technical/mechanical skills unapata mchongo
 
Ndgu; zingatia kujifunza kuanza biashara bila cash.. yaani kma unaweza ficha hiyo pesa kisha ukaomba kujiunga na one of garage.. ukasota huku unajifunza mapambano ya kimtaa.. ukafaulu .. ulichokusanya garage+ ulemtaji... Fungua spare part shop nunua hizo diagnoses mashine.. piga KAZI kma fundi mfanyabiashara.. hutajuta kaka..
 
Huwezi kupata uteuzi wakati huna connection..Yan your father was no body and he knew somebody. Unaweza nunua vifaa automatic vya kuziba pancha na wheel alignment, Ukaondoka jijini ukaenda mikoani kwenye barabara kubwa za highway. Ukafungua goli lako hapo. Huwezi kosa kulaza 50 yako hapo kwa kuanzia
Weka na vitu vya express kma bulb.. plug..etc hii kada iko poa ILA inataka mtu kuwa humble sana
 
Kwanza nikupongeze kwa kuweza kusave na kupata hicho kiasi, kuzichanga laki 6 kwa mwezi hadi kufikisha >7m ni jambo kubwa sana.
Kwa tafsiri yangu unaonesha una njaa sana ya mafanikio ndiyo maana umeweza kufanikisha kusave that amount.

With that into my mind nitashauri
1. Jipe malengo na mipango ya muda wa wastani, achana mipango ya muda ufupi mfupi.. Itakufanya ujione haupigi hatua. Weka mipango ya miaka mitatu hadi mitano, then unaji evaluate progress kila baada ya miezi kadhaa. Mfano: Unaweza kusema naendelea na kazi hii hii kwa miaka mitano ijayo, hapa hapa mji huu huu ninaoishi.. Nafungua biashara yangu ya mtaji wa 4m (japo sijui upo mji gani), then hiyo biashara kwa miezi mitatu ya mwanzo sitoona faida.. Baada ya miezi 6 itakuwa inanipa faida ya sh elf 80 kwa mwezi.. Unaendelea ku manourve kadiri unavyoendelea.

2. Kwa uzoefu wangu: Kuhamia nchi ya mbali hasa nchi za Dunia ya kwanza (kama tunavyoziita) at 33 is a big risk.. Kuna chance kubwa sana ukaukumbuka huo mshahara pamoja na opportunity uliyo nayo ya huo mtaji

3. Sitokushauri uitumie hiyo saving kwenda kulipa ada sijui veta au wapi, kuna vijana tayari wana ujuzi mtaani.. Ni suala la kuweka vigezo unavyovihitaji vya kimaadili, kinidhamu na uwajibikaji, utapata kijana mtafanya kazi.. Wewe utakuwa msimamizi mkuu

4. Achana kabisa na siasa mzee utajuta.

Nina mengi ya kuandika lkn napenda nihitimishe kwa kusema- nakutazama kama kijana mwenye maisha ya kati tayari, sema una nia ya dhati ya kufika maisha ya juu ndani ya muda mfupi, its better to retreat kidogo, relax kidogo huku unaweka mipango yako vema..

More importantly, hiyo ni cutting age.. Maamuzi unayoamua yana maana sana kwa keshokutwa yako.

Wish you luck!!
Nimeona mahali anasema ni mkopo sijui bank na marejesho.. si kujichanga
 
Ahsante mkuu.
Wasiwasi wangu ni kuwa majukumu yanaongezeka kwahiyo hata hiki nilichonacho kinaweza kuingia kwenye matumizi badala ya kuwa akiba.
Kaza roho.. jifanye huna kitu kaka..Mimi huwa najipenda bure man..maana ni m'bahili Hadi kuna ndugu hawanipendi.. pesa MAALUM kwa MATUMIZI MAALUM sio eti kisa Nina kiasi fulani basi nile nile hovyo sijui nini. No [emoji41]
 
Mimi ni graduate niliyeajiriwa ila sioni future kwenye ajira kila nikiangalia mbele naona giza tu. Nilijaribu vibiashara lakini sioni mafanikio yeyote mpaka sasa nimeona labda nyota yangu haipo kwenye biashara. Nimejichanga kwa sasa Nina milioni 7.5

Katika kutafakari nitachomokaje kwenye maisha nimepata mawazo matatu:

1. Nitumie milioni 6 kusoma masters kisha nitafute kadi ya chama CCM ili nibahatishe uteuzi.
2. Niende Veta nikasome ufundi wa magari niingie mtaani kutafuta shilingi
3. Nizamie Ulaya nikabebe box.

Mtu matured na mwenye uzoefu wa maisha karibu kwa mchango wako.

Ahsante.
Mkuu.. namba tatu hapa ndiyo pa kudeal napo..
Hata mimi nipo kwenye mchakatok kama huo..!

Unaweza kutafuta nafasi za kusoma nje, au kazi ikiwezekana.

Zipo nchi ambazo kupata visa ni rahisi na zimepiga hatua kuliko hapa bongo
Visa free/ visa on entry
Kama
hong kong
Malaysia
Unaweza anza na hizi kupata mishe na exposure
Na nchi hizi za waarabu matajiri kama UAE UAE Dubai, Qatar - nchi tajiri duniani
Pia unaweza pata fursa - ukapata hata pesa zaidi kutosha ..kwenda nchi
Za ulaya
Na USA

Ila ukipata connection mkuu zama mbele tu!!
 
Vile vile kwenda kufanya masters nakushauri kama una nia, weka pamoja na kupiga box. Hakikisha hutumii pesa yako kusoma masters. Kama ukipata scholarship then unaweza kutumia nafasi hiyo kupiga box.
Fanya hivi Mkuu... !
 
Back
Top Bottom