Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Baba yake kuwa madarakani muda mrefu na kumuweka jeshini na vyeo kwa umri aliopo na cheo chake ni kama anaishi kwa baba yake nawaza hilo.
Kejeli anazotoa kwenye mtandao X ,kudhihaki, kuleta taharuki ndani na nje ya nchi yake.
Sidhani kama mtu Rizi one angekuwa anafanya mada za ajabu akijua ana heshima kubwa.