Yaelekea maindainda,
Unaelewa wazi kuwa kuna siku isiyokuwa na jina jibaba litazuka kuja kuchua mtoto wake...Hilo wazo kuwa hutaki mtoto alelewe na biological baba naona unatarudi nyuma hatua 10 na unaenda mbele hatu 2 uko mbali sna na ukweli. Sioni tatizo liko wapi wewe kumueleza ukweli huyo mumeo?? Imagine siku huyo msela anakuja hapo full swing kuchukua mtoto na amejiandaa kwa lolote lile litakalotokea kwani anajua kabisa kuwa atakuta kidume cha nyumba mi nina imani utakuwa wa kwanza kukimbia na kuwaacha hao jamaa wakiendelea na marumbano kwani hutakuwa na stamina wala ujasiri wa kusimama na kutoa maelezo ya kueleweka....Sasa hizi sitaki nataka zako zitakutokea puani kama sio masikioni..
Kama unadhani kukaa kimya ni chaguo lako ok endelea ila tutaomba siku mwenye mtoto akija kumchukua utufahamishe wana JF mazingira yalikuwaje na reaction ya hao waheshimiwa wawili na hasa huyo mumeo. Sina hofu sana na mwenye mtoto maana amechukua chake poa kabisa hata kama ni mimi ningefanya hivyo hivyo..