Mtindo mpya Kariakoo ni kubomoa maghorofa na kujenga Mapya

Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya,kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangusha linanyanyuliwa lingine,Safi sana.ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya,wacha nitafute pesa.

Issue siyo uimara
Maghorofa ya zamani yalikua na fremu chache
Sasa hivi wanajenga kwa style inayowekwa underground na kuongezea fremu
 
Hayo maghorofa yanayojengwa ni pesa zilizofunguka Toka serikali. Mfumo wa pesa umeshashafunguka tayari Kwa wajanja wa mjini kumbuka miaka Ile ya zamani watu walikuwa wananunua nyumba za kawaida wanavunja na wanajenga maghorofa lkn sikuhizi utakuta ghorofa 7 inavunjwa inajengwa upya kisiasa zaidi..
Nipo kariakoo zaidi ya miaka 10 najua mipango mingi watu wanafanya
 
Naona kwa sasa hata ule mpango wa kujenga kwa ubia watu wanaukataa wanajenga kwa kununua mtu atoke kabisa

Majengo mengi ya zamani hayakuweza ruhusu frame za juu.
Kwa sasa ghorofa la kwenye SQM 240 linatia frame 40-60
 
Back
Top Bottom